Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Thursday, 23 May 2019
Picha : MAFUNZO YA SHERIA KWA BLOGGERS YAFUNGWA
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Wednesday, 22 May 2019
Picha : AGAPE YAKUTANA NA VIONGOZI WA JAMII KUWAPA NONDO ZA KUENDELEZA VITA DHIDI YA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI
na ndoa za utotoni.
ya kupambana kutokomeza matukio ya ukatili kwa wanawake na watoto zikiwamo mimba na ndoa za utotoni ili kuendeleza kupinga ukatili ndani ya jamii,” ameongeza.
vitongoji kwenye kata hiyo elimu ambayo wamepewa wakaitumie vizuri katika kutokomeza matukio hayo ya ukatili kwa wanawake na watoto, na kuzuia ndoa za utotoni kwa kufanya uchunguzi kama binti anayeolewa si chini ya umri
wa miaka 18.
bado wanaendekeza vitendo hivyo.
kipindi cha nyuma.
Mratibu wa elimu ya afya ya uzazi na ujinsia kutoka Shirika la Agape Lucy Maganga akizungumza katika kikao hicho ambapo amewataka wenyeviti wa vitongoji kata ya Usanda na waelimishaji rika, kuwa elimu ambayo wameipata ya kutokomeza ukatili kwa wanawake na watoto wakaitumie vizuri kuisambaza kwa wananchi ili kuibadilisha na kuachana na vitendo hivyo vya ukatili likiwamo na suala la kuozesha watoto wa kike ndo za utotoni. Picha zote na Marco Maduhu - Malunde1 blog
halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
The key requirements for carrying on the jkt camps – For jkt Selected students 2019
vifaa vya kwenda navyo jkt mujibu wa sheria – National Services JKT 2019 , vitu vya kwenda navyo jkt 2019, post za jkt 2019, mujibu wa sheria 2019, JKT 2019, JKT selection 2019 . jkt 2019, , jkt mafinga 2019 , kidato cha sita jkt 2019, mahitaji muhimu jkt 2019, The list of Form Six leavers joining the – jkt selection 2019, waliochaguliwa jkt form six 2019, jkt form six 2019 , form 6 jkt 2019, – Check majina ya waliochaguliwa jkt 2019. JKT selection 2019 intake – www.jkt.go.tz 2019
Below are the comprehensive jkt checklist, covering all the things that any Form six student could possibly need during JKT national service training course….
Take a good look at the whole checklist on the pdf document below
SEE ALSO
The post The key requirements for carrying on the jkt camps – For jkt Selected students 2019 appeared first on Udahiliportal.com.
Mo Dewji Aipongeza Yanga...Amwaga Bodaboda Kwa Wachezaji Na Kutangaza Hatma Ya Kocha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Timu ya SimbaSC , Mo Dewji amesema baada ya Kocha Mkuu wa Klabu hiyo,Patrick Aussems kutimiza malengo yaliyowekwa na Klabu,tayari bodi imepanga kukaa naye na kumuongezea mkataba mpya ili aendelee kuifundisha Simba SC.
Kuhusu ahadi ya Milioni 5 kwa kila mchezaji baada ya ubingwa, Mo Dewji amesema hakutoa ahadi hiyo bali alisema atatoa zawadi ya Pikipiki(Boxer) kwa kila mchezaji na tayari amewapa ili kuinua vipato vyao,MO amesema wakiweka watu wa kuziendesha zitawaingizia kipato.
Dewji amesema ameshaongea na viongozi wa klabu ya DC United ya Marekani na kuwaomba wakafanye maandalizi ya msimu ujao huko pia wacheze nao na timu nyingine za LMS au kwenda nchini Ureno ili wakacheze na timu za huko.
Katika hatua nyingine MO ameipongeza Klabu ya Yanga kwa kuongeza ushindani kwenye Ligi.
"Naipongeza Yanga SC kwa kuleta ushindani mkubwa kwenye Ligi yetu na nichukue fursa hii kuwapongeza viongozi wapya wa Yanga SC na niwaombee wajipange ili waweze kufanikiwa, najua msimu ujao utakuwa mgumu sana"amesema Mo na kuongeza;
''Kwenye usajili tupo makini sana,leo tunapata ripoti ya kocha juu ya wachezaji wa nyumbani anaowataka,pia katika wachezaji 10 wa kigeni mpaka leo usiku kocha atatuambia anabaki na nani na nani waondoke..Simba itakuwa kwenye soko la kushindana na timu kama Mazembe na Al Ahly"
''Katika kusajili, kuna wachezaji wengine tutawatoa kwa mkopo lengo ni kutengeneza timu yenye ushindani zaidi na tutajitahidi usajili wetu uende sawa na vilabu vikubwa Afrika ili tukafanye vizuri kwenye Ligi ya Mabingwa''
Waziri Mpina Atoa Onyo kwa Watumishi Wanaokamata Mifugo na zkuishikilia Hadi Kufa ikiwa Mikononi mwao
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Luhaga Mpina amesema serikali itaendelea kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaofanya ukatili kwa wanyama ambapo amesema ifikapo tarehe 1.Julai ,2019 watendaji wanaoshikilia mifugo hadi kufa ikiwa mikononi mwao watashughulikiwa.
Mhe.Mpina amesema hayo leo Mei 22,2019 Bungeni jijini Dodoma ambapo amesema mifugo ni rasilimali za nchi kama rasilimali nyingine na wizara yake haitavumilia kuona mtendaji wa Serikali akishikilia mifugo mpaka ina kufa kwa kigezo cha kufuata sheria kwani hata mifugo nayo ina sheria zake.
Awali ,Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega wakati akijibu swali la mbunge wa Wa Morogoro Kusini Prosper Mbena aliyehoji juu ya ukatili wa wanyama kushamiri nchini ,chama cha kuzuia ukatili wa wanyama Tanzania ,TSPCA kina shirikiana kwa kiasi gani na Serikali ili kuzuia ukatili ,Mhe.Ulega amezitaja sheria za wanyama pindi wanapokamatwa ikiwa ni pamoja na kupatiwa malisho,maji na chanjo.
Kuhusu uanzishwaji wa viwanda vya kuchakata na kusindika nyama katika maeneo yaliyo karibu na wafugaji ili kupunguza ukatili wa wanyama pindi wanaporundikwa kwenye magari wakati wanaposafirishwa Kwenda Dar Es Salaam kwa ajili ya kuchinjwa,Mbunge wa Msalala Ezekiel Maige amehoji lini serikali itaanzisha viwanda katika maeneo mbalimbali ya wafugaji nchini ikiwa ni pamoja na Shinyanga.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema mchakato wa kufufua viwanda vya kuchakata na kusindika nyama nchini upo palepale na kinachotakiwa ni kupata mwekezaji aliyejipanga vizuri.
Hata hivyo,Serikali inashirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali kama TSPCA katika kudhibiti vitendo vya kikatili kwa wanyama kwa kuzingatia sera ya mifugo ya mwaka 2006 na sheria ya Ustawi wa wanyama ya mwaka 2008 kwa kuelimisha jamii.
Mwaka 2018 jumla ya Makosa 3,542 kwa kosa la ukatili wa wanyama yaliripotiwa ambapo ni ng’ombe 847 ,mbuzi na kondoo 1,578,nguruwe 88,kuku 539 na punda 490. .

















