Monday, 7 September 2020

Dr Magufuli Avua Kofia Hadharani na Kumvalisha Diamond

...
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John  Magufuli ameshindwa kujizuia na kuamua kumwita msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, meza kuu kisha kuvua kofia yake na kumvisha mwanamuziki huyo.

Magufuli amefanya hayo leo Jumatatu, Septemba 7, 2020, wakati Diamond  alipokuwa akitumbuiza kwenye kampeni za Magufuli katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger