Thursday, 10 September 2020

Taarifa Kwa Umma Toka Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi (NEC) Kuhusu Rufaa Za Wagombea Ubunge Na Udiwani!

...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imewarejesha wagombea ubunge 19 baada ya kuzifanyia kazi rufaa 22.


Pia, Tume hiyo imewarejesha wagombea udiwani 26 wa udiwani na kuzikataa rufaa 19 zilizowasilishwa na walalamikaji.

Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi tarehe 10 Septemba 2020 na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dk. Wilson Mahera imesema tayari imezifanyia kazi rufaa 111 za ubunge na 45 za udiwani.



Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger