Hiyo inatokana na msimamo wa Mutharika
ambaye ni Profesa wa Sheria wa kupinga kuendelea kujadiliana na
Tanzania kuhusu nani mwenye haki ya kumiliki ziwa hilo alioutoa wakati
alipowatembelea wananchi wa Chipoko, kando ya ziwa hilo miezi michache
kabla ya uchaguzi mkuu ambao ulimwigiza madarakani.
Wednesday, 4 June 2014
MAITI YA "MTOTO WA BOSKI" YAGOMBANIWA
MVUTANO mkubwa
umeibuka juu ya wapi azikwe marehemu Nasra Mvungi, mtoto aliyeishi
ndani ya boksi kwa miaka minne baada ya kufariki dunia hivi karibuni
katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Tuesday, 3 June 2014
SELECTION ZA KIDATO CHA TANO 2014/2015
UONGOZI WA BLOG HII UNAKUOMBA KULIKE PAGE YETU KWA AJILI YA KUJUA SELECTION ZAKO MARA TU ZITAKAPOTANGAZWA.
TANGAZO LA KAZI-SEKRETARIETI YA AJIRA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/G/23
02ndJune, 2014
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC) and Ministry of Lands,
Housing and Human Settlement Development, Public Service Recruitment Secretariat
invites qualified Tanzanians to fill 2 vacant posts in the above Public Institutions.
i.....
PRESIDENT’S OFFICE
PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/G/23
02ndJune, 2014
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC) and Ministry of Lands,
Housing and Human Settlement Development, Public Service Recruitment Secretariat
invites qualified Tanzanians to fill 2 vacant posts in the above Public Institutions.
i.....
WAHINDI 14 WAMEKAMATWA DAR, WAMEINGIA KUFANYA BIASHARA HARAMU
Askari
wa uhamiaji wamewakamata watu 14 katika maeneo ya Msasani jijini Dar es
Salaam kutoka nchini India na Nepal ambao ni wahanga wa biashara haramu
ya usafirishaji wa binadamu ambapo watu hao wameingia nchini kinyume na
taratibu za uhamiaji.
Kati
ya watuhumiwa 14 watuhumiwa 12 ni wasichana ambao waliletwa nchini kwa
lengo la kufanya maonyesho ya nyimbo za asili lakini wakajikuta
wakingizwa katika biashara zingine ikiwemo kucheza muziki katika nyumba
za burudani.
KANISA KATOLIKI LATANGAZA MWANAMKE WA KWANZA DUNIANI: KUPEWA DARAJA LA UPADRI
Mtanadao wa waharakati wanaopigania wanawake kupewa daraja la upadri,
Umemtangaza mwanachama wake Lillian Lewis (75) kuwa Padre Mkatoliki.
Uamuzi huo ambao unauweka mtandao huo katika hatari ya kutengwa na Makao Makuu ya Kanisa Katoliki duniani (Vatican) umefanyika mwishonu mwa wiki baada ya mwanamke huyo kutangwaza kasisi wa kwanza nchi Marekani.
Hilo ni pigo jipya kwa Kanisa Katoliki ambalo kwa siku za karibuni lina kilio cha kutaka mapadri waruhusiwe kuoa huku Papa Francis akieleza msimamo wake kuwa angependa kuendelea kuwa na mapadri waseja.
Uamuzi huo ambao unauweka mtandao huo katika hatari ya kutengwa na Makao Makuu ya Kanisa Katoliki duniani (Vatican) umefanyika mwishonu mwa wiki baada ya mwanamke huyo kutangwaza kasisi wa kwanza nchi Marekani.
Hilo ni pigo jipya kwa Kanisa Katoliki ambalo kwa siku za karibuni lina kilio cha kutaka mapadri waruhusiwe kuoa huku Papa Francis akieleza msimamo wake kuwa angependa kuendelea kuwa na mapadri waseja.
POMBE SI CHAI,CHEKI ILIVYOMFANYA VIBAYA O -TEN
Unaweza
kuona ni kiasi gani maisha ya kupanda na kushuka kwa kila mtu kwani kwa
upande wa O-ten mambo hayamuendei vizuri kabisa kwa kifupi anahitaji
maombi ya mama Rakwatare kwani hali yake sio na ulevi aka gambe
limepitiliza.
BUNGENI:TUNDU LISSU AWALIPUA MAWAZIRI TENA
Na Hudugu Ng'amilo
Waziri wa
Maji, Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa
Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge, jana walituhumiwa kutumia vibaya
nafasi zao kwa kuweka fedha nyingi za miradi ya maji katika maeneo
wanakotoka, huku sehemu zenye matatizo ya huduma hiyo zikitengewa fedha
kiduchu.
RAIS MPYA WA MALAWI ANA MSIMAMO MKALI NA ZIWA NYASA
Rais wa Malawi ana msimamo mkali Ziwa Nyasa
Wingu
jeusi limeanza kutanda kuhusu hatima ya mzozo wa Ziwa Nyasa kutokana na
msimamo wa hivi karibuni wa kiongozi wa Democratic Progressive Party
(DPP), Peter Mutharika ambaye sasa ni Rais mpya wa Malawi.
‘Mtoto wa boksi’ kuzikwa leo, ndugu wa babake wajitokeza
Dar es
Salaam. Ndugu wa baba wa mtoto, Nasra Mvungi (4) aliyefariki dunia usiku
wa kuamkia juzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, jana walijitokeza
wakitaka wapewe mwili wa marehemu kwa ajili ya maziko.
Baada ya kuwasili hospitalini hapo saa
1:35 asubuhi, ndugu hao wakiongozwa na baba wa mtoto huyo, Rashid
Mvungi walikutana na maofisa wa ustawi wa jamii wakiongozwa na Ofisa
Ustawi wa Jamii Mkoa wa Morogoro, Oswin Ngungatuti wakitaka wakamzike
mtoto wao kwa kufuata imani ya dini yao ya Kiislamu.ACHOMWA MOTO KWA KUIBA NG`OMBE
MTU mmoja
anayetuhumiwa kwa wizi wa ng’ombe na ndama wake, mwishoni mwa wiki
iliyopita alipata kipigo cha kufa mtu na baadaye kuchomwa moto, lakini
katika hali isiyo ya kawaida, hakuweza kufariki ‘kugoma kufa’ hadi
polisi walipotokea na kunusuru maisha yake.