Monday, 15 January 2024
KAKA YANGU ALIPANGA KUNITOA KAFARA
Shida ilianza pale mama na kaka yangu mkubwa walipogundua kwamba nimempenda binti huyo ambaye wao hawakumtaka, ilisukwa njama ya kunikatalia kwa shinikizo kwamba nisubiri mpaka niajiriwe serikalini ndio nioe.
Katika familia nzima aliyeniunga mkono alikuwa baba mzazi tu, mama, kaka zangu na dada zangu wapatao kumi wote walinisusia kitendo kilichomkasirisha baba.
Baba alisimama mimi, kwa bahati mbaya mwaka huo kulitokea sherehe ya kaka yangu. Kiukweli sikuwa na amani moyoni kuhusiana na sherehe hiyo, nafsi yangu ilikuwa inasita na nilimshawishi baba asiende.
Lakini hakunikubalia na alipoenda hakurudi akiwa hai, bali alirudi akiwa kwenye jeneza. Kumpoteza baba ilikuwa pigo kuelekea kwenye ndoa yangu.
Kilichonishtua zaidi ni kwamba yule kaka yangu alikuja na watu wake kutoka Kagera na hakushiriki shughuli za mazishi kivyovyote vile zaidi ya kufika na kuchinja mbuzi na kula na wageni wake.
Na ilikuwa kila wadogo zangu walipotaka kumlilia baba, jamaa aliwatisha na kuwaambia eti waache upumbavu wa kulia kwani yeye amebaki na atawasaidia kila kitu watakachohitaji.
Maajabu zaidi ni pale ambapo alitaka kuondoka kurudi Kagera hata kabla msiba haujaisha. Alikatazwa, ilibidi atoroke siku moja kabla msiba hujaisha.
Baada ya hapo nilitakiwa kufanya sherehe ya harusi bila baba, nilipata tabu sana kwani nilifukuzwa nyumbani na sikutakiwa kukanyaga pale maana baadhi ya wadogo zangu walitishia kunikata mapanga. Kaka yangu ndiye aliyekuwa akiongoza huu mvurugano.
Kufuatia mgogoro huu wa kifamilia, niliamua kwenda kutafuta dawa kwa Kiwanga Doctors kama nilivyokuwa nimeshauriwa na watu wengi.
Nashukuru kwa Kiwanga Doctors niliweza kupata dawa hiyo na kunihakikisha mambo yatakaa sawa na kujua ukweli wa jambo hilo.
Baada ya dawa ya Kiwanga Doctors, walijitokeza wasamaria wema wakanichukua na kukubali sherehe yangu ifanyike kwao.
Kwakweli sherehe ilifanyika na watu wengi walijitokeza huku wakinihurumia na kunipa pole, ilikuwa furaha pamoja na huzuni.
Sasa baada ya harusi ilibidi nifuatilie chanzo cha kifo cha mzee ndipo nilipogundua kaka yangu ndiye aliyemtoa kafara na alihitaji kunitoa na mimi ikashindikana ndiyo ikawa chanzo cha yeye kuwa na uhasama na mimi.
Tangu wakati huo nipo na mke wangu na sina mawasiliano yoyote na mama wala wakubwa zangu hata wadogo zangu.
Sasa nipo na mke wangu tu kwa amani, yeye ndiye ndugu yangu kwani alinivumilia katika nyakati ngumu nilizopitia na alikuwa faraja kubwa sana kwangu.
Siku zote kumbuka Kiwanga Doctors anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto.
Vilevile anatoa huduma ya kukusaidia kupata kazi au ajira, kupandishwa cheo na mshahara kazini, kuwasaidia wenye urahibu wa dawa za kulevya, sigara na pombe, kwa wanaotafuta mume au mke pia anawasaidia tena ndani ya siku chache.
Anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake.
Basi chukua hatua ya kuwasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba; +254 769 404965.
Mwisho.
JNHPP YAWA KIVUTIO ZANZIBAR
Wajiuliza mradi umefanikiwa vipi
Wakusanyika kupiga picha kwenye Bango
Watu wengi Mjini Unguja,Zanzibar wamejitokeza kutembelea Banda la TANESCO katika viwanja vya Fumba ambapo Maonesho ya 10 ya kimatafa ya Biashara yanafanyika .
Maonesho hayo yaliyoanzaTarehe 7 January 2024, yameleta Taswira mpya ya wadau wa Umeme juu ya jitihada ambazo Serikali inazifanya kwenye uwekezaji wa Sekta ya Nishati Nchini.
Mmoja ya wadau aliyetembelea Banda hilo ni Naibu Katibu Mkuu wa Habari, Mawasiliano na Tekinolojia ya Habari Mhe. Selestine Kakele ambae ameonekana kuvutiwa na miradi mbalimbali inayotekelezwa na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) na hasa mradi wa JNHPP ambao umefikia asilimia 95.83
Naye Bw. Mwangulumba Mtumishi katika Bodi ya Taifa ya Pamba,Tanzania amesema kuwa mradi wa JNHPP ni tumaini Jipya kwa Tanzania na kuwa utekelezaji wake umekua wa kipekee sana kwani ni mradi uliopitia changamoto nyingi sana hasa kutoka katika Mataifa makubwa yaliyoendelea lakini Tanzania imeonesha uthubutu.
“ najiuliza tumewezaje kulifanya hili, huu mradi wa kipekee , maono ya waasisi wetu yalikua makubwa sasa hata wale ma Giant wanatushangaa, hili tumeliweza”
Naye Bw.Issa Waziri mkazi wa Pemba, amesema kuwa mradi wa JNHPP si tu utatupatia umeme wa kutosha lakini umekua kivutio kwa namna unavyoonekana
“Mradi huu ni mzuri sana, kwanza unavutia, umeshawahi kufika (akiongea na mwandishi)natamani sana kufika hapo”
Shamra shamra za Maonesho haya zimekua za kihistoria kwa TANESCO na hasa kwa baadhi ya watu kuja na kupiga picha katika moja ya bango la Mradi wa JNHPP.