Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewasili nchini Burundi ambapo anafanya ziara ya siku moja nchini humo.
Katika uwanja wa ndege wa Bujumbura, Waziri Mkuu Majaliwa amepokelewa na Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza.
Miongoni mwa malengo ya ziara hiyo ya Waziri Mkuu nchini Burundi ni kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Taifa hilo.

























Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Shinyanga (SHIREFA) kwa muda mrefu Benesta Rugora amefariki dunia leo Jumatano Juni 30,2021 saa 8: 30 mchana wakati akiendelea kupata matibabu katika hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza.