Thursday, 4 August 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI AGOSTI 4,2022

...
Share:

Wednesday, 3 August 2022

WAKULIMA WA SOYA WASHAURIWA KUTUMIA MBOLEA YA ASILI

**************** Na Mwandishi Wetu-Arusha Wakulima wa zao la Soya (soyalishe) nchini wameshauriwa kutumia mbolea asilia ili kuongeza uzalishaji wa zao hilo. Rai hiyo imetolewa na Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Kilimo Endelevu ya Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson...
Share:

WATUMISHI WA WILAYA YA TEMEKE WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWENYE NYONGEZA YA MSHAHARA

Mtumishi wa Wilaya ya Temeke Bi.Makungu Shomari akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 3,2022 wakati wakitoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya. Mtumishi wa Wilaya ya Temeke Bi.Makungu Shomari akizungumza na waandishi...
Share:

AMUUA MKEWE KWA KUMPIGA NA KUMNG'ATA KIDEVU UKWENI KWENYE MSIBA

Sehemu ya mauaji yalipofanyika ** Mariam Masanja 22, mkazi wa Kijiji cha Nyabugela, Kata ya Mganza wilayani Chato mkoani Geita, ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na kung'atwa kidevu na mme wake Edward Franscis 20, ambao walikutana kwenye familia ya mwanamke kuhani msiba baada ya ugomvi...
Share:

NILIPATA NG’OMBE WANGU WAWILI BAADA YA KUIBIWA

...
Share:

KARSAN ANG'ATUKA RASMI, MKURUGENZI MPYA WA UTPC KENNETH SIMBAYA AKABIDHIWA MIKOBA

Mkurugenzi mpya wa muungano wa Klabu za Waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Bw. Kenneth Simbaya (kulia), kushoto ni Rais wa Utpc Bw. Deogratius Nsokolo na katikati ni Bw. Abubakar Karsan Mkurugenzi ambaye amemaliza muda wake Rais wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania(UTPC) ...
Share:

Tuesday, 2 August 2022

TANGA JIJI YAONGOZA UKUSANYAJI MAPATO, MANISPAA YA SHINYANGA YANG'ARA, MBULU MJI BALAA, KIBAHA DC YATISHA

NA GODFREY NNKO KATIKA kipindi cha Julai hadi Juni 2022 Halmashauri ya Jiji la Tanga imeongoza kwa kukusanya mapato kwa asilimia 113 ya makisio yake ya mwaka ikifuatiwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam asilimia 108. Huku Halmashauri ya Jiji la Arusha ikiwa asilimia 104, Halmashauri ya...
Share:

RAIS WA MAREKANI JOE BIDEN ATOA KAULI NZITO JUU YA KIFO CHA KIONGOZI WA KUNDI LA KIGAIDI LA AL QAEDA

Ayman al- Zawahiri akiwa na aliyekuwa Kiongozi wa kundi la Al-Qaeda Osama Bin Laden Ayman al-Zawahiri aliyekuwa kiongozi wa kundi la lkigaidi la Al- Qaeda *** RAIS wa Marekani Joe Biden amelihutubia Taifa hilo na kutoa kauli nzito juu ya kifo cha kiongozi wa kundi la kigaidi la Al Qaeda Ayman...
Share:

BIMA YA KILIMO YA NBC YAWAVUTIA WADAU WA KILIMO MAONESHO YA NANENANE MBEYA

Mkurugenzi wa Wateja wadogo wa Benki ya NBC, Elibariki Masuke (Kulia) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Benki Kuu Tanzania tawi la Mbeya Bw Ibrahimu Malogoi alipotembelea banda la maonesho ya kilimo la benki ya NBC inayoshiriki Maonesho ya Kilimo Nanenane yanayofanyika katika Uwanja wa John...
Share:

RAIS WA ZAMBIA MHE.HAKAINDE HICHILEMA AWASILI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Terminal one Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya siku moja nchini ...
Share:

HALMASHAURI 100 ZAKUSANYA MAPATO YA NDANI KWA 100%

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mhe Innocent Bashungwa akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa taarifa kuhusu Mapato na Matumizi ya Ndani ya Halmashauri kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 leo Agosti 2,2022 Jijini Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi...
Share:

PAKUA APP YA MALUNDE 1 BLOG...Imeboreshwa zaidi

...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger