Wednesday 25 October 2017

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO AWAMU YA PILI BATCH 2 2017/2018

...




Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetoa orodha ya awamu ya pili ya wanafunzi 11,481 wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupata mikopo. 
Orodha hiyo ya wanafunzi ya awamu ya pili inapatikana hapa kwenye tovuti hii (www.heslb.go.tz) na itatumwa kwa vyuo husika. Vilevile, tunawafahamisha wanafunzi wanaoendelea na masomo na umma kwa ujumla kuwa tunaendelea kutuma vyuoni majina na fedha za mikopo ya wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao wamefaulu mitihani yao.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger