
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Naibu Spika Tulia Ackson, ambaye katika vikao vya Bunge anatakiwa
kusimamia mijadala kwenye chombo hicho cha kutunga sheria, jana alizua
kizaazaa baada ya kumuelezea mbunge wa Kilwa Kusini (CUF), Selemani Said
Bungara kuwa ni bwege, akimtaka aache kuonyesha hali hiyo....