Friday, 4 July 2014

ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA:TAKWIMU MBALIMBALI ZA KOMBE LA DUNIA KABLA YA MECHI ZA ROBO FAINALI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Hatua ya robo fainali ya kombe la dunia inaendelea leo. Saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika mashariki, Ufaransa watachuana na Ujerumani.
Saa 5:00 usiku, wenyeji Brazil watakuwa kibaruani dhidi ya Colombia.
Kfikia sasa hizi ndio takwimu muhimu za kombe la dunia mwaka 2014, nchini Brazil.
Kufikia sasa mpaka michezo 56 kati ya 64 imekwishachezwa,
Takwimu muhimu mpaka sasa,
Mfungaji bora anayeongoza akiwa ni James Rodrguez wa Colombia mwenye mabao matano, huku Neymar, Lionel Messi na Thomas Muller wa Ujerumani wakifuatia wakiwa na mabao manne kila mmoja.
Share:

BIFU ZITO BONGO MUVI-JOHARI Vs CHUCHU HANS, TIDVs RAY C

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

MTIFUANO! Mastaa wawili wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans wameendeleza ligi ya bifu lao baada Chuchu kujibu mapigo huku malejendari wengine wawili wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ na Khaleed Mohamed ‘TID Mnyama’ wakitifuana.
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO IJUMAA-KUBWA LIKIWA NI KAULI YA MAKAMBA KUGOMBEA URAIS 2015

1_57a8c.jpg
Share:

ANGALIA VITA YA MAMBA NA CHUI-HII NI BAADA YA CHUI KUMKUTA MAMBA UFUKWENI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

HUYU HAPA LULU TENA NA KITUKO KINGINE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

GAUNI alilovaa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael hivi karibuni alipokuwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Watu limeonesha kuwatega wanaume hasa wakware kufuatia kuuanika ‘upaja’ wake.
Share:

Thursday, 3 July 2014

Huyu ndie Mwigulu Nchemba Akiweka Siasa Pembeni ni Mwelewa na Mjuzi wa Mambo

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kwa muda mrefu nilikuwa nikimuona Mwigulu bungeni na michango yake, nilikuwa nimeshamuweka kwenye kundi la watu wazandiki, wafitini, wahafidhina, mchochezi na vitu vingine kama hivyo. Leo nimemsikia kupitia Clouds Fm nimependa ufafanuzi wake kuhusu kukopa na kulipa
Share:

UKWELI WOTE KUHUSU WATANGAZAJI WA CLOUDS: TAZAMA PICHA IKIONYESHA OFISI ILIVYOHARIBIKA BAADA YA WATANGAZAJI HAO KUPIGANA NGUMI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

MATUKIO KATIKA PICHA:WANAFUNZI WA SUA WAKIWA KATIKA PILIKA PILIKA ZA MITIHANI YA UE JULY 2014

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Wanafunzi wa chuo kikuu cha sokoine kilichopo mjini morogoro ambao wanaendelea na mitihani yao ya mwisho wa muhula wa pili(2ND SEMI ESTER)   Wamekutwa na kamera yetu ilikuwa ikipita maeneo mbalimbali chuoni hapo kwa ajili ya kuangalia hali ya wanafunzi hao wawapo kwenye mitihani yao hiyo ya mwisho.

                                                
                                                        

               Hawa ni wanafunzi wa kozi ya engineering iliyopo chuoni hapo wakiwa
                       katika discussion  ya  kwa ajili ya maandalizi ya mitihani yao.
                                                 
 ( picha na innocent the-blogger)
Share:

TAHADHARI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUHUSU KUZUKA KWA GENGE LA MATAPELI WANAODAI FEDHA KUTOKA KWA WAOMBAJI MIKOPO

                                  BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU
                                      HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD
                                                
Plot No. 8, Block No. 46, Sam Nujoma Road, Mwenge; P.O. Box 76068, Dar es Salaam, Tanzania
Tel: (General) +255 22 2772432/2772433; Fax: +255 22 2700286; E-mail: info@heslb.go.tz  Website: www.heslb.go.tz
  

TAHADHARI KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUHUSU KUZUKA KWA GENGE LA MATAPELI WANAODAI FEDHA KUTOKA KWA WAOMBAJI MIKOPO



Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwatahadharisha waombaji wa mikopo na umma kwa ujumla, juu ya kuibuka kwa genge la matapeli wanaowalaghai wananchi ambapo hujitambulisha kuwa wao ni wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo.
Share:

RATIBA NA MPANGILIO WA KADA ZA USAILI WA MCHUJO TAREHE 5 JULAI 2014 SEKRETARIETI YA AJIRA


                    MPANGILIO WA KADA ZA USAILI WA MCHUJO TAREHE 5 JULAI 2014
                                                                         


 
  MPANGILIO WA KADA ZA USAILI WA MCHUJO
WAJIRI:-
1.    College Of Business Education (CBE)
2.    Small Industries Development Organisation (SIDO)
3.    Social Security Regulatory Authority (SSRA)
4.    Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA)

MAHALI:
CHUO CHA MWALIMU NYERERE
TAREHE: 05/07/2014

                    MUDA WA KUANZA USAILI


        AWAMU YA KWANZA: SAA MOJA KAMILI ASUBUHI

WAHUSIKA:

1.COMPUTER LAB.TECH - CBE
2.T.A. MATHS AND STATISTICS - CBE
3.PRINCIPAL ACADEMIC OFFICER - CBE
4.LINGUISTIC KISWAHILI – MNMA
5.T.A. ECONOMICS – MNMA
6.T.A. PROCUREMENT - MNMA
Share:

ORODHA YA MAJINA YA AJIRA MPYA ZA UALIMU YALIYOTOLEWA TAR.30 JUNE 2014

                                                                 
TANGAZO
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Utangulizi:
Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, kwa awamu ya pili, imewapangia vituo vya kazi ya ualimu walimu waliohitimu Vyuo vya Ualimu Mwaka 2013 kuchukua nafasi za walimu ambao hawakuripoti katika vituo walivyopangiwa kwa ajira ya Machi 2014.
Maelekezo kwa Walimu Ajira Mpya
1.Kuripoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri walizopangiwa kwa ajili ya kupangiwa vituo kuanzia tarehe 30/06/2014, hadi tarehe 03/07/2014.
2.Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 03/07/2014 hatapokelewa tena na nafasi yake atakuwa ameipoteza.
Share:

MAJAMBAZI WASHAMBULIA GARI LA MAGEREZA KWA RISASI DAR-SOMA STORI KAMILI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                                         2

SHUHUDA

Ishu ilikuwa hivi, kuna gari ndogo ilikuwa inatokea njia ya Kawe kwenda Shopperz au ilikuwa inaelekea mjini kwa kutumia hii njia ya Mwai Kibaki road.

Hiyo gari ndogo ilipofika Maeneo ya Million Hairs Salon jirani kabisa na Regency park hotel ikakwama kwenye foleni ndefu sana. Nyuma ya hiyo gari ndogo kulikuwa na magari mengine yameunga hiyo foleni.
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kama kawaidamaswayetu blog inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo.
                                                                        .          
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:

AUNT EZEKIEL: AMWAGA CHOZI UTABIRI WA KIFO CHAKE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

SIKU chache baada ya Nabii wa Huduma ya Ufufuo, Buza jijini Dar, Yaspi Paul Bendera kutabiri kuwa vifo vya mastaa vitaendelea, staa wa sinema Bongo, Aunt
Share:

MBASHA ADAI KUWA ATAMSHTAKI GWAJIMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mambo juu ya mambo! mvumo mkali wenye kuogofya unaendelea kutamalaki katika ndoa ya wanamuziki zao la upako wa Injili Bongo, Emmanuel na Flora Mbasha, safari hii ‘topiki’ siyo zile tuhuma za ubakaji zilizopo mahakamani.

Wanamuziki zao la upako wa Injili Bongo, Emmanuel na Flora Mbasha,
Mbeba ‘niuzi’ wa awamu hii ni Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, baada ya Mbasha kuona isiwe tabu, hivyo kuamua kupambana na mtumishi huyo wa Mungu kwa njia ya kiroho zaidi.
Share:

Wednesday, 2 July 2014

SOMA HAPA GAZETI LA ULINZI TANZANIA TOLEO NO 57

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Share:

ANGALIA HAPA ADA ILIYOPITISHWA NA SERIKALI KWA VYUO VIKUU MBALIMBALI HAPA TANZANIA

          LIST OF APPROVED PROGRAMME FEES      
                                                   

S/N
Code
Name
InstitutionName
Programfee


Bachelor Degree in Adult and Continuing


1
AE001
Education
Institute of Adult Education
975000


Bachelor of Arts with Education





Archbishop Mihayo University College

2
AM001

of Tabora
950000


Bachelor of Arts in Sociology





Archbishop Mihayo University College

3
AM002

of Tabora
1,200,000


Bachelor of Arts in Business Administration





Archbishop Mihayo University College

4
AM003

of Tabora
950,000


Bachelor of Law





Archbishop Mihayo University College

5
AM004

of Tabora
950,000


Bachelor of Arts in Public Relations and




Marketing
Archbishop Mihayo University College

6
AM005

of Tabora
950,000
7
AR001
Bachelor of Architecture
Ardhi University
1,100,000
8
AR002
Bachelor of Architecture in Interior Design
Ardhi University
1,100,000
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger