Saturday 13 December 2014
Friday 12 December 2014
BREAKING NEEWZ:SERIKALI YATANGAZA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015,HII INAWAHUSU WANAFUNZI WALIOKOSA NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO,WALIMU WOTE WENYE ELIMU YA CHETI WALIOAJIRIWA ILI WAHAMISHIWE KATIKA MFUMO WA STASHAHADA,PIA YATOA MAJINA MENGINE MAPYA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA UALIMU JANUARY 2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(ili kuanagliziwa jina lako kama lipo tafadhali tuma jina lako kwenda namba 0768260834 usipige simu ,pia ambatanisha na gharama ya tshs.800 kwa mpesa na utajibiwa mapema iwezekanavyo) |
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015
KUNDI LA I Waombaji 611 wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu ambao waliwasilisha maombi yao Wizarani awamu ya pili kwa ajili ya kuchaguliwa kujiunga na mafunzo mwaka wa masomo 2014/15. Waombaji hawa wamechaguliwa na kupangiwa vyuo kulingana na Programu za mafunzo (Angalia orodha iliyoambatanishwa). Waliochaguliwa wanatakiwa kufanya maandalizi ya kujiunga na vyuo walivyopangiwa kwa kuzingatia maelekezo ya fomu zilizoambatishwa za kujiunga na chuo husika. Tarehe rasmi ya kuripoti vyuoni itatolewa mapema Januari 2015. |
Thursday 11 December 2014
Sunday 7 December 2014
PICHA NA MATUKIO :MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU KIKUU CHA ST, JOHN DODOMA YAFANA.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mkuu wa chuo kikuu kikuu cha St, John Askofu Dolnad Mtetemela katikati akiwa na viongozi wa kanisa la anglikan ambalo ndilo mmiliki wa chuo hicho walipokuwa kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho.
ANGALIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014 TANZANIA BARA - MWONGOZO, RATIBA NA TANGAZO LA UCHAGUZI
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014
UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2014
Prime Minister's Office Regional Administration and Local Government
KANUNI ZA MAREKEBISHO NA MAREKEBISHO YA MAENEO YA UTAWALA
MPYA: TAMKO KUHUSU UTOAJI WA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STAHAHADA KWA KUTUMIA MITAALA MIPYA ILIYOANDALIWA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TAMKO KUHUSU UTOAJI WA MAFUNZO YA UALIMU
NGAZI YA STAHAHADA KWA KUTUMIA MITAALA MIPYA ILIYOANDALIWA NA BARAZA LA TAIFA
LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) KWA MWAKA WA MASOMO 2014/15
Wizara
ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kwa kushirikiana na taasisi zake ambazo ni Baraza
la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Taasisi ya Elimu (TIE) na Baraza la
Mitihani ya Taifa (NACTE) iliandaa Mitaala mipya ya Ualimu wa Shule za Msingi
na Sekondari kwa ngazi ya Diploma ya kawaida (NTA level 6) na Diploma ya Juu
(NTA level 7). Mitaala hii inakusudia kumwezesha mhitimu kukuza uwezo wake wa
kitaaluma na kitaalamu katika masomo ya Elimu ya Msingi na Sekondari na masuala
mtambuka ili aweze kudhihirisha uelewa mkubwa kwenye masomo yanayofundishwa
katika ngazi hizo za Elimu.
BREAKING NEEEWZ:WAFUATAO WAMEITWA KWENYE USAILI WA MAGEREZA UTAKAOFANYIKA TAREHE 10-17/12/ 2014
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi mwaka waliochaguliwa kufanya usaili jeshi la magereza mwaka 2014
Tunaendelea kutoa huduma yetu endapo utahitaji kuangaliziwa jina lako tafdhali fanya yafuatayo kwa gharama ya tshs.800 tu ambayo utaituma kwenda namba 0768260834-mpesa au 0653791475-tigo pesa
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO:JUMA PAUL(USAILI MAGEREZA)
2.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.2 TU
3.HUTAJIBIWA HADI UTUME PESA.
KUANGALIA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI;
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG yafuatayo ni majina ya wanafunzi mwaka waliochaguliwa kufanya usaili jeshi la magereza mwaka 2014
Tunaendelea kutoa huduma yetu endapo utahitaji kuangaliziwa jina lako tafdhali fanya yafuatayo kwa gharama ya tshs.800 tu ambayo utaituma kwenda namba 0768260834-mpesa au 0653791475-tigo pesa
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO:JUMA PAUL(USAILI MAGEREZA)
2.TUTAKUJIBU NDANI YA DK.2 TU
3.HUTAJIBIWA HADI UTUME PESA.
