Wednesday, 2 July 2014

ORODHA YA MAJINA AJIRA MPYA (WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII )ZILIZOTOKA I JULY 2014 KUITWA KAZINI WALIOFANYA USAILI JUNE 04-12

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                                         
Kumb. Na. EA.7/96/01/G/35
01 Julai, 2014
KUITWA KAZINI

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu
waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 04
hadi 12 Juni, 2014 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu
usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika
tangazo hili.

Share:

MWANAFUNZI CHUO KIKUU IRINGA ALIYECHOMWA MOTO AFARIKI, DUNIA(R.I.P) BROTHER!

Lema alizaliwa mnamo tarehe 05/06/1989 na kufariki tarehe 30/06/2014 Mungu na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi!!!
Daniel Anael Lema, aliyekuwa mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Augustino, Tawi la Iringa (Ruaha University College - RUCO) enzi za uhai wake.
Share:

ELIMU DUNIA:JE UNAKIJUA KIKUKU?,JE UMESHAWAHI KUONA MWANAMKE KAVAA BANGIRI MGUUNI?SOMA HAPA UJUE KINAMAANISHA NINI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

vikuku ni tamaduni za kiafrica. ni urembo wa kupendezesha kiungo kama kuvaa cheni shingoni, helen sikioni, pete kidoleni, bangili mkononi, kipini puani shanga kiunoni na kikuku mguuni, mbona tukivaa shingoni hawasemi?? kwani mguu ni sehem ya siri hadi kusema ni vibaya, mimi nafikiri ni fikra za watu tena fikra potofu,
Share:

MAXIMO AANZA KWA MBWEMBWE KUINOA YANGA,NI MASAA MANNE BAADA YA KUFIKA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, jana alianza kazi yake kwa mkwara mzito huku kila aliyehudhuria akionyesha kutikisa kichwa kuikubali.
Share:

DIAMOND AKIWA NA NELLY PAMOJA NA CHRISS BROWN TUZO ZA BET MAREKANI,TAZAMA PICHA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Next level! Staa wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anafanya kweli kimataifa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameandika historia kwenye Tuzo za Black Entertainment Television (BET) 2014 huku akiwatia kiwewe mastaa wakubwa kama Cornell Iral Haynes ‘Nelly’, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ na
Share:

STAND MPYA YA MABASI JIJINI MBEYA YAFUNGULIWA,ITAZAME HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Muonekano wa eneo la Stendi kuu hiyo.
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMANNE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
4_d6588.jpg
2_5c59f.jpg
Share:

CHADEMA YAFUNGUKA:OFISI YA MSAJILI WA VYMA VYA SIASA INATUMIWA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
mnyika_d2c6c.jpg
Dar es Salaam. Mvutano mpya umeibuka baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumvaa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kikidai ofisi yake inatumiwa na wasaliti wa chama hicho.
Pia, chama hicho kimemtaka Jaji Mutungi ajitokeze hadharani kubainisha iwapo yeye ndiye aliyemtuma msaidizi wake, Sistyl Nyahoza kutangaza kuwa mwenyekiti wake, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk Willibrod Slaa hawana sifa ya kugombea uongozi ndani ya chama hicho kutokana na kuzuiwa na katiba ya Chadema.
Share:

LOWASSA:"HUU NDIO UTARIJI WANGU-NINA NG'OMBE 800, SOMA HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

lowassa_18f04.jpg
Dodoma. Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema madai kwamba yeye ni tajiri hayana ukweli wowote. Amesema yeye ni mfugaji na anamiliki ng'ombe zaidi ya 800 katika Jimbo la Monduli, mkoani Arusha.
Lowassa alisema hayo katika mahojiano maalumu yaliyofanyika ofisini kwake wiki iliyopita mjini Dodoma.
Share:

Tuesday, 1 July 2014

SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YATANGAZA AJIRA MPYA MIFUGO,KILIMO,ENGINEERING WALA SHAVU CHANGAMKA FASTA KUOMBA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Serikali yatangaza nafasi za kazi 1,324.

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawatangazia Watanzania wenye sifa na uwezo kujaza jumla ya nafasi wazi za kazi 1,324 ambazo ni kwa ajili ya waajiri mbalimbali Nchini.


Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Bw. Xavier Daudi amesema kuwa nafasi 1,334 zimeainishwa bayana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Ajira ambayo ni www.ajira.go.tz ili kuwawezesha wahitimu wote wenye sifa na uwezo kutuma maombi kwa ajili ya kujaza nafasi hizo ajira Serikalini.
Share:

SOMA KAULI YA TUNDU LISSU BAADA YA MBOWE KUGOMEWA KUGOMBEA WENYEKITI WA CHADEMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Dr.Wilbroad Slaa akigombea Uenyekiti wa Chadema naye Mhe.Mbowe akagombea Ukatibu Mkuu wa Chadema Uchaguzi ujao kuna tatizo?.
Share:

WEZI WACHOMWA MOTO NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Share:

DAKTARI WA MENO DK.NGARIBA AFUMWA NA MGONJWA LIVE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Stori: Waandishi Wetu
AMA kweli majanga yakimkuta binadamu hayapigi hodi! Daktari wa meno aliyejulikana kwa jina la Dokta Ngariba (54), amejikuta ndani ya janga la tuhuma za ngono baada ya wapiga picha wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kunasa sakata lake na mwanamke aliyedai ni mgonjwa wa jino aliyejitambulisha kwa jina moja la Hamida (20).
Share:

MZEE WA UPAKO ANTONY LUSEKELO ATESWA NA MISUKULE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
MBALI na Askofu wa Kanisa la Full Gosple Bible Fellowship, Zacharia Kakobe kuteswa na misukule inayodaiwa kufufuliwa na baadhi ya makanisa ya kiroho nchini, Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ (pichani) naye ameibuka na kucharukia suala hilohilo.

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ akifafanua jambo.
Share:

MBUNGE MH. MGIMWA" AWAHAKIKISHIA UMEME MGAMA"

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa wa nne kulia akikagua nguzo za umeme ambazo zimeanza kushushwa kwa ajili ya mradi wa umeme vijijini kama alivyoahidi wakati wa kampeni zake ni takribani miezi miwili sasa utekelezaji umeanza
Share:

SUAREZ AMUOMBA MSAMAHA CHIELLINI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Suarez amuomba msamaha Chiellini kwa mara ya kwanza

Mshambulizi wa Uruguay na Liverpool ya Uingereza Luiz Suarez sasa amemuomba msamaha mlinzi wa Italia Giorgio Chellinii kufuatia tukio la kumng'ata timu hizo zilipokuwa zicheza mechi ya mwisho ya makundi huko Brazil.
Share:

VIDEO:ANGALIA HOTUBA YA MH.MWIGULU NCHEMBA ILIYOSISIMUA BUNGE 2014/2015

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger