Sunday, 30 April 2017
TETESI:WAHITIMU WA SUA ELIMU YAO HATIHATI BAADA YA WALIMU WAO WENGI KUWA NA "VYETI FEKI"
Saturday, 29 April 2017
AJIRA ZA MADAKTARI APRIL 2017
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF HEALTH, COMMUNITY DEVELOPMENT,
GENDER, ELDERLY AND CHILDREN
ANNOUNCEMENTS:
The Ministry of Health in Tanzania has announced the list of employed Medical Doctors and Health Specialists (April 2017) and their working stations.
Click HERE to read the announcement
Click HERE to download the list
Source: Ministry of Health Official Website
BREAKING NEWS:HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WAFANYAKAZI WENYE VYETI FEKI MIKOA YOTE TANZANIA
Habari zenu,
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG ni kukupa kitu roho inapenda,tumekuweke hapo chini orodha yenye majina ya watumishi wenye vyeti feki TANZANIA.
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG ni kukupa kitu roho inapenda,tumekuweke hapo chini orodha yenye majina ya watumishi wenye vyeti feki TANZANIA.
KWA WAFANYAKAZI WA TAASI ZA SERIKALI MFANO,UDSM
>>BONYEZA HAPA<<
Saturday, 22 April 2017
SERIKALI KUMWAGA AJIRA 52,436
SERIKALI inakusudia kuajiri watumishi wapya 52,436 katika mwaka ujao wa fedha.
Ajira hizo mpya ni tofauti na zile za madaktari 258 na wataalamu wa afya 11 waliotangazwa kuajiriwa Jumatano wiki hii baada ya kupeleka maombi na kukidhi vigezo kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa ajili ya kwenda kufanya kazi nchini Kenya.
Friday, 21 April 2017
PICHA MBALIMBALI USALAMA FC MABINGWA WA SOKA MOA WA SIMIYU WAKIPOKEA KOMBE LAO LEO MJINI MASWA
DC MASWA,DK SEIF SHEKALAGHE MWENYEKITI KAMATI YA KUHAMASISHA USALAMA FC
ISHINDE.Hayo yameafikiwa ktk kikao cha pamoja kati ya Viongozi wa Timu
ya Usalama Fc ya Maswa na baadhi ya Wadau wa soka wilayani Maswa ktk
hafla fupi ya kupokea kombe la ubingwa wa soka mkoa wa Simiyu.
Kombe hilo
Usalama Fc inayomilikiwa na jeshi la polisi wilayani Maswa walilitwaa
na sasa wamelikabidhi wa Mkuu wa wilaya ya Maswa ofisini kwake.
Lengo la
kamati hiyo ni kuhakikisha Usalama Fc inafanya vizuri ktk ligi ya
mabingwa wa mikoa na kusonga mbele.Angalia picha mbalimbali za tukio
hilo ofisini kwa DC Maswa.
Saturday, 15 April 2017
Friday, 14 April 2017
Thursday, 13 April 2017
MADUDU AJIRA MPYA ZA WALIMU 2016/2017: WALIMU WA ARTS NA WAAJIRIWA
Habari zenu,
Kama ilivyo kawaida yetu MASWAYETU BLOG TEAM tupo kikamilifu kukupa kila kitu tunachokipata ili uweze kukifahamu.
Ajira mpya za ualimu zimetangazwa ,huku zikisema ni kwa ajili ya walimu wa sayansi na hisabati,cha kushangaza kuna walimu wa arts wameajiriwa,je huku ni kukosa weredi katika utendaji kazi?Setikali inaombwa ilitazame hili.
MFANO WA MAJINA YA ARTS YA WALIOAJIRIWA HAYA HAPO CHINI;
Wednesday, 12 April 2017
BREAKING NEWS:HAYA HAPA MAJINA AJIRA MPYA ZA WALIMU 2016/2017
Hatimaye serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza majina ya walimu walioajiriwa mwaka 2016/2017.
MASWAYETU BLOG tumejipanga na tumewawekea majina hayo bila taabu yoyote.