Group stage
Thursday 12 June
Change to your time
12 Jun 2014 - 17:00 Local time
Group A
Arena de Sao Paulo
Sao Paulo
Brazil
Croatia
17:00
WATCH MORE HERE
...
here are people out there who are more jaded by FIFA's
yearly release cycle than they are by the schoolboy "tactics" Roy
Hodgson employs as England manager. Year after year we're asked to part
with our hard-earned cash in exchange for a game that, on the surface at
least, changes little with each...
Ni miongoni mwa single ambayo imepanda juu kwa haraka zaidi ndani ya wiki tatu zilizopita ambapo wakati audio
ikiendelea kuchukua headlines, WEUSI wameidondosha video yake ambayo
ilitazamwa kwa mara ya kwanza na waalikwa wachache kwenye party ya WEUSI
April 30 2014.
Video imefanywa...
MKALI wa sinema za Kibongo, Jenifer
Kyaka ‘Odama’ amesema sababu kubwa iliyomfanya azae nje ya ndoa ni
maandalizi mazuri aliyojipangia.
Mkali wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’.
Odama ambaye amejifungua hivi karibuni, alisema aliamua kuzaa kwanza kisha ndoa ifuate hivyo hajutii uamuzi...
UNYAMA uliyoje! Kijana aliyefahamika
kwa jina moja la Pius (28), mkazi wa Kijiji cha Nyingwa Kata ya Kibungo
Juu, Tarafa ya Matombo wilayani Morogoro Vijijini, anasakwa kwa tuhuma
za ubakaji na ulawiti wa bibi mmoja,(74).
Bibi anayesadikiwa kibakwa na kulawitiwa na mjukuu wake aliyefahamika kwa...
STAA wa
filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewatetea mabosi wa
wasanii akidai si wote wana tabia ya ‘kuduu’ na wafanyakazi wao.
Staa wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Akijibu swali aliloulizwa na paparazi wetu kuhusiana na mabosi wakware, Lulu alitiririka:“Imezoeleka
...
MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakiwa
katika pozi la kimahaba kitandani Naf beach hotel. Picha hizi Wema
amezitupia katika akaunti yake ya Instagram na kuandika maneno
yafuatayo "Thank
...
Tanzania Commission for Universities (TCU) in collaboration with National
Council
for Technical Education (NACTE) hereby inform all prospective
applicants who completed their studies
from 1988 to
2013 that, they will start
lodging their applications for admission into higher education institutions for
the 2014/2015
.read more ...
Stori: Denis Mtima na Mayasa Mariwata, Pwani
YELEUWII! Kuishi kwingi ni kuona mengi, kijana
aliyejitambulisha kwa jina la Andrew Vincent (23) ambaye amemaliza
kidato cha nne mwaka jana, amejikuta katikati ya matatizo kufuatia
kufunga pingu za maisha na mwanafunzi wa darasa la tano aliyefahamika...
Rais
Jakaya Kikwete akiangua kicheko wakati walimu (juu), walipokuwa wakipita
kwa maandamano, huku wakiimba ‘Shemeji mshahara bado’ wakati wa sherehe
za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) zilizofanyika Uwanja wa Uhuru jijini
Dar es Salaam jana. Walimu walimwita shemeji...
Dodoma. Mbunge
wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed amesema anapanga kujitosa kwenye
kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu mwakani.
Akizungumza
katika mahojiano maalumu hivi karibuni mjini Dodoma, Hamad Rashid
alisema: “Kama Mwenyezi Mungu akinijalia uhai na uzima...
Wanaharakati nchini Syria wanasema
kuwa jeshi la serikali limetekeleza shambulizi la hewani katika soko
moja lilikoko katika sehemu inayothibitiwa na waasi Aleppo.
Read more... ...
STAA wa filamu za Kibongo, Aisha Bui
amepata mtoto wa kike aliyejifungua kwa njia ya upasuaji lakini kumekuwa
na usiri mkubwa katika jambo hilo.
Staa wa filamu za Kibongo, Aisha Bui.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aisha alisema anamshukuru Mungu kwa kumjaalia mtoto wa kike aliyempa jina...
MSANII mkongwe kunako gemu la filamu
Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa hawezi kuachika kwenye ndoa
yake iliyodumu kwa miaka 13 na wanaosubiri aachwe, watasubiri sana.
Msanii mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’.
Akizungumza na paparazi wetu juzi Cathy
alisema...