Tuesday, 20 July 2021
MAHAKAMA YAAMURU MIILI YA WATU 61 WASIOJULIKAN IZIKWE HARAKA IWEZEKANAVYO
DC KISWAGA ATANGAZA MAONESHO MAKUBWA YA WAWEKEZAJI, WAFANYA BIASHARA NA WAJASIRIAMALI ZAIDI YA 450 KAHAMA
TACH Operations Officer at Absa
TACH Operations Officer Bring your possibility to life! Define your career with us With over 100 years of rich history and strongly positioned as a local bank with regional and international expertise, a career with our family offers the opportunity to be part of this exciting growth journey, to reset our future and shape […]
This post TACH Operations Officer at Absa has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Programme Coordinator at Prime Minister’s Office
Programme Coordinator AFDP Programme July, 2021 Ref. No.EA.9.355/02/31 Prime Minister’s Office invites dynamics and suitable qualified Tanzanians to fill various posts in Coordination Unit of Agriculture and Fisheries Development Programme- AFDP as mentioned below: PROGRAMME COORDINATOR-1 POST Programme Coordinator that will be liaising with the Focal Persons in Ministries of Agriculture, Ministry of Livestock […]
This post Programme Coordinator at Prime Minister’s Office has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
JAJI MKUU PROF. JUMA AKIPONGEZA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA LUSHOTO KUANDAA KITABU CHA MKUSANYIKO WA MASHAURI YA WATOTO
KAMANDA MULIRO : USIMILIKI SILAHA KAMA HUNA SIFA
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesisitiza kuwa sio sifa kumiliki silaha endapo huna sifa za kuimiliki.
Amesema umiliki wa silaha una sheria zake na endapo mmiliki anazikiuka hatua za kisheria zinachukuliwa dhidi yake ikiwa ni pamoja na kifungo cha miezi 12 jela au faini ya shilingi milioni moja au vyote kwa pamoja.
Kamanda Muliro ametoa kauli hiyo kufuatia matukio la mauaji yaliyotokea hivi karibuni katika maeneo ya Sinza Mori na Mbezi Makabe mkoani Dar es Salaam, ambapo pia amewataka Viongozi wa Serikali za mitaa na wamiliki wa maeneo ya starehe kushirikiana na jeshi la polisi kuwafichua wahalifu katika maeneo yao ili kuepusha madhara yanayoweza kuwapata Wananchi.
Amewaambia Waandishi wa habari mkoani Dar es salaam kuwa jeshi hilo lina jukumu la kulinda raia na mali zao, hivyo ushirikiano wa Wananchi ni muhimu katika kufanikisha jambo hilo.
Katika tukio lililotokea tarehe 17 mwezi huu katika baa ya Lamax Sinza, mteja anayejulikana kwa jina la Alex korosso maarufu kama simba alimpiga risasi kijana aliyetambuliwa kwa jina la Gift Mushi kabla ya yeye kujipiga risasi shingoni na kufariki dunia papo hapo.
Kuhusu mtu aliyetekeleza mauaji katika eneo la Mbezi Makabe Kamanda Muliro amesema Jeshi la Polisi lipo kwenye hatua za mwisho ili kumfikisha mahakamani mtuhumiwa kwa mujibu wa sheria.
Evaluation and Knowledge Management Officer at Prime Minister’s Office
Monitoring, Evaluation and Knowledge Management Officer Prime Minister’s Office -AFDP Programme Ref. No.EA.9.355/02/31 Prime Minister’s Office invites dynamics and suitable qualified Tanzanians to fill various posts in Coordination Unit of Agriculture and Fisheries Development Programme- AFDP as mentioned below: MONITORING, EVALUATION AND KNOWLEDGE MANAGEMENT OFFICER Under the direct supervision of the Programme Coordinator, the […]
This post Evaluation and Knowledge Management Officer at Prime Minister’s Office has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Procurement Officer at Prime Minister’s Office
Procurement Officer Ref. No.EA.9.355/02/31 Prime Minister’s Office invites dynamics and suitable qualified Tanzanians to fill various posts in Coordination Unit of Agriculture and Fisheries Development Programme- AFDP as mentioned below: Procurement Officer should perform his duties by adhering to procurement guidelines set out in the Public Procurement Act. MAIN DUTIES AND RESPONSIBILITIES Undertake or […]
This post Procurement Officer at Prime Minister’s Office has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Halmashauri Zatakiwa Kuandaa Hati Zisizopungua 100 Kila Mwezi
Na Munir Shemweta, SUMBAWANGA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa agizo kwa kila halmashauri nchini kutoa hati zisizopungua mia moja kwa kila mwezi.
Akizungumza na watendaji wa sekta ya ardhi katika mkoa wa Rukwa tarehe 19 Julai 2021 akiwa katika ziara ya kukagua utendaji kazi sekta ya ardhi nchini, Dkt Mabula alisema halmashauri kupitia idara zao za ardhi zinatakiwa kuandaa hati zisizopungua mia moja kwa mwezi katika yale maeneo ambayo viwanja vyake vimepimwa.
‘’kule ambako viwanja havijapimwa watendaji wake wanaweza kueleweka lakini mtu ana viwanja mia moja halafu anashindwa hati za idadi hiyo na wakati mwingine anatoa hati kumi tu huku akiwa amejiwekea lengo la kutoa hati mia moja’’ alisema Naibu Waziri wa Ardhi.
Kwa mujibu wa Dkt Mabula, hatimiliki za ardhi zisipotoka na kumilikisha kwa wamiliki wa ardhi migogoro haitaisha na matokeo yake ni kuwepo umilikishaji mara mbili (Double allocation).
Alimtaka Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Rukwa Swagile Mfinanga kumpatia taarifa ya uandaaji hati kwa kila halmashauri yake kufikia mwisho wa mwezi wa nane na kusisitiza kuwa, hatu hiyo pia itafika mikoa yote kwa kuangalia idadi ya viwanja vingapi vimepimwa na wamiliki wangapi wameomba lakini hawajapatiwa na kama hawajaomba mara ngapi watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri husika wamekwenda kuahamasisha ili wamiliki waombe kupatiwa hati.
Katika hatua nyingine Naibu Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula aligawa Ankara za malipo ya kumilikishwa ardhi kwa baadhi ya wananchi wapatao 593 waliopimiwa maeneo yao katika kata ya Momoka Manispaa ya Sumbawanga mkoa wa Rukwa.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliwaambia wakazi wa kata ya Momoka katika manispaa ya Sumbawanga kuwa, wamefanya jambo zuri la kukubali kupimiwa maeneo yao ili baadaye waweze kumilikishwa na Wizara ya Ardhi inawaunga mkono kwa kuwa uamuzi waliofanya utawasaidia kuepukana na migogoro ya mipaka na wakati huo kutumia hati watakazopata katika shughuli za maendeleo kama vile kuchukulia mikopo benki.
Waziri Biteko Auagiza Mgodi Kulipa Deni La Kijiji Ndani Ya Siku 60
Na. Steven Nyamiti, Mara
Waziri wa Madini, Doto Biteko ameuagiza uongozi wa kampuni ya uchimbaji wa madini ya Dhahabu MMG GOLD LIMITED unaomilikiwa kwa ubia kati ya Kampuni ya MMG na Polygon kulipa deni la kiasi cha shilingi milioni 36 zinazodaiwa na kijiji kwa mujibu wa mkataba wa uwekezaji.
Agizo hilo amelitoa, Julai 19, 2021 wakati akiwa kwenye ziara ya kukagua shughuli za uchimbaji katika mgodi wa MMG GOLD LTD katika kijiji cha Seka kata ya Nyamlandililila wilaya ya Musoma Vijijini , Mkoani Mara.
Akizungumza na Mkurugenzi wa mgodi huo Yury Chernomorchenko, Waziri Biteko ametoa miezi miwili deni hilo liwe limelipwa na kampuni hiyo.
Biteko amesema kuwa, kampuni hiyo ilikuwa inadaiwa zaidi ya shilingi milioni 60 toka mwaka 2018 na Serikali ya kijiji kama ushuru, deni lililoachwa na menejimenti iliyopita ya MMG ambapo walilipa fedha kiasi na hadi sasa deni linalodaiwa ni shilingi milioni 36 na kijiji kwa mujibu wa mkataba wa uwekezaji.
“Niwaombe Serikali za mitaa, Vijiji na Halmashauri, makubaliano yoyote wanayoingia na migodi ili yaweze kuwa na nguvu ya Kisheria kwa msimamizi wa migodi ni lazima wayasajili makubaliano hayo kwenye ofisi ya madini.” amesisitiza Biteko
“Tunataka tuone haya manufaa ya mgodi huu yaweze kuonekana kwenye maisha ya kawaida ya wananchi kwenye miundombinu ya barabara, miundombinu ya elimu na afya”
Pia, amemuagiza Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Mara Nyaisara Mgaya kuhakikisha anasimamia malipo hayo yanafanyika ndani ya muda hu ona endapo hayataliwa asimamishe shughuli zote katika mgodi mpaka deni litakapolipwa.
Akiwa kwenye mgodi wa uchimbaji Dhahabu wa Cata Mining Waziri Biteko ameagiza uongozi wa mgodi huo kuzingatia Sheria na Kanuni za madini zilizopo hapa nchini hususan wanapofanya ununuzi wa bidhaa mbalimbali na wanapotafuta kampuni za kufanyanazo kazi kwenye mgodi.
Msipozingatia sheria za madini mtapigwa faini ya shilingi milioni 50 jambo ambalo Serikali ya awamu ya Sita haipendi, tunataka kuwalea ili mkue zaidi siyo kuwarudisha nyuma,” amesema Waziri Biteko.
Akijibu swali la waziri kuhusu ajira kwa wazawa, Mkurugenzi wa Mgodi huo Johann Christoffel amesema hadi sasa wana watumishi 470 ambao ni wazawa jambo ambalo limepongezwa na Waziri Biteko.
Hata hivyo amewashauri wanapoajiri wazawa watoe kipaumbele kwa wakazi wa maeneo yanayozunguka mgodi wa Cata ili kuweka mazingira mazuri ya kiuhusiano na jamii.
Waziri Biteko amefanya ziara ya siku moja Mkoani Mara na kutembelea migodi miwili ya MMG Gold Limited na Cata Mining. Mkoa wa Mara umebarikiwa kuwa na aina nyingi za Madini ambayo ni dhahabu, shaba, Silver, chuma, chokaa, soapstone na madini ya ujenzi. Kati ya hayo madini yanayopatikana kwa wingi zaidi ni madini ya dhahabu.
Naibu Waziri wa Ardhi aagiza mamlaka za upangaji nchini kuandaa mipango kabambe ya maeneo yao kwa kutumia wataalamu wa ndani
Naibu Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa rai kwa mamlaka za upangaji nchini kuandaa mipango kabambe ya maeneo yao kwa kutumia wataalamu washauri au wataalamu wa ndani kadri ya uwezo wa mamlaka husika.
Aidha, amezielekeza halmashauri ambazo zimeanzisha mchakato wa kuandaa Mipangop Kabambe kuongeza jitihada kukamilisha kazi hizo na wataalamu watekeleze majukumu yao kwa weledi.
Naibu Waziri Mabula alitoa rai hiyo tarehe 19 Julai 2021 wilayani Sumbawanga wakati akizindua Mpango Kabambe wa Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
Alisema, mipango kabambe inaongeza kasi ya kupanga na kupima miji yetu sambamba na kuondoa changamoto mbalimbali zikiwemo za migogoro ya matumizi ya ardhi , ukuaji wa makazi yasiyo rasmi , uharibifu wa miundombinu na mazingira, kukuza fursa za uwekezaji pamoja na kuongeza ajira kwa wananchi wa manispaa ya Sumbawanga.
