

Mrasimu Ramani kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Nolasco John akitoa wasilisho la matumizi ya matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa njia ya ramani


Mkazi wa Kata ya Ng'ambo aliyefika katika Kituo cha Kizigo Mzee Juma Rai Juya, akionesha kadi yake ya mpiga kura mara baada ya kukamilisha taratibu za kuboresha taarifa zake kwenye daftari la wapiga kura na Kukabidhiwa kadi yake mpya. 




Jina langu ni Elizabeth kutoka katika kaunti ya Bungoma, tulikuwa kwenye ndoa na mume wangu Benson kwa muda wa miaka minne, tulikuwa na maisha mazuri kwani hakuna lolote ambalo likuwa kikwazo katika uhusiano wetu.
Baadaye alipata kazi mjini Nairobi, tulikubaliana kuwa aende kufanya kazi hiyo na mimi ningebaki kijijini na watoto, kila mwezi alikuwa akinitumia fedha za kufanya shuguli mbalimbali pale nyumbani kwetu.
Nilimwamini kwani hakuna hata siku mmoja mume wangu alionekana kuwa na mpango wa kando, jambo hili lilipelekea na mimi kumuonyesha mapenzi ya dhati.
Kila baada ya mwezi mmoja alikuwa akija nyumbani kunijulia hali na hapo sikuwa na shaka ya uwepo wake mjini Nairobi, ila baada ya siku kupita tabia yake ilianza kubadilika.
Hakuwa akipiga simu tena kama ilivyokuwa kawaida yake kila siku, nilianza kushuku mienendo hii yake kwani fedha alizokuwa akituma kila mwisho wa mwezi zilipungua sana na wakati mwingine hakuma kabisa.
Wakati mwingine nilipompigia simu sauti ya mwanamke ilisikika kwenye simu yake, nilifunga safari na kwenda Nairobi kujua alipokuwa akiishi. Nilipigwa na butwa baada ya kumpata mwanamke mwingine kwenye nyumba yake, huyu mwanamke aliniambia yeye ni mke wake mume wangu!.
Nilienda kulala kwa dada yangu usiku ule kwani sikutaka ugomvi na mtu, Dada yangu alinihurumia kwa mambo yaliyonikumba na hata akanipa ushauri kuwa kuna mtaalam wa tiba asilia anaweza kunisaidia.
Aliniambia mtaalamu huyu ni African Doctors ambaye amesaidia watu wengi sana, alinipatia namba zake, niliweza kuwasilina naye na baada ya wiki moja niliweza kufika ofisini kwake na kumueleza changamoto zangu zote na akanifanyia tiba zake.
Nilirejea nyumbani na baada ya siku tatu sikuyaamini macho yangu, mume wangu alikuja nyumbani akiwa mnyonge ajabu, aliniomba msamaha kwa yote yalikyokuwa yametokea. Nilimsamehea kwa kuwa nilikuwa mwenye mapenzi ya dhati kwake, baadaye tulienda pamoja mjini.
Tangu siku ile mume wangu amekuwa ni mtu mwaminifu ajabu kwenye ndoa, pongezi sana kwa African Doctors kwa huduma yako ambayo imekoa ndoa yangu ambayo ilikuwa inaelekea kupotea.
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com
Mwisho.
Na. Gideon Gregory, Dodoma.
Kiongozi wa Uinjilisti Kanisa la Moravian Nkuhungu Jijini Dodoma Mch. Boaz Mwazyunga ametoa wito kwa kanisa hilo jimbo la Kaskazini kuwa na mpango wa kuandaa wainjilisti wa kudumu ambao pamoja na kazi yao watafanya kazi ya kueneza injili ikiwa ni pamoja na kufungua na kupanda makanisa mapya vijijini.
Mch. Mwazyunga ametoa wito huo leo Novemba 26,2023 wakati akiongoza waumini wa kanisa la Moravian Tanzania jimbo la Kaskazini ushirika wa Nkuhungu kuadhimisha miaka 16 ya kutoa huduma ya kiroho kwa waumini hao nakuongeza kuwa hapaswi kuogopa gharama na kuangalia nani yupo katika maeneo wanayokwenda pamoja na mazingira yaliyopo.
“Wito wangu ni kuona kuwa kanisa linatii agizo la Bwana Yesu Kristo alilosema, basi nendeni mkawafanye mtaifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la baba, na mwana na roho mtakatifu na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi na tazama mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari (Mathayo 28:19-20),”amesema.
“Umefika wakati sasa wa kwenda maeneo ya pembezoni na vijiji kununua viwanja na mashamba ili tunapofanya uinjilisti wale tutakaowapa wawe na mahali pa kuanzia kuabudia,”ameongeza.
Awali akitoa mafundisho Mwenyekiti wa Kanisa la Moravian Tanzania jimbo la Kaskazini Mch. Isaac Siame ametoa rai kwa waumini kumruhusu Mungu awatumie katika utumishi wao na kuongeza kuwa wasikubali shetani akawatumia katika mipango yake hovu kwa wanadamu.
Akisoma risala mbele ya mgeni rasmi Wakili wa Ushirika 2023 Lilian Nzowa amesema tangu ushirika huo uanzishwe umefanikiwa kuongeza wakristo 170 kutoka 58 hapo awali wakati unaanzishwa ongezeko linalojumuisha watu wazima pamoja na watoto.
Sambamba na hayo maeongeza kuwa kwa mwaka 2024 wanatarajia kuanza ujenzi wa jengo la kuabudia linalotarajia kugharimu kiasi cha shilingi bilioni 2 ambalo litakuwa na uwezo wa kuchukua jumla ya watu 800 kwa ibada moja.