TANGAZO
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Utangulizi:
Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, kwa awamu ya pili,
imewapangia vituo vya kazi ya ualimu walimu waliohitimu Vyuo vya Ualimu
Mwaka 2013 kuchukua nafasi za walimu ambao hawakuripoti katika vituo
walivyopangiwa kwa ajira ya Machi 2014.
Maelekezo kwa Walimu Ajira Mpya
1.Kuripoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri walizopangiwa kwa ajili ya kupangiwa vituo kuanzia tarehe 30/06/2014, hadi tarehe 03/07/2014.
2.Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 03/07/2014 hatapokelewa tena na nafasi yake atakuwa ameipoteza.












