Wednesday, 1 April 2020

Viwanja Vikubwa Vinauzwa: Mapinga na Bunju

Viwanja Vikubwa Vinauzwa: Mapinga na Bunju Mapinga, mpani na Bunju, vipo viwanja vya bei zifuatazo: Mita 20/20 ni tsh 5 mil, Mita 20/30 ni tsh 7 mil, Mita 20/40 ni tsh 10 mil, Robo eka ni tsh 12 mil, Nusu eka ni tsh 22 mil, Eka moja ni tsh 42 mil Kwa Bunju, viwanja vipo mtaa wa Fanaka (Bunju A)...
Share:

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Yatoa Tahadhari Ya Mvua Kubwa Mikoa 15

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa kwa siku mbili kuanzia kesho katika mikoa 15 ikiwamo Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo, katika siku hizo, kutakuwa na mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Njombe, Iringa, Songwe, Mbeya na...
Share:

Burundi yatangaza kuwa na wagonjwa wa corona kwa mara ya kwanza

Waziri wa afya nchini humo Thadée Ndikumana, ametangaza watu wawili ambao ni raia wa Burundi kuwa na maambukizi ya virusi vya corona. Raia hao ambao wote ni wanaume, mmoja ana umri wa miaka 56 huku mwingine ana umri wa miaka 42, na walikuwa wanawasili kutoka Rwanda na Dubai, Waziri alisema. Taifa...
Share:

Daktari aliyekutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin wiki iliyopita apatikana na virusi vya Corona

Daktari aliyekutana na rais wa Urusi Vladimir Putin wiki iliyopita alipokuwa akizuru hospitali moja huko Moscow, amepatikana na virusi vya Corona baada ya kufanyiwa vipimo, Televisheni ya serikali, Rossiya 24, imeripoti leo Jumanne.   Rais wa Urusi alizuru hospitali ya Kommunarka Jumanne wiki...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano April 1

...
Share:

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Aguswa Na Kifo cha Katibu Mkuu CUF...... "Nimepoteza rafiki wa muda mrefu"

Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, ameonesha kuguswa na msiba wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Khalifa Suleiman, aliyefariki Dunia usiku wa kuamkia leo na kusema kuwa amepoteza rafiki yake wa muda mrefu. Dkt Kikwete ameyabainisha hayo leo Machi...
Share:

Tuesday, 31 March 2020

IGP Sirro Awaonya Watalii Kutojihusisha Na Biashara Ya Dawa Za Kulevya

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amesema kuwa Jeshi la Polisi kamwe halitamvumilia mtu yeyote atakayejihusisha na vitendo vya uhalifu ikiwemo kujihusisha na uuzaji na usambazaji wa dawa za kulevya pamoja na uhalifu mwingine. IGP Sirro amesema hayo leo wakati akifungua kituo cha utalii...
Share:

Waziri Mpina Ashtukia Upigaji Wa Bilioni 2.6 Ujenzi Maabara Ya Uvuvi

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amesimamisha malipo yote kwa Mkandarasi wa Kampuni ya Petra Construction co. Limited inayojenga maabara ya kisasa ya Taasisi ya Uvuvi Tanzania (TAFIRI) kituo cha Dar es Salaam hadi uhakiki wa gharama halisi za mradi huo utakapokamilika baada ya kubaini kuwepo...
Share:

Afariki kwa kupigwa na radi akiendesha pikipiki Toka Shambani

Mkazi wa kata ya Kabungu mkoani Katavi, Paulo Chundu (27) amefariki dunia kwa ya kupigwa na radi wakati akitoka shambani. Tukio hilo lilitokea machi 29 mwaka huu majira ya saa 12: 45 jioni katika mbuga za kalilankulukulu kata ya kabungu wilayani Tanganyika mkoani katavi. Kamanda wa jeshi la polisi...
Share:

Nafasi Mpya Za Kazi 100 Zilizotangazwa Wiki Hii na Makampuni Mbalimbali

Nafasi Mpya Za Kazi 100 Zilizotangazwa Wiki Hii na Makampuni Mbalimbali.....Bonyeza Links zifuatazo Kusoma zaidi na Kuapply: 1.Job Opportunities at University of The Arusha (UoA) 2.Project Manager at BRAC Tanzania 3.Project Officer at BRAC Tanzania 4.Laboratory Lead at ICAP 5.Project Director...
Share:

Meya wa Manispaa ya Iringa Aliyeng'olewa kukabidhi ofisi leo

Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe amesema atakabidhi ofisi na gari la meya leo Jumanne asubuhi baada ya kukamilisha taratibu za kiofisi. Kimbe ametoa ufafanuzi huo kwa waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kutaka kujua kwanini anaendelea na kazi licha ya kuondolewa madarakani...
Share:

Atiwa Mbaroni Kwa Kumfundisha Mbwa Kuendesha Gari

Mwanaume mmoja kutoka Lakewood Washington nchini Marekani, amekamatwa kwa kosa la kumfundisha Mbwa wake mwenye jinsia ya kike kuendesha gari kwa spidi, hali iliyopelekea kusababisha ajali. Jamaa huyo alimuweka Mbwa wake katika siti ya dereva, ambapo amesababisha ajali ya gari mbili zilizokuwa mbele...
Share:

Spika Ndugai Ataka Tusiwaige Wazungu Katika Kupambana Na Virusi Vya Corona

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema kuwa kama nchi haiwezi kuchukua tahadhari kama zilivyochukuliwa na Mataifa mengine duniani ya kupambana na Virusi vya Corona kwa kuwa watu wengi nchini maisha yao ni ya kubangaiza siku kwa siku. Hayo ameyabainisha leo Machi 31,...
Share:

Halima Mdee Ashauri Wabunge Wote Wapimwe Virusi Vya Corona

Na.Faustine Gimu Galafoni,Dodoma Mbunge wa jimbo la Kawe jijini  Dar Es  Salaam Mhe.Halima  Mdee ameishauri  Serikali kufanya mchakato wa kupima Corona wabunge wote na watakaobainika wawekwe karantini. Mhe.Mdee amesema hayo leo Machi 31,2020 bungeni jijini Dodoma ambapo amebainisha...
Share:

WAZIRI MPINA ASHTUKIA UPIGAJI WA BILIONI 2.6 UJENZI MAABARA YA UVUVI, AAGIZA TAKUKURU KUCHUNGUZA NDANI YA SIKU 7

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akipata maelezo ya namna ya shughuli ya ujenzi wa mradi wa jengo la Maabara ya Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) Kituo cha Dar es Salaam  kutoka kwa Mkandarasi wa Kampuni ya Petra Constuction co. Limited, Nicholaus Mlayi alipotembelea...
Share:

Viongozi wa Dini Rukwa waazimia kupunguza muda wa ibada kujihadhari na Corona

Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Rukwa wamekubaliana kuwa kila dhehebu kulingana na imani zao kuona namna ya kupunguza muda wa kufanya ibada katika misikiti na makanisa mbalimbali ili kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19). Wamekubaliana...
Share:

Elimu juu ya Ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona itolewe katika Maeneo ya Vijijini.

SALVATORY NTANDU Wakazi wa mkoa wa Shinyanga wameiomba serikali kuwachukulia hatua kali za kisheria baadhi ya wananchi wanaokaidi maagizo ya Wizara ya Afya,Maendeleo ya jamii,Wazee na Watoto juu ya kujikinga na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya  Corona kwa kutonawa mikono kwa maji yaliyowekewa...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger