...
Wednesday, 30 November 2022
IDADI YA WAGONJWA YAONGEZEKA MLOGANZILA

Idadi ya wagonjwa wanaofika kupata huduma ya matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imeongezeka kutoka 10854 kufikia 11188 kwa wagonjwa wa nje wakati wagonjwa wanaolazwa 793 hadi 1052 katika kipindi cha miezi miwili kuanzia Septemba hadi Novemba mwaka huu.
Ongezeko hilo limechangiwa...
RAIS DKT. SAMIA ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA FALSAFA WA HESHIMA IKIWA NI SHAHADA YA UDAKTARI WA JUU KATIKA HUMANITIA NA SAYANSI JAMII .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Udaktari wa Falsafa wa Heshima ikiwa ni Shahada ya Udaktari wa Juu katika Humanitia na Sayansi Jamii na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika Mahafali...
WANAFUNZI WAFARIKI DUNIA AJALI YA MOTO KAHAMA
AJALI YA MOTO TENA SHINYANGA YAUA WATU WATATU – WANAFUNZI WAWILI KAMANDA MAGOMI AELEZA
Na Mapuli Misalaba, Shinyanga
Watoto watatu wa familia moja ya Bwana Mathayo Samson katika mtaa wa Igomelo kata ya Malunga Manispaa ya Kahama wamefariki Dunia kufuatia ajali ya moto.
Tukio hilo limetokea leo...
Tuesday, 29 November 2022
HATIMAYE WASHINDI WA SHINDANO LA KAMPENI YA TISHA NA TEMBOACARD WATINGA QATAR KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA

Benki ya CRDB baada ya kuhitimisha awamu ya kwanza ya kampeni yake ya “Tisha na TemboCard” na kuwakabidhi tiketi za kushuhudia mashindano ya Kombe la Dunia wateja wake watatu walioibuka washindi wa jumla wa kampeni hiyo hatimae yawapeleka Qatar.
Wateja hao waliondoka tarehe 25 kupitia uwanja wa...
WATOTO 521,025 KUPATIWA CHANJO YA POLIO SHINYANGA DESEMBA 1 - 4, 2022
Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Faustine Mulutyu akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Novemba 29,2022.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Watoto walio chini ya umri wa miaka mitano wapatao 521,025 wanatarajia kupatiwa matone ya kuzuia ugonjwa wa Polio Mkoa wa Shinyanga kaya...
MSANII HI SPEED KUTOKA NIGERIA AACHIA ZAWADI YA ALBUM KWA MASHABIKI

Precious Gift ni album mpya na ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa Afro Beat na Hiphop kutoka nchini Nigeria ambaye anafahamika zaidi kwa jina la Hi Speed.
Album ya Hi Speed ina nyimbo 13 ndani yake akiwa ameshirikiana na Mr Raw, Terry Akpala, Seriki, Halima Alao, Jumabee, Shatta Michy , Dj...
BARAZA HURU LA USULUHISHI WA MALALAMIKO YA WANANCHI VIJIJI VINAVYOZUNGUKA MGODI WA MWADUI LAZINDULIWA
Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Modest Mkude akikata utepe wakati akizindua Taratibu za Baraza la Huru la Usuluhishi wa malalamiko ya wananchi wa vijiji 12 vinavyozunguka Mgodi wa Almasi wa Mwadui kuhusu madhira mbalimbali waliyopata wananchi kwenye mgodi wa Mwadui uliopo wilayani Kishapu....