Monday 31 October 2022

Picha : MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA SHEREHE ZA UFUNGUZI WA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA 'PAP'

...
Rais wa Bunge la Afrika (Pan - African Parliament – PAP) Mhe. Chief Fortune Charumbira akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika leo Jumatatu Oktoba 31,2022 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Afrika Kusini. Mkutano huo pia umehudhuriwa na Waziri wa Sheria na Maendeleo ya Kikatiba wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Ronald Lamola akimwakilisha Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa.

Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Rais wa Bunge la Afrika (Pan - African Parliament – PAP) Mhe. Chief Fortune Charumbira akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika leo Jumatatu Oktoba 31,2022 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Afrika Kusini.

Waziri wa Sheria na Maendeleo ya Kikatiba wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Ronald Lamola akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika leo Jumatatu Oktoba 31,2022 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Afrika Kusini.

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger