Saturday, 5 February 2022

KATIBU UVCCM TAIFA AWATAKA VIJANA KUACHA MAJUNGU,ASEMA RAIS SAMIA ATAONGOZA HADI 2030

Katibu UVCCM Taifa,Kenani Kihongosi na viongozi wengine na vijana wa UVCCM wakitembelea miradi Tarime **** Na Dinna Maningo, Tarime KATIBU wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa,Kenani Kihongosi amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu ataongoza hadi 2030...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI FEBRUARI 5,2022

Magazetini leo Jumamosi February 5 2022 ...
Share:

Friday, 4 February 2022

HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA NA KASI YA MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI KUCHOCHEA UCHUMI

Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Joseph Mafuru akiongea na wajasiriamali wakati wa makabidhiano ya mikopo ambayo imetajwa kuwanufaisha kiuchumi. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri akisisitiza jambo kwenye hafla ya makabidhiano ya mikopo kwa wajasiriamali ili kuchochea kasi ya uchumi. Baadhi...
Share:

NIVISHE NISOME, MTAKA WASHIRIKIANA KUCHOCHEA ELIMU DODOMA

  Na Dotto Kwilasa Malunde 1 Blog-DODOMA. TAASISI ya 'Nivishe Nisome' inayojihusisha na masuala ya elimu nchini, imetoa msaada wa sare za shule kwa wanafunzi 241 katika shule ya Msingi Mbabala,Kata ya Mbabala,mkoani hapa huku wakitarajia kutoa sare za shule 5000 katika shule zote za Mkoa wa Dodoma...
Share:

AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUIBA BIBLIA..MWENYEWE AJITETEA ALITAKA TU KUMJUA MUNGU

Mwanaume ambaye amekamatwa na kushtakiwa kwa kuiba biblia mbili kwenye duka kubwa jijini Nairobi anasema alichokuwa akitaka ni kumjua Mungu tu. Augustine Wanyonyi, 35, aliambia mahakama kwamba aliiba Biblia hizo ili asome na kumjua Mungu zaidi.Alipoulizwa kwa nini aliiba nakala mbili badala ya...
Share:

Thursday, 3 February 2022

MWANAFUNZI ATEMBEZEWA KICHAPO KISA AMEKULA CHAPATI ZA MWALIMU MKUU

Mwanafunzi wa Shule ya Gremon Education Center eneo la Bamburi, kaunti ya Mombasa nchini Kenya anauguza majeraha mabaya katika Hospitali ya Rufaa ya Coast General baada ya kudaiwa kupokezwa kichapo cha mbwa koko na mwalimu mkuu kwa kula chapati zake. Mama yake mwanafunzi huyo, Agnes Ngure alisema...
Share:

JAMAA AJIUA KWA SUMU YA PANYA KISA MKE WAKE KAGOMA KURUDI

Mfano wa chupa zenye sumu ** Kijana aliyejulikana kwa jina la Ginasa Petro (30)  mkazi wa kijiji cha Kayenze, kata ya Kafita wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita  amejiua kwa kunywa sumu ya Panya baada ya mke wake Sarah Jeremia kukataa kurudi kuishi naye baada ya hapo awali kuondoka...
Share:

MCHENGERWA AIPONGEZA DSTV KWA KUTANGAZA MAUDHUI YA KITANZANIA

************************* Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa Kongole kwa Kampuni ya Multichoice Tanzania (DSTV) kwa kurusha maudhui ya kitanzania hususan Muziki na Filamu ambayo yameleta manufaa kwa wasanii. Mhe. Mchengerwa ametoa pongezi hizo leo Februari 3,...
Share:

KICHWA CHA MLINZI WA SHULE ALIYEUAWA CHAPATIKANA KWA MLINZI MWENZAKE

JESHI la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Raymond Mollel ammbaya amekamatwa kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa mlinzi wa shule ya Winnings Spirit iliyopo eneo la Terati jijini Arusha, Issa Dinaiah (57) aliyekutwa ameuawa kwa kuchinjwa huku kichwa chake kikiwa...
Share:

WIZI ULINIRUDISHA HATUA NYUMA, MADUKA YANGU YALIIBIWA KILA UCHAO

 Nilikuwa mfanyabiashara aliyetia fora katika swala zima la biashara. Nilikua na maduka ya kuuza bidha za kielectroniki kama vile radio, simu, vipatakilishi na bidhaa zingine za kielektroniki.  Biashara yangu ilikua imenoga kwani mjini mahali ambapo niliuzia bidhaa zangu, wateja walikuja...
Share:

MSHINDI WA BIKO TABATA SEGEREA AVUNA MILIONI 10 ZAKE

Meneja Masoko wa mchezo wa kubahatisha wa Biko Mshiko Nje Nje, Goodhope Heaven kushoto akishiriki tukio la kumkabidhi mshindi wa sh Milioni 10 Karimu Malisawa Mwema katikati. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Tawi la benki ya CRDB lililopo Palm Beach, jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Balozi...
Share:

WAYA WA UMEME WAUA WATU 26 SOKONI

Picha ya DRC iliyopachikwa kwenye Mitandao. ** Takriban watu 26 wamefariki baada ya waya wa Umeme kukatika na na kuanguka sokoni katika wilaya ya Matadi-Kibala iliyopo viungani mwa mji mkuu Kinshasa, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na kwamba watu kadhaa walifariki mara moja, polisi imesema. Waya...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI FEBRUARI 3,2022

...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger