Thursday 22 August 2024

TRA YATOA ELIMU KUHUSU MABADILIKO YA SHERIA ZA KODI 2024/2025 KWA WAFANYABIASHARA SHINYANGA

Afisa Mwandamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Isihaka Sharif akitoa elimu kwa Wafanyabiashara Wilaya ya Shinyanga kuhusu Mabadiliko ya Sheria za Kodi kwa mwaka wa Fedha 2024/2025. Mafunzo hayo yamefanyika leo Alhamisi Agosti 22,2024 katika ukumbi wa TRA Mkoa wa Shinyanga - Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Afisa Mwandamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Isihaka Sharif akitoa elimu kwa Wafanyabiashara Wilaya ya Shinyanga kuhusu Mabadiliko ya Sheria za Kodi kwa mwaka wa Fedha 2024/2025.

Kaimu Meneja wa Kodi kutoka TRA Shinyanga Ramadhan Omary akizungumza wakati TRA ikitoa elimu kwa Wafanyabiashara Wilaya ya Shinyanga kuhusu Mabadiliko ya Sheria za Kodi kwa mwaka wa Fedha 2024/2025.

Kaimu Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Shinyanga Jackton Koyi ambaye pia ni Mwenyekiti Mwenza wa Jukwaa la Walipa Kodi Mkoa wa Shinyanga akizungumza wakati TRA ikitoa elimu kwa Wafanyabiashara Wilaya ya Shinyanga kuhusu Mabadiliko ya Sheria za Kodi kwa mwaka wa Fedha 2024/2025.

Wafanyabiashara wakiwa kwenye mafunzo kuhusu Mabadiliko ya Sheria za Kodi kwa mwaka wa Fedha 2024/2025.

Share:

WATAALAMU KITENGO CHA BANDARI WMA WAAHIDI WELEDI ZAIDI KAZINI

Mojawapo ya vituo vya kujaza gesi asilia kwenye magari vilivyopo nchini. Wakala wa Vipimo, Kitengo cha Bandari hufanya kazi ya kuhakiki Pampu zinazotumika kujazia gesi ili kumlinda mlaji/mnunuzi na muuzaji, wote wapate faida stahiki.

********************

Na Pendo Magambo – WMA

Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo (WMA) Kitengo cha Bandari, wamesema wataendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi ili kufikia azma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuwa na Tanzania ya Viwanda.

Akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi, Meneja anayeongoza Kitengo hicho, Alfred Shungu ameyasema hayo ofisini kwake alipokuwa akizungumza na wanahabari, Agosti 21, 2024.

“Tunatambua kuwa Taifa linatutegemea hususani katika uhakiki wa vipimo na upimaji wa mafuta yanayoingia nchini kuanzia melini, kwenye mita na maghala ya kupokelea mafuta, hivyo tutaendelea kutekeleza majukumu yetu kwa weledi na uadilifu,” amesisitiza Shungu.

Akieleza kwa kina kuhusu majukumu ya Kitengo hicho, Shungu amesema msingi wake ni kumlinda mlaji na muuzaji kwa kuhakiki utumiaji wa vipimo sahihi katika biashara ya mafuta hapa nchini.

Aidha, amesema, majukumu yao pia yanalenga kuiwezesha serikali kukusanya kodi kwa waagizaji wa mafuta kwa kuhakiki kiasi kilichoagizwa na kampuni zinazoagiza mafuta jamii ya petroli na mafuta ya kula kutoka nje ya nchi.

Shungu amedadavua zaidi kuwa majukumu ya WMA Kitengo cha Bandari katika Meli yanahusisha kuhakiki kiasi cha mafuta yanayowasili nchini kwa kulinganisha na nyaraka za Meli za kuagiza mafuta pamoja na kukagua vipimo vyote vinavyotumika kupimia mafuta.

Upande wa Mita, amesema WMA inawajibika kuhakiki mfumo wa upimaji wa mafuta kwa kutumia kipimo kilichohakikiwa na Wakala hiyo. Pia, WMA hupaswa kuweka kumbukumbu ya vipimo na takwimu za matokeo ya upimaji kwa kulinganisha melini na kwenye maghala na kutoa ushauri wa kitaalamu ikibainika kutofautiana.

Aidha, katika maghala, Shungu ameeleza kuwa wajibu wa WMA ni kukagua vipimo vinavyotumika kupima mafuta kwenye matenki, kupima na kuchukua takwimu za kiasi cha mafuta yaliyopo kwenye matenki kabla ya kupokea mzigo pamoja na kuweka alama kwenye matenki yanayopokea mzigo na yasiyopokea mzigo.

Majukumu mengine katika matenki ni kupima na kuchukua takwimu za kiasi cha mafuta yaliyoingia kwenye matenki baada ya kupokea mzigo, saa 24 baada ya mafuta kutulia pamoja na kukokotoa kiasi cha mafuta yaliyoingia katika kila ghala kwa Meli nzima.

Amesema baada ya hapo, WMA huandaa taarifa ya upimaji na kusambaza kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA), Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) pamoja na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).
Meneja wa Kitengo cha Bandari, Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Alfred Shungu akikagua mtungi maalum unaotumika kuhakiki ujazo wa gesi asilia katika vituo vinavyotumika kujaza gesi hiyo kwenye magari. WMA hufanya kazi ya kuhakiki Pampu zinazotumika kujazia gesi ili kumlinda mlaji/mnunuzi na muuzaji, wote wapate faida stahiki.
Mtungi maalum unaotumika kuhakiki ujazo wa gesi asilia katika vituo vinavyotumika kujaza gesi hiyo kwenye magari. Mtungi huu unamilikiwa na Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) ambao hufanya kazi ya kuhakiki Pampu zinazotumika kujazia gesi ili kumlinda mlaji/mnunuzi na muuzaji, wote wapate faida stahiki.
Share:

WANAGDSS WATAKA WATUHUMIWA WANAODAIWA KUMBAKA BINTI WA YOMBO WASHUGHULIKIWE

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

WANAHARAKATI wamepaza sauti zao kuhakikisha haki inatendekea kwa washtakiwa wanadaiwa kumbaka kwa kundi na kumlawiti binti aliyejitambulisha anatokea Yombo Dar es Salaam ambapo mpaka sasa kesi bado ipo mahakamani na watuhumiwa wameshakamatwa.

Wakitoa maoni yao leo Agosti 21, 2024 katika Semina za Jinsia na Maendeleo ambazo hufanyika kila Jumatano, wanaharakati hao wamesema jamii inatakiwa kujua kila hatua inayoendelea kama walivyofanya ukatili huo.

Wamesema kutokana kusemekana muhusika aliyewatuma watuhumiwa kufanya tukio hilo yupo basi anatakiwa kukamatwa na kujibu tuhuma hizo na pia kuchukuliwa hatua kama akikutwa na hatia ya kufanya kitendo hicho.
Aidha wamesema wameviomba vyombo husika kutoa taarifa sahihi kuhusu binti kuanzia alipo, na serikali kutengeneza NGO's yake itakayojenga na kumfariji binti huyo ambaye amefanyiwa ukatili.

Pamoja na hayo wanaharakati hao wameiomba jamii kuungana kwa pamoja kuhakikisha wanakemea vitendo vya ukatili ambavyo vimekuwa vikitokea mara kwa mara kwenye jamii ambayo inatuzunguka.
Share:

Wednesday 21 August 2024

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI AGOSTI 22, 2024

Share:

MABORESHO HUDUMA YA MAJI GOBA

Kazi ya kuweka toleo la bomba la inchi 3 kutoka bomba la usambazaji maji la inchi 4 inaendelea kutekelezwa na mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika eneo la Simba Oil

Kazi hiyo inahusisha utolewaji wa maji katika bomba la inchi 4 kuelekea bomba la usambazaji maji la inchi 6 pamoja na ulazaji wa bomba la inchi 3 umbali wa mita 60 ili kuongeza msukumo maji katika eneo ilo.

Kukamilika kwa kazi hiyo itasaidia kuboresha huduma ya upatikanaji wa maji kwa wakazi wa maeneo ya Simba Oil, Chasimba, Minji, River View, Goba Zahanati, Shimbi Kati na Mwamuyamu
Share:

WAKULIMA WA MWANI, WAFUGAJI WA MAJONGOO BAHARI NA WANENEPESHAJI KAA JIJI LA TANGA WAPEWA MBINU MPYA

Zaidi ya vikundi 21 vya wakulima wa mwani, wafugaji wa majongoo bahari na wanenepeshaji Kaa Jiji la Tanga wamepatiwa elimu ya kilimo na ufugaji bora wa mazao ya Bahari.

Akizungumza lengo la utoaji wa elimu hiyo mratibu kutoka chuo cha mipango ya maendeleo vijijini Dr. Bonamax Mbasa amesema utafiti uliofanywa na chuo cha mipango na UNDP ulibaini wakulima na wafugaji hawana uelewa wa kutosha wa kile wanacho kifanya ndiyo sababu zao hilo kushindwa kupanda thamani na kuleta tija kwa wanavikundi na jamii iliyopo.

"Tumeona tulete elimu hii ili iwape ujuzi utakao wasaidia wakulima na wafugaji wa mazao ya baharini kuondokana na ukulima wa mazoea"alisema Dr. Mbasa.

Aidha Dr. Mbasa amesema kwa sasa upo umuhimu mkubwa wa kuweka makaushuo pamoja na mashine ya kusaga unga wa mwani ili kusaidia kuongeza ubora kwa zao la mwani.

Naye mwakilishi kutoka UNDP Veronica  Sigala akaelezea mradi wa Bahari ni Maisha unavyofanya kazi na kuhakikisha wakulima na wafugaji wa mazao ya baharini wanapata faida kutokana na kazi zao.

Share:

WAFANYABIASHARA TANGA WATOA USHAURI KWA BENKI YA NMB WALIOCHUKUA MIKOPO NA KUSHINDWA KUIREJESHA

Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Mkoa wa Tanga (JWT) Ismail Masoud akizungumza wakati wa mkutano huo 
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini Baraka Ladislaus akizungumza wakati wa mkutano huo

Na Oscar Assenga, TANGA.

JUMUIYA ya wafanyabiashara Mkoa wa Tanga JWT imeiomba Benki ya NMB nchini kuweka utaratibu nzuri wa kudai madeni yao kwa wafanyabiashara waliochukua mikopo kwa kuunda kamati kila wilaya ambazo zitaratibu na kufuatilia walioshindwa kuilipa waone njia sahihi ya ya kulipwa badala ya kufikiria kuwauzia nyumba zao na mali ili kufidia mikopo hiyo.

Kauli hiyo ilitolewa leo na Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Mkoa wa Tanga Masoud Ismail wakati wa mkutano wa Business Club 2024 uliofanyika Jijini Tanga ambapo alisema wanataka wafanyabiashara wasiuziwe nyumba zao na mali wanazomiliki bali ziundwe kamati za madeni kila wilaya zitakayowezesha upatikanaji wa fedha zinazodaiwa.

Alisema kwamba kamati hizo zihusishe wafanyabiashara wenyewe kwamba mfanyabiashara amekutana na changamoto badala ya kwenda kuuza nyumba yake deni lipelekewe kwenye kamati ya wafanyabiashara wenyewe kwamba anadaiwa na anatakiwa kwenda kuuziwa nyumba yake wafanyaje na itakuwa ni benki ya kwanza kuwashirikisha wafanyabiashara wenyewe kusaidia kulipa madeni badala ya kuuza nyumba.

“NMB chukueni Sera hii na mkiifanya mtafanikiwa nchini nzima kwamba kila wilaya kuwa na kamati ya Madeni ikihusisha wafanyabiashara na unakuta mtu nyumba ikienda kuuzwa anadaiwa milioni 3 hivyo wakikutana wanaweza kuchangishana na kuweza kumaliza deni hilo”Alisema

Aidha alisema kwamba biashara zimekuwa na changamoto nyingi hasa ushindani umekwa juu wafanyabiashara kupitia ushindani wa mifumo ya biashara unawaumiza na bahati mbaya wanashindana na watu wasiolipa kodi kwenye biashara ambazo wanazifanya wao.

“Lakini wengine hawalipi kodi hilo ni tatizo linawaumiza wafanyabiashara hivyo NMB lazima tubadilishe sera asilimia 60 ya wafanyabiashara nchini ni wamachinga hawalipi kodi asilimia 40 ni wafanyabiashara wanaolipa kodi na kuchukua mikopo kwao kuna namna mbili wanatakiwa kufanya biashara walipe kodi na wanatakiwa kufanya biashara kurudisha mikopo hivyo mifumo ya mabenki lazima ibadilike kulingana na hali biashara ilivyo”Alisema

Aidha alisema kwamba wasipobadilisha sera hali ya biashara itaendelea kuwa ngumu na wafanyabiashara hawataki akaunti zao zikamatwe na wanaaza kurudi nyuma kwenye mfumo wa Tanzania kutunza fedha kwenye vitanda kwa sababu akaunti zao zinakamatwa na TRA wafanyaboashara hawataki.

Alisema kwamba benki akaunti ni siri ya mtu na benki na wanataka mfumo wa kutumia fedha taslimu uachwe watumie swap sasa benki na JWT na TRA wanashindwa kutumia njia zipi za watu wanadaiwa wafanywaje walipe mpaka wanakwenda kuingilia akauti za watu wanalalami fedha zao.

“Niwaambie kwamba benki ndio zinafanya kazi sana kuliko mitandao lakini Tanzania mitandao ndio inafanya kazi zaidi kuliko benki na mifumo ya fedha Tanzania inazunguka sana kwenye mifumo ya mitandao kuliko benki inabidi tushirikina na sisi Jumuya za wafanyabiashara tuone namna ya kufanya mifumo ya fedha ipitie kwenye mabeki

Awali akizungumza Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini Baraka Ladislaus alisema kwamba leo la kuanzishwa kwa NMB Business ni kuwafanya wateja wao wawe karibu na wao lakini kupitia huko wanapat fursa ya kusikia changamotoo mbalimblai za wateja wao na hivyo kuwasaidia kufanya maboresho katika huduma ambazo wamekuwa wakizitoa.

“Ni matumaini yangu baada ya kusikia mada mbalimbali zitakazotolewa nanyi watapata fursa ya kuwapa maeneo yenu ili waendelea kuyachukua na kuyachakata na kuzipatia ufumbuzi na kujenga NMB na wateja walio imara”Alisema

Hata hivyo alisema kwamba benki hiyo itaendelea kuboresha huduma zake katika maeneo mbalimbali na sasa wameendelea kuwafikia wateja wadogo wadogo wa kule chini na akaunti za NMB zimeboresha.

“Maboresho makubwa ni kiu ya Benki ya NMB kuendelea kuwa chaguo lako ukitaka kuchagua benki NMB iendelea kubaki kuleta huduma za kibunifu zitakazoleta matokeo chanya kwa wateja wetu”Alisema

Share:

Tuesday 20 August 2024

IJUE DAWA YA MATAPELI WA VIWANJA

Jina langu ni Amosi kutokea Meru nchini Kenya, mwaka 2019 nilinunua kiwanja kwa ajili ya kuanza ujenzi baada ya kukusanya fedha zangu kwa miaka mingi sana.

Hii ilikuwa ni ndoto yangu ya miaka mingi kwamba siku moja nami nije kuwa na kwangu kisha kuanzisha familia yenye furaha.

Basi nilikutana na madalali na kuniambia kuna kiwanja kikubwa kinauzwa mahali na kipo katika eneo zuri hivyo naweza kuchangamkia fursa hiyo mara moja.

Nilienda kuona kiwanja hicho na kujidhirisha kweli ni kizuri, basi nilianza mchakato wa malipo mara moja ili asije akatokea mtu mwingine akakinunua kiwanja hicho.

Hatimaye nilifanikiwa kulipia na kupatiwa hati kuwa mimi ndiye mmiliki wa eneo hilo. Hapo moyo wangu ulitulia na kujua kilichobakia sasa ni hatua tu ya ujenzi ambao ulitarajia kuanza siku sio nyingi.

Cha kushangaza ni kwamba nilikuja kupata taarifa kuwa yule aliyeniuzia kile kiwanja ni mtu tapeli ambaye ameshatapeli watu wengi katika maeneo mengi nchini Kenya.

Ni mtu ambaye ana mtandao mrefu sana kiasi kwamba ni vigumu sana kumpata na hatia hata ukimfikisha mahakamani.

Kuna ndugu yangu aliniambia kuwa nikaonane na Dr Bokko atanisaidia kushinda kesi hiyo ya madai ambayo nilikuja kuifungua siku za mbeleni.

Nashukuru Dr Bokko alinifanyia tiba ya kweli na kunihahakikishia haki yangu itapatikana tena ndani ya muda mfupi tu. Basi nilifungua kesi ya utapeli mahakamani na shauri letu likaanza kusikilizwa.

Watu wengi walijua nitashindwa kesi hiyo maana mtu huyo ni tapeli aliyebobea. Lakini kwa nguvu ya dawa za Dr Bokko nilishinda kesi hiyo na kurudishiwa fedha zangu pamoja na gharama za kesi hiyo. Mpigie kwa namba +255618536050.

Mwisho.

Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive

Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger