Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Shirika lisilo la kiserikali ya Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) linalojihusisha na mapambano dhidi ya Virusi Vya UKIMWI na UKIMWI imeungana na serikali ya mkoa wa Shinyanga kuadhimisha Siku ya UKIMWI duniani Desemba 1,2019 kwa kutoa...
Sunday, 1 December 2019
Lazaro Nyalandu Achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati

Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema, Kanda ya Kati kwa kupata kura 60 kati ya 86 zilizopigwa na kumshinda aliyekuwa mwenyekiti wa kanda hiyo, Alphonce Mbasa.
Akitangaza matokeo hayo leo Jumapili Desemba Mosi, 2019, Mwenyekiti wa Baraza...
Waziri wa Kilimo: Watakaoajiri Watoto Chini Ya Miaka 18 Kwenye Tumbaku Kukiona Cha Moto

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dar es salaam
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) amesisitiza marufuku yake aliyoitoa hivi karibuni kuhusu ajira kwa watoto ambao wapo chini ya miaka 18.
Mhe Hasunga amepiga marufuku hiyo jana tarehe 30 Novemba 2019 wakati akizungumza kwenye mkutano na waandishi...
Halmashauri Ya Jiji La Dodoma Yaanza Kutekeleza Agizo La Rais La Kuwalipa Fidia Wananchi Waliopisha Eneo La Jeshi.

Na.Faustine Gimu Galafoni ,Dodoma
Halmashauri ya jiji la Dodoma imeshaanza kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli alilotoa Nov.25 mwaka huu la kulipa fidia kwa wananchi 1526 wanaopisha eneo la Jeshi la Wananchi Jijini Dodoma.
Akizungumza na Waandishi...
Sekta Ya Ardhi yatakiwa Kupewa Kipaumbele Katika Mipango Ya Maendeleo Nchini

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Eng. Stellah Manyanya amezitaka idara mbalimbali za Serikali kuipa kipaumbele sekta ya ardhi katika mipango ya maendeleo inayofanyika nchini.
Eng. Stellah Manyanya ameyasema hayo wakati akifungua Mkutano mkuu wa sita wa Mwaka wa Wataalaamu wa Mipangomiji ulioanza...
Elimu Ya Umeme Kwa Wasioona Yaipa Tanesco Taswira Mpya

SHIRIKA la Umeme Nchini TANESCO limeendesha semina maalum inayohusu masuala ya Umeme kwa wanachama wa chama cha wasioona Tanzania (TLB) mkoani Morogoro.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa warsha hiyo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare amesema kuwa Tanesco imeonyesha...
Chama cha Walimu Tanzania Kujenga Kiwanda Cha Mikate Lishe Simiyu

Na Stella Kalinga, Simiyu RS
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinatarajia kujenga kiwanda cha mikate lishe kupitia kampuni yao inayosimamia Maendeleo ya Walimu ya biashara (TDCL), katika eneo la Ng’hami wilayani Maswa mkoani Simiyu.
Akimkabidhi Katibu wa Chama cha Walimu Nchini, Mwl. Deus Seif...
Kampeni Ya Elimu Kwa Mlipakodi Kuanza Kesho Dar

Na Veronica Kazimoto, Dar es Salaam
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inatarajia kuanzisha Kampeni ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi katika Mkoa wa Dar es Salaam itakayodumu kwa siku 13 kuanzia kesho tarehe 2 hadi 14 Desemba, 2019.
Akizungumzia kampeni hiyo leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa...
WENYEVITI WAPYA WA VIJIJI NA VITONGOJI JIMBO LA KISESA MKOA WA SIMIYU WAAPISHWA, MBUNGE MH. LUHAGA MPINA AWATAKA WAKATAMBUE MAHITAJI YA WANANCHI, KUTANGAZA MAFANIKIO YA RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI

Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na wajumbe wao kutoka Jimbo la Kisesa wilayani Meatu Mkoa wa Simiyu wakila kiapo cha utii kwenye hafla iliyofanyika Mwandoya Makao Makuu ya Jimbo la Kisesa.
Wenyeviti wote wa Vijiji vya Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu wakiwa katika picha...
Saturday, 30 November 2019
SERIKALI YAANZA MCHAKATO WA KUPANDIKIZA FARU WEUPE NCHINI KWA MARA YA KWANZA
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Khamis Kigwangala akiwa na baadhi ya wasanii wa muziki na filamu katika hifadhi ya Burigi Chato
Na Ashura Jumapili - Malunde 1 blog
WIZARA ya Maliasili na Utalii ipo katika mchakato wa kupandikiza Wanyama zaidi wa aina mbalimbali katika hifadhi...