
Samwel Mwanga ni mmoja ya wadau wakubwa sana wa maendeleo mjini Maswa ambae amepita katika mitaa mbalimbali ya Maswa mjini na kukuta watu wakiwa ni wengi kwenye vyanzo vya maji wakitafuta maji.
Kilio kikubwa cha wananchi wanaiomba serikali kutatua kero yao mapema iwezekanavyo.

0 comments:
Post a Comment