Monday, 30 November 2020

Serikali yatoa ufafanuzi wa hoja, ajira mpya za waalimu

 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhandisi Joseph Nyamhanga, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimeti ya utumishi wa umma na utawala bora Dkt. Laurean Ndumbaro na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo wametoa ufafanuzi juu ya hoja...
Share:

STANDARD CHARTERED YAENDELEA KUBORESHA HUDUMA KWA WATEJA NCHINI

  Mkurugenzi Mkuu wa benki ya Standard Chartered Tanzania, Sanjay Rughani akizungumza katika uzinduzi huo kulia ni  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya bima ya Sanlam Tanzania Khamis Suleiman wakati walipofafanua mambo mbalimbali kuhusu huduma hiyo kwenye hoteli ya Hyatt Regency mwishoni mwa...
Share:

Waziri Mkuu Amaliza Mgogoro Wa Ardhi Kilosa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemaliza mgogoro wa ardhi katika shamba la Chanzuru lenye ukubwa wa ekari 1,598 lililopo wilayani Kilosa, Morogoro kati ya Laizer Maumbi na Ameir Nahad kwa kuagiza likabidhiwe kwa Laizer ili aweze kuliendeleza kwa kulima mkonge. Hata hivyo, Waziri Mkuu ameagiza eneo...
Share:

KATAMBI AANIKA MIKAKATI KULETA MAPINDUZI SHINYANGA...."SITACHEKA NA ANAYEKWAMISHA MAENDELEO"

...
Share:

Watu watatu wafa maji ziwa victoria.

Samirah Yusuph Busega. Watu watatu wakazi wa wilaya ya Busega Mkoani Simiyu ambao ni wavuvi katika ziwa victoria wamekufa maji kwa kuzama maji baada ya mtumbwi waliokuwa wanautumia katika shughuri zao kupasauka. Tukio hilo limetokea jana tarehe 29 mwezi wa 11 katika kata ya Kabita tarafa ya Busega...
Share:

Video Mpya: Diamond Platnumz Ft. Koffie Olomide – Waah

Video Mpya: Diamond Platnumz Ft. Koffie Olomide – Waa...
Share:

Somalia yamuita nyumbani balozi wake na kumfukuza wa Kenya

 Serikali ya Somalia imesema kuwa imemuita nyumbani balozi wake nchini Kenya Mohamud Ahmed Nur Tarzan, na kuishutumu nchi hiyo kwa kuingilia siasa za nchi yake. Somalia pia imemtaka balozi wa Kenya nchini Somalia kufunga virago "kwa ajili ya majadiliano". Somalia imeishutumu Kenya kwa kushinikiza...
Share:

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Kuapishwa Kwa Wabunge Wapya Wateule Wa Rais

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai leo jioni atawaapisha wabunge wawili walioteuliwa Jumapili iliyopita na Rais Dkt. John Magufuli. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano cha Bunge hafla hiyo itafanyika saa 10 jioni kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma. Wabunge watakao apishwa...
Share:

TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI YAENDELEA NA MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

Kaimu MKurugrnzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Bw. Daudi Kaali akizungumza mapema leo kuhusu shughuli za Ofisi hiyo pamoja na ukarabati wa Miundombinu ya Umwagiliaji unaoendela Mkoani Iringa. Picha inaonesha mafundi wakiwa katika ofisi za Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Dodoma, wakijadili...
Share:

WADAU WASHAURI MBINU ZA KUINUA SEKTA YA KILIMO NCHINI

  ******************** NA MWANDISHI WETU WADAU nchini wameshauri kurahisishwa kwa upatikanajii wa taarifa za utabiri wa hali ya hewa kulingana na eneo husika na kuongezwa kwa fungu la mikopo yenye masharti nafuu kwa wakulima wadogo, kwamba kufanya hivyo kutaongeza thamani katika sekta ya kilimo...
Share:

Dk. Bashiru Awakaribisha CCM Wanawake Imara wa Upinzani

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali, amesema chama chake kinawakaribisha wanasiasa wanawake ‘shoka’ wa upinzani watakao hitaji kujiunga na chama hicho. Dk. Bashiru aliyasema hayo jana jijini hapa, wakati alipokuwa akifungua semina ya siku mbili kwa sekretarieti ya CCM na kamati...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu Novemba 30

...
Share:

Sunday, 29 November 2020

SIMBA SC YAWAZIMA WA NIGERIA KWAO, YAWACHAPA PLATEAU UNITED 1-0

SIMBA SC imetanguliza mguu mmoja mbele Raundi ya Pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Plateau United jioni ya leo Uwanja wa Kimataifa wa Jos International, Jijini Jos nchini Nigeria. Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo Mzambia Clatous Chota Chama dakika...
Share:

BAVICHA SHINYANGA WAMVAA MDEE NA WENZAKE, WATAKA WAKIOMBE RADHI CHAMA

  Mwenyekiti wa Baraza la vijana (BAVICHA) Jimbo la Shinyanga mjini Samson Ng'wagi, katikati, akizungumza na waandishi wa habari, kushoto ni Mwenyekiti wa BAWACHA Jimbo la Shinyanga mjini Zena Gulam, na kulia ni Katibu mwenezi wa BAVICHA, Ibrahimu Isack. Na Marco Maduhu Shinyanga BARAZA la...
Share:

Jenerali Mabeyo Atunukiwa Nishani Maalum Ya Mlima Kilimanjaro

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi akipokea Nishani Maalum ya juu ya Mlima Kilimanjaro kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa, Baba Askofu Mstaafu Elinaza Sendoro wakati wa Mahafali ya 23 ya Chuo hicho Mjini Iringa. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi akionesha Nishani Maalum ya juu ya Mlima Kilimanjaro aliyopokea...
Share:

Boko Haram Waua Wakulima 43 Nigeria

Amnesty International tawi la Nigeria inaripoti kuwa wakulima 43 wa Kijiji cha Maiduguri kilichopo Jimbo la Borno wameuawa na kundi la Boko Haram. Wakulima 43 wa Jimbo la Borno, Nigeria wamechinjwa katika mashamba ya mpunga, Zabarmari na kikundi cha Boko Haram. Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari...
Share:

Iran yaishtumu Israel kwa kuhusika katika mauaji ya mwanasayansi wake mkuu

Iran imeinyooshea kidole cha lawama Israel kuhusika katika mauaji ya Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi mkuu wa nyuklia na mwanajeshi Iran, na kuahidi kulipiza kisasi kwa wale waliohusika na mauaji hayo. Mohsen Fakhrizadeh aliuawa katika operesheni ya kushangaza Kaskazini mwa Tehran. Kwanza gari...
Share:

KIKAO CHA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM NA KAMATI ZA UTEKELEZAJI ZA JUMUIYA ZA CCM CAFANYIKA JIJINI DODOMA

KATIBU Mkuu CCM Dkt Bashiru Ally akizungumza wakati wa Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Kamati za Utekelezaji za Jumuiya za Chama - UVCCM, UWT NA WAZAZI ukumbi wa White House jijini Dodoma leo ...
Share:

WAZALISHAJI WA MAFUTA YA KULA FUATENI KANUNI ZA UZALISHAJI -BW.SUDI

Wazalishaji na wasindikaji wa Mafuta ya Kula Mkoani Kigoma wametakiwa kufuata kanuni za uzalishaji bora ili kuweza kukuza biashara ya Mafuta ya kula nchini. Ameyasema hayo hivi karibuni Meneja Mafunzo na Utafiti wa TBS, Bw. Hamis Sudi katika kata ya Mkongoro wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa wasindikaji...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger