Mtendaji Mkuu wa Wakala, Dk. Jabiri Bakari,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo jijini Dodoma wakati akitoa taarifa kuwa Wakala wa Serikali Mtandao umetengeneza mfumo wa matumizi ya Tehama katika kuboresha utendaji kazi Serikalini.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali...
Tuesday, 30 April 2019
ALMASI KUBWA KULIKO ZOTE YAPATIKANA SHINYANGA....HAIJAWAHI KUTOKEA

Almasi yenye ukubwa wa karati 521 imepatikana katika mgodi wa Mwadui Mkoani Shinyanga tangu mgodi huo uanze uzalishaji miaka 87 iliyopita.
Akitoa taarifa hiyo Ofisini kwake mbele ya waandishi wa Habari leo tarehe 30 Aprili, 2019, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amesema almasi hiyo itauzwa...
Waziri Mkuu Ahimiza Wakazi Dodoma Wachangie Damu ...Asisitiza Wanaume Wapime Vvu Ili Wajue Hadhi Zao, Wasitegemee Wake Zao

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Dodoma wajitokeze kwa wingi kuchangia damu ili iweze kutumika kuokoa maisha ya wengine.
Ametoa kauli hiyo hilo leo (Jumanne, Aprili 30, 2019) wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa Dodoma waliohudhuria kilele cha maadhimisho ya miaka 10 ya Mfuko wa...
Nyumba imeshuka bei: Mapinga (Baobab sec

Nyumba imeshuka bei: Mapinga (Baobab sec)
Nyumba hii imeshuka bei kutoka mil 55 mpaka mil 45, kwa mwenye uhitaji awahi kuona na kununua. Nyumba ni kubwa sana, imejengwa kwa kiwango, ina vyumba 4, sebure, dining na kitchen. Nyumba hii ina kiwanja kikubwa chenye sqm 2200, ( 35/63 mita) na kimepimwa.
Pia...
IGP Sirro Asema Jeshi la Polisi Limejipanga Vizuri Kuelekea Uchaguzi wa serikali za mitaa
Na Amiri kilagalila-Njombe
Jeshi la polisi Nchini limesema limejipanga vizuri kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Akizungumza na waandishi wa habari mkoani Njombe,mkuu wa jeshi la polisi Nchini IGP Simon Siro wakati akiwa katika ukaguzi wa kawaida, kukagua...
Rais Magufuli Aelezea masikitiko yake kufuatia timu za soka za taifa Kufungwa na Mataifa Mengine
Rais Magufuli ameeleza masikitiko yake kufuatia timu za soka za taifa ambazo ni timu ya wakubwa (Taifa Stars) na timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys, kufungwa na timu za mataifa mengine katika michuano mbalimbali ambayo imechezwa hivi karibuni.
Magufuli amesema hayo...
Waziri Mkuu: Serikali Imetoa Sh. Bilioni 118 Kuimarisha Mawasiliano
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema tangu Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote uanzishwe, Serikali imechangia shilingi bilioni 118 ili kuimarisha huduma za mawasiliano ambapo wakazi zaidi ya milioni tano kwenye kata 703 zenye vijiji 2,501 wameweza kufikiwa.
Ametoa kauli hiyo hilo leo (Jumanne, Aprili 30,...
IGP Sirro Atua Mkoani Njombe na Kutoa Maelekezo Mazito Kuhusu Matukio ya Ubakaji na Mauaji
Na Amiri kilagalila-Njombe
Jeshi la polisi Nchini limeahidi kushughulika na vitendo vya mauaji vinavyoendelea kutokea mkoani Njombe kwa njia yoyote.
Kamanda wa polisi Nchini IGP Simon Siro akiwa mkoani Njombe kwa ukaguzi wa kawaida, amesema kuwa amezielekeza timu za upelelezi kuhakikisha yeyote atakayehusika...
Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba Aukosoa Mfumo wa Elimu Tanzania
Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba (CCM), amesema elimu ya Tanzania ni kama kifungo cha maisha.
Akichangia mjadala wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, bungeni leo Aprili 30, Kishimba amesema muda wa kusoma shule Tanzania ni mrefu na unachangia vijana kuzeeka kabla...
Rais Magufuli Akataa Ombi la Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Kuhusu Vyama vya Upinzani
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya,Albert Chalamila amesema,haoni sababu ya kuwa na mfumo wa vyama vingi nchini badala yake kuwe na chama kimoja tu kitakachoitwa 'Magufuli Ruling Party'.
Chalamila ameyasema hayo leo Jumanne, Aprili 30, 2019, wakati akitoa salamu za mkoa wake kwa Rais Magufuli kwenye mkutano...
Ufahamu Ugonjwa Wa Ngiri Na Tiba Yake

Tatizo la Ngiri Linavyosababisha Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Kusinyaa.
Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikiria au kubeba viungo (organs) fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi (Opening) na hivyo...
Makatibu Wakuu Tanzania Na Uganda Wakutana Kujadili Changamoto
Na Munir Shemweta, WANMM BUKOBA
Makatibu Wakuu wa Tanzania na Uganda wanakutana mjini Bukoba mkoani Kagera katika mkutano wa mahusiano kujadili changamoto zinazozikabili nchi hizo ikiwemo Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa pamoja na Matumizi endelevu ya rasilimali za Bonde la mto Kagera..
Mkutano huo...
Taarifa Kuhusu Tuzo za Mo Simba 2019
Tuzo za Mo Simba zilizoasisiwa na Mohammed Dewji mwaka 2018 zinatarajiwa kutolewa kwa awamu ya pili baada ya kumalizika kwa msimu wa 2018/2019.
Tuzo za mwaka huu zitahusisha wachezaji na mashabiki wa klabu ya Simba ambao juhudi zao zimewezesha klabu kufikia mafanikio ambayo imeyapata kwa msimu wa...
Kujichua Kwa Muda Mrefu Husababisha Maumbile ya Kiume Kusinyaa na Kupungukiwa Nguvu za Kiume

Wanaume wengi waliofanya mchezo wa kujichua kwa muda mrefu hupatwa na madhara ya kuwa na kusinyaa na kudumaa kwa maumbile yao ya kiume ambayo huenda pamoja na ...
Mikononi mwa polisi kwa kukutwa na nyaraka za serikali
Na Amiri kilagalila-Njombe
Kijana aliyefahamika kwa jina la Ford Abel mwakatundu (28) mkazi wa makambako mkoani Njombe anashikiliwa na polisi kwa makosa ya kukutwa na nyaraka za serikali.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Salum Hamduni,amesema...
Watano Mbaroni kwa kumuua Mwanamke na Kumchana Sehemu za Siri
Na Amiri kilagalila-Njombe
Jeshi la polisi mkoa wa Njombe linawashikilia watuhumiwa watano kwa kuhusishwa na tukio la mauaji ya mwanamke aliyefahamika kwa jina la Edina Ng'uku (50)
Akizungumza na waandishi wa habari,kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Salum Hamduni amesema : Mnamo April 6 majira ya...
Polisi Njombe yaua majambazi wawili, mmoja atoroka
Na Amiri kilagalila-Njombe
Jeshi la Polisi Mkoani Njombe limefanikiwa kuwaua majambazi wawili kati ya watatu waliokuwa wakijaribu kupora mali kwa kutumia Jambia,kisu na Panga.
Akizungumza na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa polisi mkoa wa Njombe ACP Salum Hamduni,amesema tukio hilo limetokea...