Sunday, 30 April 2023

AUAWA KWA KUCHINJWA BAADA YA KUPEWA TALAKA NA MUMEWE TINDE

Picha haihusiani na habari hapa chini Na Mwandishi wetu - Tinde Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Mwanandakuna anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 58-60 mkazi wa kitongoji cha Ngaka kijiji cha Nyambui kata ya Tinde wilaya ya Shinyanga ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye kali shingoni na tumboni...
Share:

KIWANJA CHA NDEGE CHA SUMBAWANGA KUBORESHWA

Mkoa wa Rukwa waingia katika historia mpya mara baada ya Serikali kupitia Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) kuingia mkataba na Kampuni ya M/s Beijing Construction Engineering Group Co. Ltd ya nchini China kwa ajili ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Sumbawanga kwa gharama ya Shilingi...
Share:

WAZIRI DKT MABULA AFAFANUA UPOTOSHAJI VIWANJA VINAVYOMILIKIWA NA KAMPUNI YA SLIPWAY TOWERS LTD

Na Munir Shemweta, WANMM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa ufafanuzi wa viwanja vinavyomilikiwa kampuni ya Slipway Towers Ltd vilivyopo Msasani Peninsula jijini Dar es Salaam ambapo amemuagiza katibu Mkuu wa Wizara hiyo Eng. Anthony Sanga kuchunguza kubaini kama...
Share:

CHUO CHA MZUMBE KUZITAFUTIA MASOKO BUNIFU ZINAZOIBULIWA NA WANAFUNZI WAKE

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof.William Mwegoha wakati akizungumza na waandishi wa habari katika banda la chuo hicho katika kilele cha Maadhimisho ya maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Kaimu...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI APRILI 30,2023

...
Share:

POLISI WATOA UFAFANUZI AJALI YA NAIBU WAZIRI DUGANGE, WAFUNGUKA MADAI KULIKUWA NA MWANAMKE

Gari ya Serikali Vs Gari binafsi ya Mhe Dugange iliyopata Ajali Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip I. Mpango akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange leo tarehe 29 Aprili 2023 wakati alipofika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya...
Share:

Saturday, 29 April 2023

MTOTO WA MIAKA 7 ACHOMWA MOTO NA MAMA YAKE KISA KALA KIPORO CHA WALI

Mikono ya mtoto aliyochomwa moto na mama yake mzazi Na Suzy Luhende, Shinyanga  Jeshi la polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Grace Godwin(23) Mkazi wa Mtaa wa Sido Kata ya Ibinzamata Manispaa ya Shinyanga kwa tuhuma za kumchoma moto mikono yote miwili mtoto wake kwa tuhuma za kula wali. Tukio...
Share:

TCRA YAWATAKA WASFIRISHAJI WA VIPETO KUJISAJILI NA WENGINE KUHUISHA LESENI

*Matapeli kutuma ujumbe mfupi waibukia Viwanja vya ndege Na Chalila Kibuda, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki imetoa wito kwa wadau wa posta wenye leseni kuhakikisha kuwa wanafuata taratibu, kanuni na sheria pamoja na kuhuisha leseni zao ili wafanye kazi zao kwa ufanisi na...
Share:

GGML YAIBUKA MUONESHAJI BORA KATIKA MAONESHO YA AFYA NA USALAMA MAHALI PA KAZI 2023

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako akimkabidhi tuzo Afisa Uhusiano wa GGML, Doreen Denis baada ya kampuni hiyo kuibuka mshindi ya kundi la muoneshaji bora katika maonesho ya afya na usalama mahali pa kazi yanayoendelea mkoani Morogoro. Baadhi...
Share:

WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA CHUO CHA TAKWIMU MASHARIKI MWA AFRIKA WIKI YA UBUNIFU 2023 DODOMA

MKUU wa Kitengo cha Mahusiano na Masoko Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika, Eusebius Mwisongo,akitoa maelezo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye banda la Chuo hicho wakati wa Kilele cha Maonesho ya wiki ya ubunifu 2023 yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia yaliyomalizaka...
Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI APRILI 29,2023

...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger