
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mwandishi wetu TAYARI
imebainika kwamba, baadhi ya viongozi walioonesha nia ya kugombea urais
mwaka huu wameanza kupigiwa debe na wake zao ndani ya mitandao ya
kijamii ili waume hao watakapoibuka na ushindi wapate nafasi ya ‘u–First
Lady’, Risasi Jumamosi linakupa zai...