UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA 6 MEI 2014. AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI. AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI. KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI). VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE). INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT. IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA
AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.
AWAMU YA PILI; VIJANA 14450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.
KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).
VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).
INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT.
“Siwezi kumwacha, nikimwacha ntakufa” ni maneno makali kutoka kwa binti mdogo wa 1992 ambae amekiri kua yuko kwenye mahusiano sasa na binti mwenzake. Chanzo cha habari kutoka ndani ya familia ya binti huyu (ambae jina tunalo) mkazi wa Arusha kinasema kua amekua akiaga nyumbani anakuja Dar Es Salaam kwa dada yake na kumbe anaishia kuwekwa kinyumba na msanii maarufu wa bongo movie ambae ameshutumiwa mara kadhaa na vyombo vya habari kua ni msagaji lakini hupinga swala hilo kwa macho makavu yasiyo na aibu.
OFM walivyomnasa mfanyabiashara wa magari (kushoto)chumbani akitaka kumlawiti modo maarufu.
EEH Mungu! Unaweza kukataa lakini ni ukweli kwamba dunia imekwisha! Mambo yanayotendeka kila kukicha juu ya ardhi yanathibitisha hilo.
Mfanyabiashara maarufu wa magari jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina la Juvenali amekumbwa na aibu ya mwaka baada ya kunaswa mtupu chumbani na mmoja wa wabunifu wa mavazi ‘modo’ maarufu Bongo (jina tunalihifadhi kwa sasa kwa sababu za kimaadili).
...amefungwa pingu.
Tukio hilo la aibu lilimkuta mfanyabiashara huyo nyumbani kwake, Mbezi ya Tangi-Bovu jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo wawili hao walinaswa chumbani wakiwa watupu katika mtego maalum.
KISA KILIPOANZIA Chanzo cha kufichuka kwa taarifa hizo ni modo huyo kumwonesha kaka yake (naye jina tunalo) meseji ‘tamutamu’ kutoka kwa mfanyabiashara huyo kwenda kwake akimshawishi kumlawiti.
KAKA MTU ACHARUKA Ilidaiwa kuwa kaka mtu alikasirika, aliamini kitendo cha mfanyabiashara huyo kutaka kumlawiti mdogo wake ni kuidhalilisha familia. “Kaka akamwambia mdogo wake kwamba ni lazima wamtege jamaa huyo ili kumshikisha adabu na ache tabia hiyo,” kilisema chanzo. ...Akitatiwa na Polisi.
KAKA ACHUKUA GAZETI, APIGA SIMU OFM Baada ya kukubaliana na mdogo wake, kaka huyo alitafuta Gazeti la Amani na kukutana na namba za Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ na kuzipiga. Kaka: Jamani poleni na kazi, hapo ni OFM?
OFM: Tumepoa ndugu, ndiyo sisi, tena unaongea na mimi kamanda mwenyewe. Niambie ndugu yangu, bila shaka unataka kutupatia kazi, tupo tayari.
Kaka: Ni kweli, kuna jamaa mmoja ni mfanyabiashara wa magari, anamtumia meseji mdogo wangu akimshawishi amlawiti. Tukio hili limenikera sana. Naomba tukutane ili tupange jinsi ya kumnasa ili kukomesha tabia hii.
Nimeshazungumza na mdogo wangu na yupo tayari kwa jambo hilo ili tumtege, tukamilishe hiyo kazi kukomesha huu upuuzi.
OFM: Sawa kabisa, inawezekana. Kilichoendelea hapo ilikuwa ni OFM kumpa baadhi ya maelekezo kaka mtu, wakakubaliana kila kitu namna mchezo ambavyo ungekamilika kwa mbinu za kitaalam za makachero wa OFM. ...Mfanyabiashara huyo akichukuliwa na polisi.
OFM YAPOKEA KAZI, YARIPOTI POLISI Baada ya kukutana na kaka wa modo huyo na kupanga kila kitu, OFM iliwasiliana na Jeshi la Polisi Kituo cha Mbezi - Makonde, Dar ambapo taarifa za uovu huo zilikuwa na dalili ya kufanyika karibu na maeneo hayo. Mkuu wa kituo hicho alitoa ‘vijana’ wake wawili, shupavu waliojitambulisha kwa majina ya Afande Nassoro na Afande Sele. Wakakamavu kabisa.
...Safari ya kuelekea kituo cha polisi cha Kawe. KATIKA ENEO LA TUKIO Fasta, OFM na askari hao walielekea Mbezi Tangi - Bovu, kituo cha daladala eneo la mtego ambapo mfanyabiashara huyo alimuahidi kijana huyo akamchukulie hapo kwenda naye kwenye nyumba ya kumfanyia usodoma.
MFANYABIASHARA AFIKA NA GARI Wakiwa mita kadhaa, OFM na polisi, walimuona mfanyabiashara huyo akiwasili na gari aina ya GX 100 (namba za usajili tunazo). Alifunga breki miguuni kwa kijana huyo, akamfungulia mlango, naye akazama ndani. Safari ilianza kuelekea upande wa Bagamoyo lakini mita chache gari hilo lilikata kulia. OFM na maafande walikuwa wakifuatilia kwa nyuma bila kujulikana. ...Akiwa kituo cha polisi.
GARI LAFIKA NYUMBA YA TUKIO Baada ya mwendo wa kama kilometa mbili, gari hilo lilifika kwenye nyumba moja na kupiga honi kisha geti likafunguliwa, gari likaingia na geti likafungwa.
MODO NDANI YA CHUMBA CHA TUKIO OFM, maafande wakiwa nje, wawili hao tayari walikuwa chumbani ambapo dogo huyo aliwasiliana na ‘makachero’ wa nje na kuwaambia kwamba mfanyabiashara huyo alishasaula nguo na yupo kama alivyozaliwa, alikuwa katika hatua za awali za kutaka kukamilisha ufirauni wake. Hapo sasa OFM na polisi wakajipanga kuchoma ndani kuzuia unyambisi huo.
KIZINGITI Hata hivyo, OFM na askari hao walishindwa kuingia baada ya geti kufungwa kwa ndani na aliyefunga kutoka nje kwa kutumia mlango mwingine. Hata hivyo, askari walitumika ukomandoo, ‘timu’ ikafanikiwa kuzama ndani moja kwa moja na kwenda kugonga katika chumba husika (wale askari hatari sana aiseee!).
AFUNGUA MLANGO BILA WASIWASI Bila kujua kuwa OFM na polisi ndiyo waliogonga mlango, jamaa huyo alifungua mlango na kukutwa akiwa mtupu sanjari na modo huyo.
SHETANI ATUPIWA ZIGO Maafande walimuuliza ‘biznesmani’ huyo ni kwa nini wamekutwa uchi tena wanaume watupu chumbani, alijibu kuwa walikuwa wanahisi joto ndiyo maana waliamua kuvua nguo zote.
Lakini akaongeza: “Jamani niacheni. Hii ni aibu, nitawapeni chochote kile mnachotaka, shetani ndiye alinipitia jamani.”
SAFARI KUELEKEA LUPANGO Mfanyabiashara huyo alichukuliwa na askari hao hadi polisi lakini baadaye akahamishiwa Kituo cha Kawe ambako shauri hilo liliandikishwa na kupewa jalada la kesi namba KW/RB/1747/2014. Baada ya kuchukuliwa maelezo, mfanyabiashara huyo aliswekwa lupango akisubiri sheria kuchukua mkondo wake.
OFM OFM kama ilivyotambulishwa awali, ipo kwa ajili yako wewe Mtanzania unayeona uovu katika jamii na vyombo husika vikashindwa kuchukua hatua, kwa OFM kila kitu kinawezekana! Wanaweza kuingia popote na kuchunguza uovu wowote kwa mafanikio makubwa – tuletee kazi tutaifanya.
Mwanafunzi wa shule ya msingi Jangurutu darasa la tano aliyetambulika kwa jina la Habibu Dismass (11) amefariki dunia papo hapo baada ya kugongwa na gari lenye namba za usajili T.120 AMV aina ya Camry lililokuwa likiendeshwa na derava Otino Mwampamba (48) mwalimu shule ya sekondari, Mbarali.
Tukio hilo limetokea jana majira ya saa 10:15 jioni huko katika kijiji cha Mabanda, kata na tarafa ya Rujewa wilaya ya Mbarali mkoa wa Mbeya. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi. Dereva amekamatwa na gari lipo polisi-Rujewa. Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Ahmed Msangi anatoa wito kwa madereva kuwa makini wanapotumia vyombo vya moto hasa kwa kuzingatia sheria na alama za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika. Aidha anatoa wito kwa watembea kwa miguu kutembea pembeni mwa barabara na kuvuka sehemu zenye vivuko ili kuepuka ajali.
MAJINA YA VIJANA MUJIBU WA SHERIA-WALIOCHAGULIWA ...:
S0302 ARUSHA SEC. SCHOOL F HAWA MAGONGO
ARUSHA S0302 ARUSHA SEC. SCHOOL F ESTER S NZOA
ARUSHA S0302 ARUSHA SEC. SCHOOL F ESTHER S RAPEMO ARUSHA S0632 BONDENI SEC. SCHOOL F HAWA A TASSAMA ARUSHA S3646 DULUTI SEC. SCHOOL F HAPPY E MAWERE ARUSHA S3646 DULUTI SEC. SCHOOL F JOSEPHINE I NGONYANI ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SEC. SCHOOL F BERTHA ALBOGAST MARCO ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SEC. SCHOOL F HAPPY C KIRIA ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SEC. SCHOOL F HAPPY M MAPANDE ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SEC. SCHOOL F HELENA MWAKASAKA ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SEC. SCHOOL F HELLEN MUSHI ARUSHA S0629 EDMUND-RICE-SINON SEC. SCHOOL F EVALINE JOSEPH KILLEO ARUSHA S1549 ENGUTOTO SEC. SCHOOL F HAPPYNESS J KONINA ARUSHA S1549 ENGUTOTO SEC. SCHOOL F JOSEPHINE E MLAY ARUSHA S1285 FLORIAN SEC. SCHOOL F ESTA AMI SLAA ARUSHA S1268 KISIMIRI SEC. SCHOOL F HELENA T NYATO ARUSHA S1268 KISIMIRI SEC. SCHOOL F ESHE ALOYCE SEMLAMBO ARUSHA S0857 LONGIDO SEC. SCHOOL F HEAVENLIGHT PAUL MOLLEL ARUSHA S0246 MAASAE GIRLS LUTHERAN SEC. SCH F HAPPYNESS JOHNSON ARUSHA S0246 MAASAE GIRLS LUTHERAN SEC. SCH F EVALINE SAITOTI ARUSHA S0329 MAKUMIRA SEC. SCHOOL F EVELYNE MATHEW MGOMA ARUSHA S0526 MRINGA SEC. SCHOOL F HAPPYNESS D KAWICHE ARUSHA S4039 ST. THERESA OF THE CHILD JESUS F BETTY L WAINAGE ARUSHA S4039 ST. THERESA OF THE CHILD JESUS F HAPPINESS ELIKANA LEKEI ARUSHA S4039 ST. THERESA OF THE CHILD JESUS F HAPPINESS SHIMIGWA SILAS ARUSHA S4039 ST. THERESA OF THE CHILD JESUS F HELLEN CYPRIAN MBWAGI ARUSHA S4039 ST. THERESA OF THE CHILD JESUS F ESTER ALFRED KAPINGA ARUSHA S4039 ST. THERESA OF THE CHILD JESUS F ESTHER STEVE ARUSHA S0454 ST.JOSEPH NGARENARO SEC. SCHOOL F EUNICE E MOSHI ARUSHA S1198 TANZANIA ADVENTIST SEC. SCHOOL F HELEN J WANG'UBA DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F HAPPINESS WILSON MBAHI DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F HAPPY NELSON KISARE DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F ESTHER ADOLPH KINYANGULI DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F ESTHER G MAGESA DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F ESTHER G MWIGUNE DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F ESTHER NDEMASI MNENEY DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F ESTHER STEPHEN SOOI DAR ES SALAAM S0800 LOYOLA SEC. SCHOOL F EVELYN KAMALA VENANT BONYEZA HAPA KUONA MAJINA ZAIDI
Malori
na Mabasi yakiwa kwenye msururu mrefu mara baada ya kushindwa kuendelea
na safari kwa takribani masaa zaidi ya nane katika eneo la Manzese
lililopo Kilwa barabara ya Dar Es salaam kuelekea Mtwara hapo jana
kutokana na eneo hilo kuharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha
na kupelekea magari zaidi ya mia kukwama
Baadhi ya
wasafiri kwenye mabasi yaendayo Dar Es Salaam kutoka Mtwara, Lindi na
Kilwa na yale yatokayo Jijini Dar Es Salaam kuekelea mikoa ya Kusini
wakiwa wamesimama kushuhudia juhudi zinazofanya na vijana wa eneo la
Manzese na baadhi ya madereva wa malori na mabasi pamoja na abiria
kuhakikisha wanasaidia magari kuvuka ili kuweza kuendelea na safari zao.
Wasafiri
na wakazi wa Eneo la Manzese wakishuhudia greda lililofika kwaajili ya
kusaidia kusawazisha eneo hilo na kutoa magari yaliyonasa kutokana na
eneo hilo kujaa maji na tope zito yaliyosababisha magari kukwama kwa
takribani masaa zaidi ya nane hapo jana.
Mabasi
yatokeayo Mikoa ya Kusini kuelekea Bara yakiwa yamekwama katika eneo la
Manzese - Kilwa kutokana na barabara kuwa mbovu katika eneo hilo
kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kupelekea kusababisha magari
zaidi ya mia kunasa na kutoendelea na safari zao kwa zaidi ya masaa
nane.
Greda
likiondoa tope na kusawazisha eneo hilo ambalo lilileta usumbufu mkubwa
sana kwa watumiaji wa barabara ya Dar Mtwara na kupelekea magari zaidi
ya mia kukwama katika eneo hilo lililoaharibiwa na mvua zinazoendelea
kunyesha.