Hii hapa ngoma mpya ya Msanii Ntemi Omabala inaitwa Majungu..
...
Tuesday, 29 March 2022
MPIGA DEBE AMUUA MWENZAKE KWA KUMCHOMA KISU WAKIGOMBANIA ABIRIA STENDI YA MABASI MSAMVU MOROGORO

Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro inamshikilia mpiga debe wa Kituo cha Mabasi Msamvu,Abdallah Yassin (32) kwa tuhuma za kumchoma Kisu kifuani upande wa kushoto mpiga debe mwezake aliyetambuliwa kwa Jina la Tazani Mndeme (35) kutokana na ugomvi uliozuka baina yao kugombea Abiria na kusababisha...
Monday, 28 March 2022
TAASISI ZA KIFEDHA ZAOMBWA KUPUNGUZA RIBA ZA MIKOPO KWA WAJASIRIAMALI WADOGO

Na Ashura Jumapili, Bukoba.
Baadhi ya wajasiriamali Mkoani Kagera wameziomba taasisi za kifedha zinazotoa mikopo kwa Wafanyabiashara kupunguza riba za mikopo sanjari na kupunguza masharti kama ilivyofanya benki ya CRDB.
Wakiongea kwa nyakati tofauti katika siku ya ( Wellness Day )ya Wafanyakazi...
NDEJEMBI ADHAMIRIA KUSIMAMIA SHILINGI BILIONI 7.8 ZILIZOTOLEWA NA RAIS KUTEKELEZA MIRADI YA KUPUNGUZA UMASKINI MKOANI MWANZA

Naibu Waziri,Ofisi ya Utumishi wa Umma na utawala bora Deogratius Ndejembi wakati akizungumza na Waratibu,wahasibu na maafisa ufuatiliaji wa mpango wa Tasaf leo Jijini Mwanza
*****
Na Mwandishi wetu,Malunde 1 blog-MWANZA
NAIBU Waziri,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma...
MBUNGE ANUSURIKA KUFA AKIENDA KUMZIKA BABAAKE..GARI LATEKETEA

Mbunge wa Masasi Mjini, Geofrey Mwambe na familia yake leo Jumapili Machi 27, 2022 wamenusurika kifo baada ya gari binafsi waliyokuwa wakisafiria kushika moto na kuteketea kabisa.
Mbunge huyo na familia yake walikuwa wakielekea Masasi kwenye msiba wa baba yake mzazi...
TARI KUTARAJIA KUZALISHA TANI ELFU 8 HADI 10 ZA SHAIRI KUANZIA MWAKA 2021/2025

Mratibu wa zao la shairi Kitaifa kutoka TARI bi Salome Munisi akitoa taarifa ya utafiti wa zao la shairi kwa Waandishi wa habari .
Na Rose Jackson - Arusha.
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Selian inatarajia kuzalisha Tani elfu nane Hadi elfu kumi za shairi kuanzia mwaka 2021 hadi 2025...
Sunday, 27 March 2022
TBS YAWATAKA WAAGIZAJI WA BIDHAA NJE YA NCHI KUPIMA BIDHAA ZAO KABLA HAZIJAINGIA NCHINI

Maafisa wa TBS wakitoa maelezo kwa wageni waliotembelea banda la TBS kuhusu taratibu za kuingiza bidhaa nchini katika maonesho ya 23 ya ujenzi Afrika yanayofanyika Diamond Jubilee jijini Dar es salaam.
************
NA Mwandishi Wetu
Waagizaji wa bidhaa nje ya nchi wameshauriwa kuhakikisha bidhaa wanazoingiza...
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA KAGERA ARIDHISHWA NA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI

Wa pili kushoto ni msimamizi wa mradi wa shule hiyo Raymond Mutakyahwa
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bi. Konstansia Buhiye
Na Mbuke Shilagi Kagera.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kagera Bi. Constansia Buhiye ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari...