Monday, 7 September 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI AUNGURUMA UWANJA WA CCM KIRUMBA ULIOFURIKA WANANCHI

...

 

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza
leo Jumatatu Septemba 7, 2020
Wagombea nafasi za Udiwani katika mkoa wa Mwanza wakisalimia kwa push-up na nyimbo za hamasa Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mbele ya maelfu kwa maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumatatu Septemba 7,2020
Sehemu ya umati wa maelfu kwa maelfu ya wananchi uliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi na Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wake wa hadhara wa kampeni katika Uwanja
wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Jumatatu Septemba 7, 2020
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger