INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Laivu!
Ile Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers
imemfungia kazi na kumnasa sangoma anayedaiwa kuwafanyia mastaa mandigo
akiwemo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ili wang’ae kwa kuwasafishia
nyota aitwaye Khalid Tege.