Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwatangaza Makatibu Tawala wa
Wilaya wateule katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Raisi - Utumishi
leo jioni.
...
Shekhe mkuu wa Tanzania ametangaza kuwa siku ya kesho ni id el fitri.
Uongozi wa Maswayetu Blog kwa pamoja unapenda kuwatakia waislam wote Tanzania heri na nafaka ya sikukuu ya ID EL FITRI hapo siku ya kesho.
Uongozi unawasihi kusheherekea kwa utulivu na amani.
Thanks.
MASWAYETU...
Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda ameelezea mipaka yake ya kazi kati yake na meya wa jiji kwa kuwa watu wengi huwa wanachanganya.
Amesema meya wa jiji ni amechaguliwa na madiwani kuwa mwenyekiti wao,
kama ilivyo kwa spika wa bunge alivyochaguliwa na wabunge kuwa
mwenyekiti wao na kazi yao ni kuwa mwenyekiti wa kikao.
Ameongezea kuwa kiutaratibu meya anaingia manispaa mara mbili kwa wiki
na inapendekezwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa
mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa kifungu cha 48 cha sheria ya tafsiri za
sheria (Interpretation of Laws Act) Sura 1, leo tarehe 5 Julai, 2016
ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo ya TIB
Prof. William...
Good news kwa watanzania wote kwa mwaka 2016 ilikuwa ni headlines za nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta kujiunga na KRC Genk ya Ubelgiji, lakini leo July 5 2016 jina la...