NECTA yaachia matokeo ya wanafunzi ambaowamemaliza kidato cha nne 2016 ,Kama
kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma ya kuangalizia
majina endapo unahitaji kujua matokeo yako;
ILI KUANGALIZIWA FANYA YAFUATAYO;
TAFADHALI FANYA YAFUTAYO KAMA UNATAKA KUANGALIZIWA;
1.TUMA ...
Tuesday, 31 January 2017
Tathmini ya Matokeo ya Kidato cha nne 2016 -Tazama matokeo Hapa
Baraza
la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne
mwaka 2016 ambapo umefaulu wa jumla umeongezeka kwa 2.56% kutoka 67.53%
mwaka 2015 hadi 70.09% mwaka 2016.
Katibu
Mtendaji wa barza hilo, Dkt Charles Msonde amesema kati ya wanafunzi
408,372 waliofanya...
Shule 10 Bora na 10 za Mwisho katika Matokeo Kidato cha Nne 2016
Leo January 31 2017 Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2016’.
Hapo chini kuna orodha ya shule 10 bora kitaifa na shule 10 zilizoshika mkia
...
Monday, 30 January 2017
TANGAZO JIPYA LA KAZI MASWAYETU BLOG
Habari zenu,
Maswayetu blog inatafuta vijana 10 ambao watafanya kazi na blog hii kwa kupost habari mbalimbali kila zinapotokea na kushare sehemu mbalimbal...
MAALIM SEIF:NITAKUWA RAIS WA ZANZBAR
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema mgogoro wa Zanzibarna anaamkni atakuwa Rais Zanzibar.
Amesema, mgogoro visiwani humo utamalizika endapo viongozi wa vyama vyote va siasa watakaa chini kufanya mazungumzo.
Akizungumza katika mahojiano katika kipindi cha Funguka kinachorushwa
na Kituo cha Televisheni cha Azam, Maalim Seif alisema jambo la muhimu...
MTUMISHI ASIEWASILISHA CHETI CHAKE IFIKAPO MACHI MOSI MWAKA HUU KAJIFUKUZISHA KAZI
MTUMISHI wa umma atakayeshindwa kuwasilisha cheti cha elimu na
taaluma au “Index number” ya mtihani ili zihakikiwe na Baraza la
Mitihani la Taifa (Necta), itakapofika Machi mosi mwaka huu, atakuwa
kajiondoa kazini mwenyewe, imeelezwa.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora), Angellah Kairuki alibainisha hayo mwishoni mwa wiki
wakati akifungua Mkutano...
Mahakama Yapiga marufuku amri ya Rais Trump kuzuia Watu Kuingia Marekani
Mahakama
moja ya New York Marekani imeridhia ombi la wanaharakati waliokwenda
Mahakamani kupinga amri ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo, kupiga
marufuku Wakimbizi wa Syria na raia wengine wa nchi sita za kiislamu
kama Iran, Iraq, Somalia, Sudan, Libya na Yemen wasiingie Marekani.
Mahakama
...
Picha: Treni ya abiria yapata ajali ikitokea Kigoma kwenda Dar
Treni
ya abiria ya EXPRESS ikitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam leo January
29 2017 imepata ajali maeneo ya Ruvu ndani ya mkoa wa Pwani ikiwa ni
kilometa kadhaa kabla ya kufika kwenye jiji la Dar es salaam.
Shuhuda
ambaye alikua ndani ya Treni hiyo amesema Behewa zaidi ya 10
zimepinduka...
Friday, 27 January 2017
Wazee 2 mbaroni kwa ubakaji, ulawiti watoto 11
WAKAZI wawili akiwemo Mustafa Kassimu (75) ambaye ni mganga wa tiba
za asili katika wilaya ya Korogwe mkoani Tanga na fundi wa kushona nguo,
Rashidi Singano (70) wa wilayani Lushoto, wanashikiliwa na polisi kwa
tuhuma za kubaka na kulawiti wanafunzi 11 wa shule za msingi.
Katika tukio la kwanza la Januari 24, mwaka huu, Polisi inamshikilia
fundi cherehani huyo ambaye...
Watu 14 akiwamo Mchina wafukiwa mgodini Geita
Watu
14 akiwemo Mchina, wanahofiwa kufa baada ya kufukiwa katika mgodi wa
dhahabu wa Kampuni ya RZ Union Mining Ltd uliopo Kata ya Nyarugusu
mkoani Geita.
Mkuu
wa Mkoa wa Geita, Ezekiel Kyunga jana alisema watu hao wamefukiwa chini
ya mgodi baada ya mlango wa kuingilia kwenye shimo la mgodi...
Tanzania na Malawi Kukutana Kujadili Sakata la Watanzania 8 Waliokamatwa
Tume
ya Ushirikiano wa Pamoja ya Kudumu (JPCC) kati ya Tanzania na Malawi,
inatarajia kukutana nchini humo kwa ajili ya kujadili masuala
mbalimbali, ikiwemo la Watanzania nane kukamatwa nchini humo kwa tuhuma
za kuingia eneo la migodini bila kuwa...
Mkuu wa Wilaya ajiuzulu, amwandikia barua Rais Dkt Magufuli
Aliyekuwa
mkuu wa wilaya ya Uyui Bw.Gabriel Mnyele akizungumza na Mwandishi wa
habari wa Azam tv Juma Kapipi wakati akiwa ofisi za CCM Wilaya ya Uyui
ikielezwa kuwa alikuwa ameitwa na Uongozi wa chama hicho kufuatia kuwepo
kwa taarifa kwamba ameamua kuachia ngazi nafasi ya Ukuu wa wilaya hiyo...