Mwenyekiti wa Kamati ya kupitia kitita cha mafao cha NHIF 2023 Dkt. Baghayo Saqware akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 29,2024 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya kupitia kitita cha mafao cha NHIF 2023 Dkt. Baghayo...
Kikundi cha Team February cha mkoani Shinyanga kimefanya matendo ya huruma kwa kutoa msaada katika kituo cha malezi ya watoto Saint John Bingen Home of Children ilichopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.
Wametoa msaada huo leo February 29, 2024 katikakituo cha malezi ya watoto Saint John Bingen...