Friday, 27 June 2014

NECTA YATANGAZA,ALAMA ZA MITIHANI YA MOCK SASA KUTUMIKA KAMA CONTINUOS ASSESMENT

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY MATOKEO ya Mtihani wa Majaribio (Mock) kwa mtihani wa Kidato cha Nne mwaka huu na Kidato cha Sita mwakani, yatachangia alama 10 za Alama Edelevu (CA). Kwa utaratibu huu, matokeo ya mwisho ya mtahiniwa, yatatokana na asilimia 30...
Share:

VIDEO:ANGALIA JINSI SUAREZ ALIVYOFANYA TUKIO LA KUMN'GATA MCHEZAJI WA ITALIA UWANJANI

INNOCENT-THE BLOGGER-B...
Share:

PENNY, WEMA USO KWA USO-STUDIO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Katika hali isiyotarajiwa, mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Wema Sepetu na aliyewahi kuwa mchumba wa msanii huyo, Penniel Mungilwa ‘Penny’ walikutana studio na kila mmoja akamkwepa mwenzak...
Share:

NISHA AWAJIBU WANAOMWITA MCHAWI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOYStori: Gladness Mallya MWANADADA kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amewabwatukia wasanii wenzake wanaomshutumu kwamba anatumia ndumba na kuwataka waache maneno hay...
Share:

MZEE WA KANISA AKURUPUSHWA GESTI-BAADA YA KUFUMANIWA NA BINTI WA KIZAI KIPYA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Tumekwisha! Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) akidaiwa kutaka kuvunja amri ya sita na binti ambaye ni msanii chipukizi...
Share:

WABUNGE WANUKA RUSHWA-DODOMA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY WAKATI muswada wa kupunguza misamaha ya kodi unatarajia kujadiliwa wakati wowote, kuna hofu kwamba baadhi ya wabunge wamehongwa na wafanyabiashara waliopiga kambi mjini hapa ili kuukwamisha...
Share:

MAGAZETI YA LEO IJUMAA

...
Share:

Thursday, 26 June 2014

SUAREZ AADHIBIWA MIEZI MINNE na MECHI TISA NJE,BAADA YA KUMN'GATA MCHEZAJI MMWENZAKE

Habari za hivi punde zinasema kuwa FIFA imemuadhibu Suarez kwa kumfungia mechi tisa...
Share:

MAZISHI YA SISTA ALIEUWAWA KWA KUPIGWA RISASI UBUNGO YAFANYIKA ANGALIA PICHA ZOTE HAPA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY...
Share:

USAJILI MAN UNITED:HERRERA ATUA MAN UNITED, AKABIDHIWA JEZI.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY KIUNGO Ander Herrera amekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 29 kwenda Manchester United akitokea Athletic Bilbao...
Share:

DOWNLOA WIMBO MPYA WA LINA NA HADIJA- MKE MENZANGU

INNOCENT-THE BLOGGER-B...
Share:

DOWNLOAD WIMBO MPYA WA DIAMOND AKIIMBA TAARAB

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD>&g...
Share:

NGUMI BUNGENI:JAJI WEREMA AMFANANISHA MBUNGE KAFULILA NA TUMBILI TAFRANI YAIBUKA, MAWAZIRI WAINGILIA KATI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, ameteleza ulimi tena na mara hii amejikuta akimuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) tumbil...
Share:

ANGALIA PICHA YETU YA SIKU

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY     ...
Share:

VYUO VIKUU VINAVYOONGOZA KWA UTOAJI WA ELIMU BORA TANZANIA(GRADUATES)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Kumekuwa na sintofahamu nyingi ni chuo gani kinachoongoza kwa kutoa wanafunzi wenye elimu ambayo ni competent tanzania,utafiti uliofanyika wiki iliyopita umeonyesha kuwa elimu itolewayo chuo kikuu cha dar es salaam bado ipo juu na graduates wake wamekuwa wakifanya makubwa...
Share:

UKWELI KUHUSU MH.SHUKURU JUMANNE KAWAMBWA KUZUSHIWA KIFO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY TAARIFA TOKA BAGAMOYO Ndg Watanzania,WanaBagamoyo na wapenda maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo na Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda kuleta kwenu Masikitiko yetu kwa niaba ya Chama na Familia ya Mheshimiwa Mbunge Shukuru Jumanne Kawambwa kutokana na...
Share:

MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA JANA MKOANI GEITA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY ...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger