INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Hii ni orodha kamili ya washindi
Best Audio Producer
Dr Fizol
Best Video Producer
Savy Films – Sasha Vybz
Best Songwriter
Moses Radio
Best Hip Hop Song
Kigozi (Iko Hivi) by Navio
Best RnB Song
Linda by Rema and Chris Evans
Best Ragga Dancehall Song
Friendly Match by Ziza Bafana & Zanie Brown
Best Reggae Song
Go Mama by Bebe Cool
Best Religious Song
Saum Kareem by...
Monday, 1 February 2016
Zari ahofia kuishi Bongo!

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwandani wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady.
Stori: MUSA MATEJA, WIKIENDA
Dar es Salaam: Ubuyu! Tumbuatumbua ya majipu ya Rais wa Awamu ya Tano,
Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ inadaiwa kumtisha mwandani wa Mwanamuziki
Nasibu...
Serikali Yakataa Maombi Yote Ya Shule Binafsi Kupandisha Ada Mwaka Huu

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kamishna
wa Elimu nchini amekataa maombi yote ya shule za msingi na sekondari
zisizo za Serikali kupandisha ada katika mwaka huu wa masomo na ameagiza
shule zilizopandisha ada kinyume cha tamko la Serikali kusitisha ada
hizo mpya.
Kutokana
na uamuzi huo, Wizara...
Mkoa wa Dar es Salaam Kuwa na Wilaya 5

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais
Dk. John Magufuli ameidhinisha kuwepo kwa wilaya tano katika jiji la
Dar es Salaam, badala ya tatu zilizokuwepo awali, ili kuleta maendeleo
ya haraka hususan katika elimu.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, alisema juzi kuwa, waliwasilisha
ombi...
Jaji Mkuu: Maharti ya Dhamana Mahakama za Mwanzo Kupunguzwa

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jaji
mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed Othman Chande amesema idara ya mahakama
ipo katika mchakato wa kuangalia upya masharti ya dhamana yanayotolewa
katika mahakama za mwanzo baada ya kubainika kuwa ni magumu hali
inayochangia mlrundikano wa mahabusu katika magereza...
Askofu Mpya KKKT Aonya Utumbuaji MAJIPU.......Amtahadharisha Rais Kutumbua Majipu kwa Haki, Asema Bunge Halipaswi Kulindwa na Jeshi

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo (kulia) na
Askofu Mkuu wa KKKT Mstaafu Alex Malasusa baada ya ibada ya kumuingiza
kazini Askofu Shoo iliyofanyika kwenye Kanisa Kuu...
Mahakama Yashusha Rungu kwa Majangili,Yawapiga Kifungo cha Miaka 20 na Faini ya Milioni 270

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mahakama
ya Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida, imewahukumu mtu na kaka yake,
kutumikia kifungu cha miaka 20 kila mmoja na kulipa fidia ya sh. milioni
270, baada ya kuwatia hatiani kwa makosa ya kukutwa na meno ya tembo,
silaha na risasi kinyume cha sheria.
Washitakiwa
...
Jini Mauti-20
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Nilisema huku nikilia mno. Hawakuniambia kitu chochote kile zaidi ya
kuondoka. Katika kipindi chote hicho sikuwa nikijua kwamba bibi yangu
aliniwekea jini mauti mwilini mwangu na kwamba kwa kila mwanaume ambaye
ningefanya naye mapenzi ilikuwa ni lazima afariki dunia. Endelea….
Siku iliyofuata, nilikwenda shuleni kama kawaida, nilipofika,
nikaanza...
Waziri Alipokiri Kuwa Mchawi-39
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ILIPOISHIA IJUMAA:
“Basi wewe nenda.”
Mlinzi akatoka. Mimi niliogopa kurudi chumbani, nikaenda kukaa sebuleni.
Niliogopa kurudi chumbani kwa sababu nilijua mke wangu alikuwa
akinisubiri anishambulie kwa maneno na ugomvi wake ungekuwa mkubwa.
Pale sebuleni nilifungua TV, nikawa ninatizama taarifa mbalimbali za nje. Usingizi ulikuwa umeniruka.SASA ENDELEA…
Wakati nimekaa...
Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-16
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA:
“Mimi sijui,” alijibu baba Pilima. Alishaanza kuwa na wasiwasi sasa.
Akashika simu na kuandika namba ya rafiki yake Juma wa Mbezi-Beach ili
amuulize kisa cha kutoa namba yake kwamba anawajua wateja wa mbao wakati
anajua yeye si mfanyabiashara.
JIACHIE MWENYEWE SASA…
Baba Pilima mwenyewe alitaka kumzuia, lakini moyoni akasema aache tu,
...
True Memories Of My life – 46
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wiki iliyopita niliishia
nilipokuwa nasema kuwa bunduki sizilaumu kwa uhalifu unaoendelea nchini,
maana hazina uwezo wa kujifyatua, bali nalaumu mikono ya vijana wetu
inayozigusa bunduki hizo na kufyatua! ninachoiomba serikali ya awamu ya
tano ni kufanya kile kila kinachowezekana kutengeneza mazingira ya
vijana kufanikiwa, tuendelee kubana matumizi, ufisadi lakini...
Namna ya kudumisha uhusiano wa mbali (Distance Relationship)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Karibu
tena mpenzi msomaji wa XXLove kwa ajili ya mada nyingine murua
inayozungumzia ‘Namna ya Kuweza Kudumisha Uhusiano wa Mbali wa Kimapenzi
(Distance Relationship)’ kwa wapenzi wanaoishi mbalimbali.
Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu...
Tofauti ya kuwa na virusi vya Ukimwi na kuwa na Ukimwi

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wasomaji wengi wa safu hii wamekuwa wakiniuliza nini tofauti kati ya
kuwa na virusi vya Ukimwi na mtu kuwa na Ukimwi.Ukweli ni kwamba kuna
tofauti kati ya mtu mwenye virusi vya Ukimwi na yule ambaye ana Ukimwi,
jambo ambalo wengi hawalijui. Mtu anapokuwa ameambukizwa...
The angel of darkness – 43
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Magaidi walioshambulia katika
kituo kikubwa cha biashara cha Kikuyu Mall jijini Nairobi, Kenya
wanasababisha vifo vya watu wengi, wakiwemo Joseph Ndaki, Meneja wa
Benki Kuu ya Tanzania, Tawi la Dar es Salaam na mkewe, Asia Mustafa.
Baada ya Watanzania hao kufa, wanawaacha yatima watoto wao mapacha,
Arianna na Brianna ambao kila mmoja anapitia maisha ya tofauti kabisa...
Nelly Muosha Magari wa Posta-24
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mpenzi msomaji, wiki
iliyopita niliishia pale fundi Yassin alipomfahamisha Doreen kwamba kwa
siku ile walimaliza kazi ndipo mtoto huyo wa kishua aliwapa pole
akaingia ndani alikochukua bahasha ya khaki na kumkabidhi fundi huyo.
Je, kilifuatia nini? Songa mbele na chombezo hili lisiloisha utamu…
Kwa vile alijua ulikuwa ‘mpunga’ wa maana, fundi Yassin alitabasamu
na...
Wabogojo atoboa kwa kucheza kwenye maji China

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Athuman Ford ‘Wabogojo.
Na Gabriel Ng’osha
Nani amekwambia Mbongo hawezi kutengeneza fedha nchini China? Sasa
sikia hii, Athuman Ford ‘Wabogojo’ au Wabo kwa Macau ni Mbongo mwenye
kipaji cha kutumia mwili wake kwa kuukunja atakavyo. Aling’ara kwa mara
ya kwanza katika...