Baada ya Rais Kupokea ripoti ya watumishi wa serikali wenye vyeti Feki,Wasiwasi umetokea kwa wanafunzi na wahitimu waliosoma Chuo kikuu Sua kutokana na kufundishwa na walimu ambao majina yao yametajwa kama ni watumishi wenye vyeti fek...
Sunday, 30 April 2017
Saturday, 29 April 2017
AJIRA ZA MADAKTARI APRIL 2017
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF HEALTH, COMMUNITY DEVELOPMENT,
GENDER, ELDERLY AND CHILDREN
ANNOUNCEMENTS:
The Ministry of
Health in Tanzania has announced the list of employed Medical Doctors
and Health Specialists (April 2017) and their working stations.
Click HERE to read the announcement
Click HERE to download the list
Source: Ministry of Health Official Websi...
BREAKING NEWS:HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WAFANYAKAZI WENYE VYETI FEKI MIKOA YOTE TANZANIA
Habari zenu,
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG ni kukupa kitu roho inapenda,tumekuweke hapo chini orodha yenye majina ya watumishi wenye vyeti feki TANZANIA.
WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI WENYE VYETI FEKI
<<BONYEZA HAPA>>
KWA WAFANYAKAZI WA TAASI ZA SERIKALI MFANO,UDSM
>>BONYEZA HAPA<&l...
Saturday, 22 April 2017
SERIKALI KUMWAGA AJIRA 52,436

SERIKALI inakusudia kuajiri watumishi wapya 52,436 katika mwaka ujao wa fedha.
Ajira hizo mpya ni tofauti na zile za madaktari 258 na wataalamu wa
afya 11 waliotangazwa kuajiriwa Jumatano wiki hii baada ya kupeleka
maombi na kukidhi...
Friday, 21 April 2017
PICHA MBALIMBALI USALAMA FC MABINGWA WA SOKA MOA WA SIMIYU WAKIPOKEA KOMBE LAO LEO MJINI MASWA

DC MASWA,DK SEIF SHEKALAGHE MWENYEKITI KAMATI YA KUHAMASISHA USALAMA FC
ISHINDE.Hayo yameafikiwa ktk kikao cha pamoja kati ya Viongozi wa Timu
ya Usalama Fc ya Maswa na baadhi ya Wadau wa soka wilayani Maswa ktk
hafla fupi ya kupokea kombe la ubingwa wa soka mkoa wa Simiyu.
Kombe...
Saturday, 15 April 2017
Friday, 14 April 2017
Thursday, 13 April 2017
MADUDU AJIRA MPYA ZA WALIMU 2016/2017: WALIMU WA ARTS NA WAAJIRIWA
Habari zenu,
Kama ilivyo kawaida yetu MASWAYETU BLOG TEAM tupo kikamilifu kukupa kila kitu tunachokipata ili uweze kukifahamu.
Ajira mpya za ualimu zimetangazwa ,huku zikisema ni kwa ajili ya walimu wa sayansi na hisabati,cha kushangaza kuna walimu wa arts wameajiriwa,je huku ni kukosa weredi katika...
Wednesday, 12 April 2017
BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA AJIRA MPYA ZA WALIMU 2016/2017
Hatimaye serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza majina ya walimu walioajiriwa mwaka 2016/2017.
MASWAYETU BLOG tumejipanga na tumewawekea majina hayo bila taabu yoyote. ...
Tuesday, 11 April 2017
VIDEO:BAADHI YA WANANCHI WALIOPO MASWA MJINI WAKILALAMIKA KUHUSU TATIZO LA MAJI

Wananchi waliopo mjini Maswa ni kati ya watu wanaosumbuka zaidi kwa swala hili la maji.
&nbs...
TAARIFA MUHIMU KUHUSU SIFA ZA KUJIUNGA NA VYUO VYA AFYA MWAKA WA MASOMO 2017/2018
Habari zenu wadau,
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG TEAM tupo kukupa kitu roho inapenda ,na tunakuomba sana samahani kwa kutokuwa hewani kwa siku kadhaa.
Nipende kukuahidi kwamba,Tumerejea kwa kasi ya ajabu kabisa,kama unaswali unaweza kutu contact na utajibiwa bila shida.
Leo tumekuletea...