
Na Ismaily Luhamba,Singida.
Waislam mkoani Singida leo wameungana na Waislam wenzao Duniani kutimiza Nguzo ya Tano ya Uislamu ya Sala ya Eid Al Adha ambapo swala hiyo mkoani Singida imefanyika kimkoa Wilayani Iramba kwenye Msikiti wa Tawqwa mjini Kiomboi.
Swala hiyo iliongozwa na Kadhi wa mkoa,...