This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
Market Sales Manager TalentintheCloud International Zanzibar West, Tanzania The continent’s most successful and fastest growing payments company is looking to add a talented and experienced Market Sales Manager to their team. Since identifying a gap in the African online payments...
Sunday, 28 February 2021
Medical Specialist II (Dermatologist) at Muhimbili National Hospital
This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content
POST: MEDICAL SPECIALIST II (DERMATOLOGIST) – 1 POST POST CATEGORY(S) HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL EMPLOYER Muhimbili National Hospital APPLICATION TIMELINE: 2021-02-26 2021-03-11 DUTIES AND RESPONSIBILITIES To provide routine specialized medical services...
Tanzia : MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AFARIKI DUNIA

Andrew Mollel enzi za uhai wake
Na Mussa Juma - Arusha
Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Andrew Mollel ambaye alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni mbalimbali mkoani Arusha amefariki dunia na kuibua simanzi kwa wakazi wengi wa jiji hilo.
Akizungumza na Mwananchi leo, Februari 28,...
JOGOO ASHIKILIWA POLISI KWA KUUA MMILIKI WAKE

Mtu mmoja ameuawa na Jogoo wake aliyekuwa amefungwa kisu mguuni kwa ajili ya mchezo uliopigwa marufuku wa kupambanisha jogoo Kusini mwa India.
Mmiliki wa jogoo alichomwa kisu usawa wa kati ya tumbo na nyonga wakati kuku huyo akijaribu kutoroka. Mwanaume huyo alipoteza maisha akiwa njiani kuelekea...
AWESO ATOA SIKU SABA MKANDARASI KULIPWA DENI LAKE

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akipanda kwenye tanki la Mradi wa maji Lusilile, Manyoni kujiridhisha na viwango vya ujenzi wake.
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akikabidhi Mkataba kwa Jumuiya ya Watumiaji maji kwa mmoja wa wakazi wa kijiji cha Kashangu Itigi wilayani Manyoni. Wanaoshuhudia makabidhiano...
Picha : ASKOFU MACHIMU AZINDUA WIMBO MAALUMU WA TANZANIA YA AMANI WA KWAYA YA DYNAMIC EAGT...AONGOZA MAOMBI DHIDI YA CORONA
Askofu wa Kanisa la EAGT Ushirika Makimbilio Healing Center mjini Shinyanga, Raphael Machimu akionesha DVD ya Wimbo Maalumu wa Picha uliopewa jina la Tanzania ya Amani kutoka Dynamic Choir EAGT Ushirika Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Tazama Video : Dynamic Choir EAGT Ushirika...
MKURUGENZI WA SHIRIKA LA AGRI THAMANI FOUNDATION MH NEEMA LUGANGIRA AONGOZA ZOEZI LA KUGAWA TAULO ZA KIKE WANAFUNZI 1,800 MANISPAA YA BUKOBA

MKURUGENZI wa Agri Thamani ambaye Pia ni Mbunge wa Viti Maalumu kupitia NGOs Mh Neema Lugangira akigawa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule za Sekondari
WANAFUNZI wa kike wa shule za Sekondari wakifurahia kupokea mfuko wao uliojaa taulo za kike za kutosha mwaka mzima kwa kila...
NAIBU WAZIRI WA MAJI AAHIDI NEEMA YA MAJI KIJIJI CHA KAZENGA

Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi. Maryprisca Mahundi (Mb) amewataka wananchi wa kijiji cha Kazenga wilaya ya Chato mkoani Geita kutunza miundombinu ya maji ili iwe endelevu kwa vizazi vijavyo.
Ameongea hayo wakati akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kazenga waliosimamisha...
MBUNGE KEMBAKI :HATA TUKIVAA BARAKOA KAMA MUNGU HAYUPO PAMOJA NA SISI NI BURE

Aliyenyoosha mkono ni Mchungaji wa Kanisa la Waadventista Wasabato mtaa wa Majengo wilayani Tarime akifanya maombi maalumu kumwombea Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini Michael Kembaki (aliyevaa tai nyekundu). Picha na Dinna Maningo
Aliyenyoosha mkono ni Mchungaji wa kanisa la Waadventista Wasabato...