INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Friday, 1 May 2015
UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 LAZIMA, KIKWETE ASIONGEZEWE MUDA, KURA YA MAONI BAADAE
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA),
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
TAARIFA KWA UMMA,
DAR ES SALAAM, ALHAMIS, 30 APRIL 2015
UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 LAZIMA, KIKWETE ASIONGEZEWE MUDA, KURA YA MAONI BAADAE
Thursday, 30 April 2015
ORODHA MPYA YA AJIRA MPYA ZA UALIMU APRIL 30 2015 ZATANGAZWA ,MAJINA YAONGEZWA,WENGI WAAJIRIWA ANGALIA HAPA MAJINA YOTE-ARTS,SCIENCE NA MAABARA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mpendwa msomaji wa blog yetu tunaendelea kukuhakikishia habari kila wakati zenye uhakika,hatimae TAMISEMI wameachia majina waliyokuwa wanayarekebisha,majina mengine yaongezwa.
Endapo utapenda kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo; 1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO
PAUL PAUL(AJIRA-UALIMU DIPLOMA-ARTS)

MPYA:"AJIRA MPYA ZA UALIMU APRIL 30 2015 ,MAJINA YAONGEZWA,WENGI WAAJIRIWA ANGALIA HAPA MAJINA YOTE-ARTS,SCIENCE NA MAABARA"
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mpendwa msomaji wa blog yetu tunaendelea kukuhakikishia habari kila wakati zenye uhakika,hatimae TAMISEMI

Endapo utapenda kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO
PAUL PAUL(AJIRA-UALIMU DIPLOMA-ARTS)
Endapo utapenda kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO
PAUL PAUL(AJIRA-UALIMU DIPLOMA-ARTS)
PICHA:WATOTO WAUA BABA,MAMA KATIKA MATUKIO TOFAUTI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mkono wa baba aliyeuliwa na mwanaye.
POLISI katika Jimbo la Enugu, Nigeria, wanachunguza vifoVIDEO:"DOWNLOAD VIDEO YOUNG KILLER FT ROMA,LINAH & OMMY DIPMOZ-"MUNGU BABA"
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Baada ya kutoa AUDIO hapo jana msanii wa kikazi kipya young killer ameachia video ya wimbo wake mpya
UKAWA WAMALIZA KIKAO CHA SIKU MBILI RASMI MAJIMBO 227 YAGAWANWA,SOMA HAPA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Viongozi wakuu wa vyama vikuu vya upinzani UKAWA wakiwasili makao makuu ya CUF kwa ajili ya kuzungumza na wanahabari leo |
Wednesday, 29 April 2015
ANGALIA HAPA MATUKIO KATIKA PICHA MBALIMBALI MAZISHI YA BRIGEDIA HASHIM MBITA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hashim Mbita azikwa leo kwenye makaburi ya Kisutu, jijini Dar
Viongozi
mbali mbali wa Dini ya Kiislam wakishiriki pamoja na waumini wao kwenye
Ibada ya kuuswalia mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim
Mbita kwenye Msikiti wa Mtoro, Kariakoo na baadae kwenda kuuhifadhi
kwenye nyumba yake ya milele, Makaburi ya Kisutu, Jijini Dar es Salaam
leo.Picha zote na Hamis Makuka.
KILI MUSIC AWARD 2015:"HAYA HAPA MAJINA YA WASANII WALIOTEULIWA KUGOMBANIA TUZO ZA KILI MUSIC AWARD 2015"
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli (katikati) akizungumza jambo, kulia ni Mratibu wa Tuzo za Muziki Tanzania kutoka BASATA, Kurwijira Maregesi pamoja na Msimamizi wa Mahesabu na Utawala kutoka AUDITAX.

AJALI:"BASI LA ABOOD LAGONGANA NA BASI LA AKTRI MAENENO YA MIKESE"
Mpya:"JESHI LA NIGERIA LAWAOKOA MABINTI 293,WALIOKUWA WAMETEKWA NA BOKO HARAM
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa
watoto wa kike mia mbili na tisini na tatu kutoka katika kambi ya Boko
Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, kaskazini mashariki mwa nchi
hiyo. Jeshi hilo limesema watoto hao waliokolewa si kati ya wale
waliotekwa mwaka mmoja uliopita na kundi la kiislamu katika eneo la
Chibok.