KUANGALIA MAJINA HAYO BONYEZA HAPO CHINI;
Sunday 30 November 2014
BREAKING NEWZ:MKUU WA JKT ATOA ONYO KALI NA KUUTANGAZIA UMMA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TANGAZO
MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) ANAUTANGAZIA UMMA YA KUWA KWA
SASA HAKUNA MCHAKATO WOWOTE WA UANDIKISHAJI VIJANA WA KUJIUNGA NA JESHI
LA KUJENGA TAIFA KWA "KUJITOLEA" HADI ITAKAPOTANGAZWA.YEYOTE ANAYE
TANGAZA,ANAYEUZA FORM ZA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AKIBAINIKA
HATUA KALI ZA KISHERIA ZITACHUKULIWA DHIDI YAKE.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MAKAO MAKUU YA JKT
BREAKING NEWZ:CHAMA CHA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WANAOSOMA MASOMO YA FOOD SCIENCE AND HUMAN NUTRITION(TAFONUSA-SUA) CHAFANYA SHEREHE YA KUWAKARIBISHA FIRST YEAR MWAKA WA MASOMO 2014-2015
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jana ilikuwa ni siku yenye furaha sana hasa kwa vijana wa kitanzania wanaosoma vyuo vikuu kufanya sherehe ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza katika mwaka wa masomo 2014/2015.
Sherehe hiyo iliuzuriwa na mamia ya wanafunzi amabyo ilifanyikia katika hotel moja maarufu iliyopo hapa mjini morogoro ya Rose garden,ambapo kabla ya wanafunzi kujitupia ukumbini kulitanguliwa na michezo mbalimbali ambayo ilifanyika katika uwanya wa chuo kikuu cha sokoine iliyoanza mishale ya saa 3 asubuhi na kuisha mishale ya saa 7 mchana.
Jana ilikuwa ni siku yenye furaha sana hasa kwa vijana wa kitanzania wanaosoma vyuo vikuu kufanya sherehe ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza katika mwaka wa masomo 2014/2015.
Sherehe hiyo iliuzuriwa na mamia ya wanafunzi amabyo ilifanyikia katika hotel moja maarufu iliyopo hapa mjini morogoro ya Rose garden,ambapo kabla ya wanafunzi kujitupia ukumbini kulitanguliwa na michezo mbalimbali ambayo ilifanyika katika uwanya wa chuo kikuu cha sokoine iliyoanza mishale ya saa 3 asubuhi na kuisha mishale ya saa 7 mchana.
Friday 28 November 2014
BREAKING NEWS- BUNGE LAAHIRISHWA USIKU HUU BAADA YA VURUGU KUTOKEA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Wednesday 26 November 2014
Taarifa maalum ya CAG kuhusu IPTL mikononi mwa PAC
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai leo
ameikabidhi Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma
(PAC) taarifa ya Mkaguzu na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
inayohusu fedha za IPTL na akaunti ya Escrow. Pichani ni Naibu Spika
akitoa taarifa fupi ya makabidhiano.
MPYA:TAARIFA KUHUSU WANAFUNZI WALIODAHILIWA IMTU,2014-15
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Taarifa Rasmi kwa
Umma kuhusu Programu ya Pre-Entry ya Kutoka IMTU
Itakumbukwa kuwa Tume ya Vyuo Vikuu katika kikao
chake cha 52 cha tarehe 18 Machi 2011 iliamua kuwa kuanzia mwaka wa masomo 2011
/ 2012 hakutakuwa tena na Programu za Pre-Entry na vyuo vyote viliagizwa
kusitisha ufundishaji wa programu hizo. Vyuo vikuu vyote vilijulishwa kuhusu
maamuzi hayo kwenye kikao maalum cha saba cha kamati ya pamoja ya udahili
(Joint Admission Committee) tarehe 9 Februari 2012. Kwa maamuzi hayo vyuo vyote
viliagizwa kuandaa na kuwasilisha programu za aina hiyo kwa kutumia mfumo mpya
wa Tuzo za Vyuo Vikuu (University Qualifications Framework – Level 6).