‘’ kama tunavyojua Tanzania imepimwa kwa kiwango kisichozidi asilimia 25 na kama tumeenda mbali tunasogea asilimia 30 lakini tunavyoendelea kuweka mipango midogomidogo kulingana na mamlaka husika tutajikuta tumepnga nchi nzima na wizara ya ardhi imejipanga katika hilo’’ alisema Dkt Mabula.
Kwa mujibu wa Naibu Waziri wa Ardhi, kukamilika kwa Mpango Kabambe wa Manispaa ya Sumbawanga kumekuja wakati muafaka maana pamoja na kutumika kama chombo cha kuongoza na kusimamia uendelezaji mji pamoja na kudhibiti ujenzi holela pia utatoa uhakika wa uwekezaji kwenye halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga..
Alitoa wito kwa halmashauri zote nchini ambazo hazijaandaa Mipango Kabambe ya miji yao kuiga mfano wa Manispaa ya Sumbawanga ili kuongeza kasi ya kupanga na kupima miji yote nchini.
Kwa mujibu wa Dkt Mabula, hadi sasa kuna jumla ya mipango kabambe 26 iliyoandaliwa katika mamlaka za upangaji na kuidhinishwa na wizara na zoezi la kuizindua linaendelea. Hata hivyo, tayari mipango kabambe ya jiji la Dodoma, Manispaa za Mtwara Mikindani, Musoma , Iringa, Singida , Tabora na Miji ya Njombe na Tunduma imekamilika na kuzinduliwa.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Jacob Mtalitinya alisema, Mpango Kabambe wa Manispaa yake utekelezaji wake upo katika awamu nne za miaka mitano mitano ambapo jumla ya miradi 12 ilitarajiwa kutekelezwa katika awamu ya kwanza (2015/2020) na baadhi yake ni kituo cha mabasi Katumba, kufungua miji ya pembeni pamoja na mpango wa urasimishaji makazi holela
Communications Officer at World Vegetable Center
Communications Officer The World Vegetable Center is a non-profit, autonomous international agricultural research center with headquarters in Taiwan and five regional offices around the globe. The World Vegetable Center conducts research and development programs that contribute to realizingthe potential of vegetables for healthier lives and more resilient livelihoods. For more information, please visit our […]
This post Communications Officer at World Vegetable Center has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Welfare Manager at Unilever
Welfare Manager – UTT Purpose of the Role The role exists to ensure the delivery of UTT’s welfare priorities providing advice, guidance and practical support in the implementation of the Company’s Strategy & people agenda in line with our values of respect, pioneering, integrity and responsibility to ensure the safety and wellbeing of all […]
This post Welfare Manager at Unilever has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Food Safety Officer at Agricycle Global Inc
Food Safety Officer As our Food Safety Officer, you will report to the Food Safety Manager based in Kenya and Operations Coordinator in Tanzania and work closely with a team of Field Officers and Sourcing Officers. You will be responsible for developing, and managing the Food Safety Management System by ensuring ongoing compliance and […]
This post Food Safety Officer at Agricycle Global Inc has been posted by Udahiliportaldaily
Get more post by visiting Udahiliportal.com
know more details about Udahiliportal.com by visiting Udahiliportal.com - Find Jobs & Ajira mpya leo, ajira portal Tanzania, ajira yako, brighter Monday, mabumbe, mwananchi ajira, secretariet ya ajira, tamisemi ajira za afya, wizara ya afya, ajira Tanzania - selection za vyuo , selection, second selection vyuo, second selection, tamisemi selection, selection form one 2020/2021
This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details
Database Officer at Agricycle Global Inc
Database Officer As our Database Officer, you will report to the Impact Coordinator, and will work closely with the department Coordinators and Field Officers. You will be responsible for inputting and managing data regarding our growing network of smallholders and cooperatives across East Africa with reliability, diligence and attention to detail. You will lead […]
This post Database Officer at Agricycle Global Inc has been posted by Udahiliportaldaily