
Rais Samia amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya wawili (Moshi na Karatu) kwa kuwahamisha vituo vya kazi huku akiteua mkuu wa wilaya mmoja.





Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) akikabidhiwa zawadi ijulikanayo kama nyengo katika ufunguzi wa Siku ya Utamaduni wa Mtanzania katika Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa Siku ya Utamaduni wa Mtanzania wakifuatilia matukiao katika Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe.Mary Masanja (Mb) akizindua Siku ya Utamaduni wa Mtanzania Kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam.
