Tuesday, 8 September 2020

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA RORYA JAFARI CHEGE ANAZINDUA KAMPENI ZAKE MUDA HUU

...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Rorya kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jafari Chege (katikati) anazindua kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020 muda huu leo Jumanne Septemba 8,2020 katika uwanja wa Busurwa kata ya Nyamagaro wilayani Rorya
 
Mgombea ubunge wa Jimbo la Rorya kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jafari Chege  akiwa amekaa wakati wa wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020 muda huu leo Jumanne Septemba 8,2020 katika uwanja wa Busurwa kata ya Nyamagaro wilayani Rorya 


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger