Saturday, 27 December 2014
HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu wapendwa wasomaji wa na watembeleaji wa blog yetu hii pendwa ya maswayetu blog,yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliojiunga na kidato cha kwanza 2015 shule mbalimbali tanzania.
Habari yenu wapendwa wasomaji wa na watembeleaji wa blog yetu hii pendwa ya maswayetu blog,yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliojiunga na kidato cha kwanza 2015 shule mbalimbali tanzania.
TANGAZO KUHUSU MAFUNZO YA VIJANA WA JKT (KUJITOLEA).
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MAFUNZO YA VIJANA WA JKT (KUJITOLEA).
TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA VIJANA WOTE WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA MWAKA 2015.
UTARATIBU UTAKUWA KAMA IFUATAVYO:
BARUA ZA MAELEKEZO ZITATUMWA MIKOANI FEBRUARI 2015
MAFUNZO YA VIJANA WA JKT (KUJITOLEA).
TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA VIJANA WOTE WANAOTAKA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA MWAKA 2015.
UTARATIBU UTAKUWA KAMA IFUATAVYO:
BARUA ZA MAELEKEZO ZITATUMWA MIKOANI FEBRUARI 2015
TANGAZO KUHUSU MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU JANUARY 2015
TANGAZO LA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA VIJANA WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA TATU (JANUARI HADI MACHI 2015). MPANGO HUO UMESITISHWA HADI UTARATIBU UTAKAPOTOLEWA KWA VIJANA WATAKAOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015. HIVYO KUANZIA JANUARI HADI MEI 2015 VIKOSI VYA MAFUNZO HAVITAPOKEA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA. KILA MMOJA ANAYEHUSIKA AZINGATIE TANGAZO HILI.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MAKAO MAKUU
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA MAKAO MAKUU
Thursday, 18 December 2014
UTEUZI KUTOKA IKULU:WILLY KITIMA ATEULIWA KUWA MSAAIDIZI WA RAIS NYARAKA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
UTEUZI :Willy Kitima Msaidizi wa Rais – Nyaraka
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
Website : www.ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425 |
PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ateuliwa Msaidizi wa Rais
Saturday, 13 December 2014
BREAKING NEEWZ:SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA ULAIMU KWA WANAFUNZI WALIOKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2014,MAJINA YA WANAFUNZI HAO HAYA HAPA
INNOCENT THE BLOGGER BOY
Kwa habari tulizozipata kutoka katika NACTE ni kwamba,viana wote waliokosa nafasi za kuiunga na kidato cha tano mwaka huu lakini walikuw na sifa za kujiunga na kidato cha tano wanatakiwa kuomba nafasi za ,afunzo ya ulaimu.
Zoezi la uombaji wa nafasi hizo limeanza na mwisho wake utakuwa ni tarehe 31 mwaka huu.
Endapo utahitaji kungaliziwa jina lako kama lipo tafdhali fanya yafuatayo;
Zoezi la uombaji wa nafasi hizo limeanza na mwisho wake utakuwa ni tarehe 31 mwaka huu.
Endapo utahitaji kungaliziwa jina lako kama lipo tafdhali fanya yafuatayo;
Friday, 12 December 2014
BREAKING NEEWZ:SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015,HII INAWAHUSU WANAFUNZI WALIOKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO,WALIMU WOTE WENYE ELIMU YA CHETI WALIOAJIRIWA ILI WAHAMISHIWE KATIKA MFUMO WA STASHAHADA,PIA YATOA MAJINA MENGINE MAPYA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA UALIMU JANUARY 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(ili kuanagliziwa jina lako kama lipo tafadhali tuma jina lako kwenda namba 0768260834 usipige simu ,pia ambatanisha na gharama ya tshs.800 kwa mpesa na utajibiwa mapema iwezekanavyo) |
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015
KUNDI LA I Waombaji 611 wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu ambao waliwasilisha maombi yao Wizarani awamu ya pili kwa ajili ya kuchaguliwa kujiunga na mafunzo mwaka wa masomo 2014/15. Waombaji hawa wamechaguliwa na kupangiwa vyuo kulingana na Programu za mafunzo (Angalia orodha iliyoambatanishwa). Waliochaguliwa wanatakiwa kufanya maandalizi ya kujiunga na vyuo walivyopangiwa kwa kuzingatia maelekezo ya fomu zilizoambatishwa za kujiunga na chuo husika. Tarehe rasmi ya kuripoti vyuoni itatolewa mapema Januari 2015. |
Thursday, 11 December 2014
Sunday, 7 December 2014
PICHA NA MATUKIO :MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho.
ANGALIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014 TANZANIA BARA - MWONGOZO, RATIBA NA TANGAZO LA UCHAGUZI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014
UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
KANUNI ZA MAREKEBISHO NA MAREKEBISHO YA MAENEO YA UTAWALA
MPYA: TAMKO KUHUSU UTOAJI WA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STAHAHADA KWA KUTUMIA MITAALA MIPYA ILIYOANDALIWA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TAMKO KUHUSU UTOAJI WA MAFUNZO YA UALIMU
NGAZI YA STAHAHADA KWA KUTUMIA MITAALA MIPYA ILIYOANDALIWA NA BARAZA LA TAIFA
LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) KWA MWAKA WA MASOMO 2014/15
Wizara
ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kushirikiana na taasisi zake ambazo ni Baraza
la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Taasisi ya Elimu (TIE) na Baraza la
Mitihani ya Taifa (NACTE) iliandaa Mitaala mipya ya Ualimu wa Shule za Msingi
na Sekondari kwa ngazi ya Diploma ya kawaida (NTA level 6) na Diploma ya Juu
(NTA level 7). Mitaala hii inakusudia kumwezesha mhitimu kukuza uwezo wake wa
kitaaluma na kitaalamu katika masomo ya Elimu ya Msingi na Sekondari na masuala
mtambuka ili aweze kudhihirisha uelewa mkubwa kwenye masomo yanayofundishwa
katika ngazi hizo za Elimu.