INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Anafahamika
zaidi kama Rose Ndauka ni mmoja warembo wenye mvuto wa pekee ndani ya
tasnia ya bongo movies kwa vipaji vyake vingi sana.
Licha ya kuwa na uwezo mkubwa wa kuigiza pia rose ni mwandishi na mwongozaji wa Filamu.
Akiwa ameshaigiza kwenye zaidi ya Filamu kumi na saba (17) na kupata tuzo mbalimbali ikiwemo ya best actress in mini ziff 2011; Rose Pia ni mfanyabishara na anamiliki kampuni yake binafsi iitwayo Ndauka Entertainment inayojihusha na mambo ya Filamu na burudani.