Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akiwa amepanda Pikipiki wakati wa kukabidhi kwa Maofisa Ugani.
Pikipiki ambazo walizokabidhiwa Maofisa Ugani
Pikipiki ambazo walizokabidhiwa Maofisa Ugani
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi leo tarehe 28 Februari, 2023 amekabidhi...
Mbunge wa Jimbo la Malinyi Antipas Mgungusi akiongea na waandishi wa habari katika viwanja vya ushirika ambapo mbio za Kilimanjaro ndipo zilipo fanyika
Na Woinde Shizza , KILIMANJARO
Watanzania wametakiwa kutenga mda wao kwa ajili ya kufanya mazoezi kwani kwakufanya hivyo kunawasaidia...
James Makungu Sombi akitoa burudani enzi za uhai wake
James Makungu Sombi enzi za uhai wake akizungumza na Malunde 1 blog nyumbani kwake Kisesa Mwanza
*****
Manju maarufu na Mtaalamu wa Masuala ya Utamaduni wa Kabila la Kisukuma James Sombi (89) amefariki dunia.
James Sombi miongoni mwa waanzilishi...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Prof. Jamal Adam Katundu ( wa sita kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watumishi wa taasisi zilizochini Ofisi ya Waziri Mkuu ikiwemo OSHA kabla ya kuanza mbio za kimataifa za Kili Marathon Mkoani Kilimanjaro.
Katibu...
Kamisheni ya Maendeleo ya Ushirika hapa nchini (TCDC) imeanza kutekeleza mpango ya kubadili namna ya kuendesha vyama vya ushirika na kuviwezesha kutumia teknolojia za kisasa katika kufanya shughuli zao.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Maendeleo ya Ushirika hapa nchini Abdulmajid Nsekela ametoa taarifa...