Friday, 11 March 2022

WANAWAKE NSSF WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE KWA KUTOA MAHITAJI KWA WANAWAKE NA WATOTO WALIOLAZWA HOSPITALI YA RUFAA SHINYANGA

Afisa Mkuu Mwandamizi wa NSSF Mkoa wa Shinyanga, Amina Mdabi (kushoto) akikabidhi mahitaji mbalimbali kwa ajili ya wanawake na watoto waliolazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya Wanawake duniani Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Wanawake...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA MACHI 11,2022

...
Share:

Thursday, 10 March 2022

AUAWA KWA KUKANYAGWA NA TEMBO AKITAFUTA KUNI NGORONGORO

Tembo Mfugaji aitwaye Narudwasha Titika, mkazi wa kijiji cha Alaitore kilichopo ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro, amefariki dunia jana Machi 9, 2022, majira ya saa 7:00 mchana baada ya kushambuliwa na Tembo sehemu mbalimbali za mwili wake, wakati akitafuta kuni. Taarifa hiyo imetolewa...
Share:

HOSPITALI YA WAJAWAZITO YAPIGWA MAKOMBORA UKRAINE

Hospitali ya wanawake wajawazito katika Mji wa Mariupol nchini Ukraine, Jumatano ya Machi 9, 2022 imepigwa makombora na majeshi ya Urusi ambapo inaelezwa kwamba watoto wachanga kadhaa wamefukiwa na kifusi. Hayo yamesemwa na Rais wa Ukraine, Volodymir Zelensky kupitia akaunti yake ya mtandao wa Twitter...
Share:

MUHIMBILI YATOA UFAFANUZI VIDEO YA PROF. JAY INAYOSAMBAA MTANDAONI

Hospitali ya Taifa Muhimbili leo Machi 10, 2022 imetolea ufafanuzi taarifa inayosambaa kwenye mtandao wa kijamii kuhusu Joseph Haule maaruru Professor Jay na kusema “Kuna video inayosambazwa na Mtandao ikimuonesha Profesa Jay akipatiwa matibabu Muhimbili Hospitali Upanga”. “Uongozi wa Hospitali...
Share:

Wednesday, 9 March 2022

PAKUA APP YA MALUNDE 1 BLOG UWE UNAPOKEA HABARI KWA URAHISI ZAIDI

Toleo Jipya Kabisa la App ya Malunde 1 blog, Kama unayo kwenye simu Pakua Upya mtu wangu...  Bofya mara Moja <<Hapa>> Toleo Jipya Kabisa la App ya Malunde 1 blog, Kama unayo kwenye simu Pakua Upya mtu wangu...  Bofya mara Moja <<Hapa>> Toleo Jipya Kabisa...
Share:

KARIBU BEHAC KWA HUDUMA YA CHAKULA, BAA, PHARMACY NA MIAMALA YA FEDHA

Karibu Behac Company Limited kwa huduma za Chakula halisi cha Kitanzania/Kiafrika, Bar, Order, Miamala ya Fedha, Pharmacy .Pia tunakodisha viti, meza na sahani.  Tunapatikana Bwalo la Polisi Mjini Shinyanga . Wasiliana nasi kwa simu namba 0782767034 / 0753474488  Email : info@behac.co.tz ...
Share:

ZIJUE DALILI NA SABABU ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME....FULL POWER ITAKUREJESHEA FURAHA

  Full Power inatibu tatizo la nguvu za kiume Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya tendo la ndoa kikamilifu ,shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kutokuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo...
Share:

Wimbo Mpya : JUMA MARCO - BHUDOSHI

Huu hapa wimbo mpya wa Msanii Juma Marco unaitwa Bhudosh...
Share:

Tuesday, 8 March 2022

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO MACHI 9,2022

...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger