
Na Mwandishi wetu - Malunde 1 blog
Benki ya CRDB imefunguaTawi la Benki ya CRDB Kaliua Mkoani Tabora huku ikiwataka wananchi kuchangamkia fursa za maendeleo zinazotolewa na Benki hiyo.
Akizungumza wakati wa sherehe ya ufunguzi rasmi wa tawi la benki ya CRDB – Kaliua,leo Ijumaa Machi 31,2023, Mkuu...