WADAU wa Maendeleo ya Jinsia wameiomba Serikali kuhusu utekelezaji wa sera ya Bajeti ufanyike kuanzia ngazi ya Serikali za mtaa kabla haijaenda halmashauri na wananchi wajiridhishe vile vipaumbele vyao ili kuleta picha nzuri kwenye jamii na kuleta usahihi wa mambo.
Akizungumza leo Mei 31,2023 Jijini...
Afisa Mfawidhi wa Shirika la TASAC Mkoani Tanga Kapten Christopher Shalua (kushoto) akitoa maelezo kwa Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji,Viwanda na Biashara Conrad Millinga wa kwanza (kulia)ambaye alimwakilisha Waziri wa Wizara hiyo kuhusu namna ya kutumia vifaa vya kujiokolea...
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Msemaji wà Serikali kwebye ukumbi wa habari Maelezo jijini Dodoma.
Msemaji wà Serikali Gerson Msigwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.
Na Dotto Kwilasa,Dodoma.
Serikali imekanusha taarifa ya Sekta ya Anga nchini kukumbwa na kashfa...
Mkurugenzi Kanda wa IFC Jumoke Jagun-Dokunmu,
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na makundi maalumu Dkt.Doroth Gwajima.
Na Dotto Kwilasa,Dodoma.
Katika kuwezesha wanawake kiuchumi, Serikali kwa kushirikiana na Taasisi ya Benki ya Dunia (IFC) imezindua programu mpya ya Jinsia...
Tuliishi na mke wangu katika jiji la Nairobi ambapo nilikuwa nafanya biashara, ndoa yetu haikukumbwa na misukosuko kwani tuliaminiana sana na mapenzi yetu alikuwa moto kweli kweli, hakuna ambaye angeweza kutugombanisha.
Kutokana mke wangu alikuwa anazunguka huko na kule kusambaza bidhaa ambazo anauza,...
Wadau wa Usafiri wa Anga wakiwa katika uwanja wa Ndege wa Ibadakuli Mkoani Shinyanga leo Jumanne Mei 30,2023 wakati wa Mkutano wa wadau wa usafiri wa anga ulioenda sanjari na uzinduzi wa ujenzi wa mradi wa ukarabati na upanuzi wa uwanja wa ndege Ibadakuli.
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Serikali...