Monday, 21 August 2023
Sunday, 20 August 2023
NAIBU WAZIRI WA MAJI AFANYA ZIARA KUTEMBELEA MRADI WA MAJI MSHIKAMANO
.jpeg)
FOXPOT SLOTI BORA KUTOKA MERIDIANBET!
Fahamu Kuhusu Sloti ya Foxpot
Unapoitazama sloti hii ya Foxpot, utashangazwa wapi hizi shilingi zinatoka. Jibu ni rahisi sana, sloti ya Foxpot inakujia na Jackpoti tatu kubwa na Mbweha akiwa kama alama ya malipo ya Wild/windo. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, ni sehemu sahihi kwa wachezaji wa kasino!
Sio hayo tu, Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kupitia sloti ya Foxpot inakuletea Gurudumu 12 ambalo litakupa fursa ya kushinda bonasi mbalimbali.
Unasubiri nini? ingia mchezoni kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwa kugusa hapa na ufurahie ushindi mkubwa.
Jinsi ya Kucheza Sloti ya Foxpot
Ni rahisi sana! Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na kuchagua mchezo huu wa Foxpot ujishindie mamilioni!
Sloti hii ya Foxpot ina alama na machaguo mbalimbali. Ili ushinde, unatakiwa upate alama tatu zenye kufanana kwenye sloti hii yenye kolamu 5 na mstari mmoja wa malipo.
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ina machaguo mbalimbali ambayo yanakupa fursa ya wewe mchezaji kuucheza mchezo huu kiurahisi. Kwa kubofya alama ya + na – ambazo zipo kwenye kitufe cha Bet, itakupa nafasi ya kuweka dau lako unalolitaka.
Kuna chaguo la Autoplay ambalo litakuwezesha wewe (mchezaji) kuzungusha mizunguko kiatomatiki. Alama za sloti hii ni ya matunda ambayo ni Cherry ambalo lina thamani ndogo, Zambarau ambalo litakurudishia mara 1.5 ya dau lako huku likufuatiwa na Ndimu ambalo litakulipa mara 2.5 ya dau uliloliwaka.
Endapo utapa alama 1, 2 au 3 za Lucky 7 basi utalipwa mara tatu ya dau uliloliweka huku alama moja ya Lucky 7 ikiwa ina uwezo wa kukulipa mara 10 ya dau lako, na alama 2 mbili za Lucky 7 zikitakurudishia mara 15 wakati alama 3, zitakurudishia mara 25 ya dau lako.
Sio hivyo tu, kama ukipata alama ya Wild utarudishiwa mara 40 ya dau lako. Kumbuka, alama ya Wild inauwezo wa kubadilisha alama zozote kwenye mchezo huu na kukupatia ushindi isipokuwa alama ya bonasi. Unasubiri nini? Jiunge leo na Meridianbet na upate bonasi kubwa, Odds kubwa na Jackpoti kabambe.
TANZANIA, INDIA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KIUCHUMI

WEKEZA KWENYE KILIMO CHA VANILLA UONE MAAJABU - 0629300200

VANILLA INTERNATIONAL LTD YAZINDUA SHAMBA KUBWA LA KISASA KILIMO CHA VANILLA KANDA YA ZIWA
VANILLA INTERNATIONAL LTD YAANZISHA MRADI WA 'VANILLA VILLAGE KENYA'
MNKONDYA AFANYA ZIARA KUTEMBELEA MASHAMBA YA VANILLA..... "DAR ES SALAAM NI ENEO SALAMA KWA KILIMO CHA VANILLA"
KARIBU VANILLA VILLAGE DODOMA - 0629300200
KWA DAKIKA CHACHE TU!! JIPATIE TIKETI YA NDEGE UNAYOIPENDA!!
Saturday, 19 August 2023
USHIRIKISHWAJI WA TAASISI ZA UMMA KATIKA KUANDAA VIWANGO NA MIONGOZO YA E-GA
Maafisa TEHAMA kutoka katika taasisi mbalimbali za umma wameshiriki katika kikao kazi cha kuandaa na Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao, ili kuhakikisha inaendana na Sheria ya Serikali Mtandao Na. 10 ya mwaka 2019.
Lengo ni kuhakikisha Serikali inakua na Serikali mtandao yenye tija na inayoongeza ufanisa katika utendaji kazi na utoaji huduma kwa umma.
Kikao hicho kilichoandaliwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), kilifanyika kwa siku 3 kuanzia Agosti 15, 2023 katika ukumbi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijijini Dodoma.
Viwango na Miongozo hiyo inapatikana katika Tovuti ya e-GA kupitia kiungohttps://www.ega.go.tz/standards
MADEREVA WASHAURIWA KUPATA MAFUNZO YA UDEREVA






.jpeg)

.jpeg)










.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)




























